Search results

  1. J

    Ni kweli Robot hana Uchawa, hana Upendeleo na Hapokei Rushwa lakini anauwa Fursa za Ajira!

    Baada ya kumshangilia Robot aliyekuwa Zamu ya kupokea Wabunge pale Reception ya mjengoni ni vema tukamtafakari pia atakapoingia mitaani Faida zake na hasara zake Dr Slaa angeweza kuuliza Robot ni asset au liability? Jumaa Mubarak 😃😃🌟
  2. J

    Uganda na Kenya wasaini kulifikisha bomba la mafuta Kampala kutoka Eldoret

    Rais Rutto amesema wamefanikiwa kuirejesha Uganda kwenye Bandari ya Mombasa baada ya mgogoro uliokuwepo kupatiwa ufumbuzi Ruto amesema mgogoro huo ulisababisha Uganda ifikirie kutumia Bandari za Tanzania lakini tumewarejesha Naye Rais Museveni amemwambia Rais Ruto kwamba anafurahi mgogoro...
  3. J

    Fatma Karume amshukia Spika Tulia kwa kutomchukulia hatua Dr Musukuma baada ya kutumia degrading language kwa Wanawake!

    Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amehoji Kwanini Spika Dr Tulia hakumchukulia hatua mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma aliyewadhalilisha Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla Karume amelalamika Ukurasani X
  4. J

    Watu wanajadili Mahojiano ya Upendo Peneza badala ya kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama

    Nenda mitandao Yote utamkuta Upendo Peneza Ndio anajadiliwa LAKINI Leo kuna Hotuba muhimu sana ya Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama ila wadau hawajaichangamkia Naomba Wakuu hapa JF tuelekeze akili zetu bungeni Ahsanteni sana 🐼
  5. J

    Unapomualika Makapi ya Chadema kumshambulia Mbowe kwenye TV ya CCM ni Sawa na kuipromoti Chadema Bila kujua!

    Nawakumbusha tu akina Clouds, Wasafi, Channel ten nk Chadema ni blood yaani Uhai kwa walioiamini hata kama Sasa wako CCM kwa sababu za Njaa iliyotukuka kwenye matumbo yao na Ada za Watoto Imarisheni UVCCM huo Ndio Muarobaini Mtanishukuru baadae 🐼
  6. J

    Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Tanganyika!

    Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa...
  7. J

    Mbunge wa Zanzibar kudai Mbowe na Kikundi chake( siyo Chadema) wanataka kuvunja muungano siyo Jambo zuri ikizingatiwa Nafasi ya Mbowe kwenye Jamii!

    Ni Kauli nzito sana Mbowe ni Mwenyekiti wa Chadema Chama kikuu Cha Upinzani sasa mbunge wa ACT wazalendo Chama kikuu Cha Upinzani Zanzibar kumuundia tuhuma kama hizi ni lazima vyombo vya Ulinzi na Usalama vifuatilie Muungano ni Tunu ya Taifa Mlale unono!
  8. J

    Hivi kwanini Waandishi wa Habari huwa wanatetemeka sana Wanapowahoji Mawaziri ila Wanajitutumua Wakiwahoji Viongozi wa Upinzani?

    Au Tatizo ni Elimu Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali Enzi za Adam Lusekelo au yule Mwamba Katabalo wanahabari waliheshimika sana Mlale Unono 😀
  9. J

    CHADEMA mnaposema Starlink gharama Zao ni kubwa huwa mnazilinganisha na nini?

    Naona Makamanda humu Mitandaoni wamechachamaa kwamba Star link gharama zake za internet ni kubwa kwa nchi fukara kama yetu Ndio nauliza hizo gharama mnazilinganisha na nini Hata zionekane zina ukubwa uliopitiliza? Ni hilo tu Samahani lakini!
  10. J

    Mwendokasi: Usafishaji barabara Tegeta Nyuki - Maktaba Posta Waanza

    Habari njema kwa Watu wote Mkandarasi wa barabara ya Mwendokasi Tegeta Nyuki - Maktaba Posta ameanza kuweka Kingo za kuzuia nafasi ya Katikati mwa barabara ikiwa ni maandalizi ya mwanzo kabisa ya ujenzi Shughuli hii imeanza Lugalo na Mwenge Baadae Mlale Unono 😀😀
  11. J

