mdude nyagali

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Stuxnet

    Mdude Nyagali anadai Dkt. Tulia anataka Kumuua

    Kwenye ukurasa wake wa Mtandao wa X, anadai Tulia anapanga mipango ya kumuua. Huyu Mdude anapenda ku trend kwa mambo ya kizushi. --- Kupitia ukurasa wake wa Twitter (X) Mdude Nyagali anaandika haya: "Nimepata taarifa za siri kutoka kwa msamalia mwema kwamba Tulia amefadhili kikundi cha...
  2. K

    Ushauri kwa CHADEMA: Mdhibitini Mdude Nyagali kabla Uvumilivu wa Rais Samia haujafika mwisho

    Kwa kuwa tunatumia jukwaaa ili kushauriana na kushauri, kutoa maoni na mapendekezo na hata kutoa onyo na karipio basi acha Leo nitoe ushauri kwa CHADEMA jambo ambalo ni nadra kweli kulifanya. Kwa kuwa nilitumia jukwaaa hili kumshauri ndugu yangu Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya...
  3. Mdude_Nyagali

    Mambo saba muhimu kuelekea maandamano ya kitaifa bila kikomo

    1. Msajili wa Vyama vya siasa wala Rais au serikali yake hawana Mamlaka ya kuamua au kutupangia kuhusu Katiba tunayo itaka. Hicho kigenge walichokiunda hakina Mamlaka hayo kikatiba na kikanuni. Hivyo Kinachofanyika ni Ukora na ni Ultra vires Act kabisa. Ni muendelezo wa uvunjaji wa katiba na...
  4. B

    Ushauri: Dkt. Slaa, Advocate Mwambukusi, Kijana Mdude anzisheni chama kingine

    Asalam, Mods, nipeni nafasi kidogo na mada zangu. Kwa kawaida zina utofauti sana na nyingine pamoja na changamoto ya uandishi, kueleweka na mapambano hapa jukwaani. 1. Changamoto ya uandishi inatokana ulemavu wa mkono wangu wa kushoto ambao ndio naandikia. 2. Mahala ninapishi network yake iko...
  5. Mdude_Nyagali

    Tulikamatwa kinyume na sheria kwa sababu za kisiasa na tukaachiwa kisiasa

    1. 𝗞𝘂𝗸𝗮𝗺𝗮𝘁𝘄𝗮 Mnamo usiku wa manane tarehe 12 august 2023 siku ya ijumaa usiku tukiwa safarini tulikamatwa na askari polisi maeneo ya mikumi check point karibu na mizani. Askari hao walituambia wamepata maagizo kutoka juu ya kutushikilia Mimi pamoja na wezangu Emmanuel Godfrey Masonga pamoja na...
  6. Etwege

    Mdude Nyagali: Tutawataka Watanzania walio nje ya nchi kuandamana zilipo balozi za Falme za Kiarabu duniani

    Wakizungumza leo, Agosti 21 baada ya kuripoti kituoni hapo, Mdude amesisitiza kuwa hawatarajii kurudi tena kituoni hapo hadi jeshi hilo litakapokamilisha upelelezi na kesi yao kwenda mahamakani akieleza kuwa wataendelea na shughuli zao ndani na nje ya Mkoa. “Tumeambiwa kurudi tena Polisi Agosti...
  7. S

    Mawakili wa Dkt. Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua kesi kuwashitaki AG, IGP, DPP, RCO-Mbeya na OCS wa Central Polisi Mbeya

    Hii ndio taarifa inayopatikana mitandaoni usiku huu na hatua hii ni kutokana na washitakiwa hao kuendelea kushikiliwa bila kufikishwa mahakamani jambo ambalo ni kinyume na sheria. --- Mawakili wa Wilbroad Slaa, Boniface Mwabukusi na Mdude Nyagali wamefungua (Habeas Corpus) kuwashtaki AG, IGP...
  8. Stuxnet

    Hivi Mdude Nyagali ni kiumbe wa namna gani?

    Kwenye hotuba yake ya kwanza akiapishwa Rais Samia mnamo 19/03/2021 alitamka kuwa magazeti yafunguliwe, wananchi waikosoe Serikali kwa mujibu wa sheria. Akasisitiza na kesi za kubambikizwa zifutwe. Akakemea Kodi za DHULUMA zikusanywazo na TRA, na kuikemea TAKUKURU na Polisi kwa kuwanyanyasa watu...
  9. Kamanda Asiyechoka

    Wakili Mwabukusi, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali wakamatwa na Polisi Mikumi wakiwa safarini kuelekea Dar es Salaam

    Ndugu Watanzania, Taarifa zilizotufikia hivi punde ni kuwa wakili msomi Boniface Kanjunjule Mwabukusi amekamatwa na Jeshi la Polisi kule Mikumi, Morogoro akiwa pamoja na Katibu wa Kanda wa CHADEMA, Emmanuel Masonga na Mdude Nyagali. Inadaiwa kuwa walikuwa safarini kuelekea Dar es Salaam. Kwa...
  10. VUTA-NKUVUTE

    Mbeya: Hukumu kesi ya kupinga mkataba kuhitimisha mjadala wa DP World

    Leo, Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya inatarajiwa kutoa Uamuzi/Hukumu yake juu ya kesi ya kikatiba iliyofunguliwa na wanaharakati wanaohoji uhalali wa Mkataba wa Ukodishwaji wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World. Kuanzia Makao Makuu ya CCM Dodoma na Ofisi zake zote...
  11. M

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali ataka kumfutia Leseni ya Uwakili Wakili Mwabukusi aliyefungua kesi kupinga mkataba wa DP World

    Yuleyule aliyefanya figisu hadi kumfutia Leseni mwanadada Fatuma Karume, Mwanasheria mkuu wa Serikali bwana Feleshi amempeleka Wakili msomi ndugu Mwabukusi kwenye Kamati ya maadili ya Mawakili. Katika malalamiko yake Mwanasheria wa Serikali anasema eti: 1. Mwabukuzi ni mchochezi. 2. Mwabukusi...
  12. Sildenafil Citrate

    Mbeya: Mdude Nyagali agoma kutoa vifaa vya Kieletroniki Ofisi ya Upelelezi kutokana na uwepo wa Historia Mbaya ya kuwekewa Madawa ya kulevya na Polisi

    Julai 17, 2023 RCO Mbeya aliandika barua yenye wito wa kumtaka Mdude Nyagali kutoa vifaa vyake vya kieletroniki kwa ajili ya uchunguzi. YAH: WITO WA KUKABIDHI VIELELEZO SIMU NA VIFAA VYA KIELETRONIKI JALADA: MBR/IR/285 /2023 KOSA: JALADA LA UCHUNGUZI (Imetolewa chini ya K/F 10 (2) na 10...
  13. Sildenafil Citrate

    Dkt. Slaa: Tunapinga uwekezaji wa DP World sababu Mkataba wake una sura ya wizi na ufisadi

    Fuatilia yatakayojiri kwenye mkutano na waandishi wa habari ambapo Dkt. Salaa, Askofu Mwamakula pamoja na Mawakili Mwabukusi na Madeleka watakuwa wazungumzaji wakuu, leo Julai 12, 2023 saa 4:00 asubuhi. Ni kuhusu suala la DP World. === === MKUTANO UMEANZA Askofu Mwamakula anazungumza...
  14. M

    Mdude Nyagali, Samehe! Nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta

    Mdude_Nyagali Kwanza nakupa pole mno kwa mambo yaliyokukuta. Umepitia mateso makubwa sana kwa sababu ya Imani yako ya kisiasa nakwa sababu ya uzungunguzaji wako na hoja zako. Tangu ulivyotoka jela nimekusikiliza sana, kuanzia Clubhouse na kwingine kote ulipofanya mahojiano. Kwa kweli...
  15. M

    Mdude Nyagali: Bil 600 zimekwapuliwa huku makarani wakinyimwa posho na bado zoezi halijakamilika kwa wakati

    Mnasema ndani ya siku 7 mmewafikia 93% ya watu wote halafu mnaongeza Siku 7 kwa 7% zilizobakia? Mnapenda uongo lakini uongo unashindwa kuwapa ushirikiano. Mmeiba bilion 600+ mmewadhulumu makarani posho zoezi likasimama sasa mmeongeza Siku 7 ili kuficha aibu. Shame on vibaka nyie. Wameshatafuna...
  16. S

    Utesaji aliofanyiwa Steve Biko na Jeshi la Polisi la Makaburu hadi kumuua ndio huo huo aliofanyiwa Mdude Nyagali na Jeshi la Polisi Tanzania

    Labda wengi wenu hamkumbuki jinsi Steve Biko wa Afrika Kusini alivyouwawa na Jeshi katili la Afrika Kusini. Kwa kifupi basi, ni kwamba baada ya kupigwa sana kwa ajili ya harakati zake za Black Consciousness Movement , akiwa na majeraha, Steve Biko alifungwa pingu na kuwekwa katika Land Rover na...
  17. J

    Mdude Nyagali atendewe haki. Amewatambua watu waliomteka na kumtesa. Pia ametaja mpaka maeneo alipopelekwa kuteswa

    ..Haiwezekani mhanga atoe ushahidi kama huu wa Mdude halafu hakuna hatua zinazochukuliwa dhidi ya waliohusika kumtesa. ..Ninashangaa kwanini Tume ya Haki za Binadamu, Chama cha wanasheria wa Tanganyika, na asasi nyingine za haki za binadamu, ziko kimya kuhusu suala hili. ..Msikilizeni Mdude...
  18. Erythrocyte

    Mdude Nyagali atunga kitabu kuhusu Mateso na unyama aliofanyiwa kwenye Utawala wa Awamu ya 5, kuzinduliwa Machi 5, 2022

    Kama ungependa kufahamu namna awamu ya 5 ilivyosigina HAKI ZA BINADAMU nchini Tanzania, basi hutakiwi kukosa nakala ya kitabu kilichotungwa na Mhanga namba 5 wa Utawala ule aitwaye Mdude Nyagali, ndani ya kitabu hicho mmefunuliwa kila unyama na uchafu wote uliofanywa katika kusigina katiba ya...
Back
Top Bottom