    Stability ya Tundu Lissu niliiona pale Hayati Magufuli aliposema alimuahidi Cheo ili asigombee Urais 2020 lakini alikataa

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa. Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye mwenyewe alisema Edward akishinda yeye ni Waziri mkuu hivyo Dr Slaa akatoswa. Nawakumbusha tu Makamanda...
  12. J

    Nape: Ikiwezekana tuweke kodi kwenye vitochi (Viswaswadu) ili kila Mwananchi amiliki Simu Janja tuendane na teknolojia ya Dunia

    Waziri Nape anasema wanashauriana Serikalini ama kupunguza Kodi Kwenye Simu Janja au kuweka Kodi Kwenye Vitochi (viswaswadu) Ili Watu wote waweze kumiliki Simu Janja. Huko tunakoelekea teknolojia ya Vitochi itapotea hivyo ni Bora kujihami mapema, amesisitiza Waziri wa Sayansi na Teknolojia mh...
  13. J

    Bango kubwa lenye picha ya Rais Samia akiwa na mh Mbowe na mh Mnyika Siku ya Wanawake duniani lamnyima raha Tundu Lisu!

    Mara kwa mara Makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lisu amelalamikia Mabango ya mh Rais Samia akiwa na Viongozi Wakuu wa Chadema mh Mbowe na mh Mnyika kwamba yanafanya Chadema ionekane kama TAWI la CCM Picha hiyo ilipigwa Siku ya Wanawake duniani Mjini Moshi ambapo ilitegemewa CPA Ruge ndio...
  14. J

    Shehe Ponda azungumzia Faida na Hasara za Muungano wa Zanzibar na Tanganyika asema Hasara ni nyingi!

    Shehe Ponda ambaye ni mwenyeji wa Kigoma anesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika faida yake ni ndogo ukilinganisha na Hasara Kupitia ukurasa wake wa X shehe Ponda ameitaka Wananchi waulizwe aina ya Muungano wanaoutaka kwani tunakoelekea Mjadala haionyeshi kuwa na Afya Mlale Unono 😀
  15. J

    CCM kuna Demokrasia Kura ya maoni Siku Moja na Kamati kuu kupitisha Majina Siku Moja, Chadema Wiki wanasubiri kujua Wagombea!

    Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Siku ya 4 Leo Wagombea wa nafasi ya Mwenyekiti Kanda bado ni Danadana Iko wapi Demokrasia?
  16. J

    Boniyai Mstaafu Meya alikuwa Mlinzi wa Mbowe kwa Sifa zipi?

    Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Imenitafakarisha sana 🐼 Niishie hapo
  17. J

    Ukimpa Waziri Mkuu TAMISEMI unaipata Serikali ya Tanganyika kama alivyofanya Rais Mstaafu Kikwete

    TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake. Kikwete akiwa Rais aliiacha TAMISEMI kwa Waziri Mkuu lakini alipoingia Shujaa Magufuli aliirejesha TAMISEMI Ikulu akihofia Ule...
  18. J

    Rangi za Bendera: CCM - Ustawi, Chadema - Upendo, ACT- Masikitiko na NCCR - Mamlaka

    Bendera ya CCM ni Kijani na Njano iliyobeba Jembe na Nyundo hii inaonyesha ni Chama kilichojikita kwenye Ustawi wa Jamii iliyo Huru katika kujiletea Maendeleo. Bendera ya Chadema Nyeupe & Nyekundu inaonyesha ni Chama chenye Upendo kwa Watu wote na Kiko tayari kuwafia. Ndio utaona Wakuu wa...
  19. J

    MOI kuanza kutoa huduma za upasuaji Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa kutumia Roboti

    Ni mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia Waziri wa afya Ummy amesema Hospital ya Mifupa MOI itaanza Kutoa Huduma za upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa kutumia Robot yaani Artificial intelligence Pia Wizara imetenga tsh 3.5 billion kuchunguza Upungufu...
  20. J

    Tundu Lissu na Komredi Kinana wanakubali Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na Walakini. Je, 2025 kwenye Free & Fair Election CHADEMA watavunja rekodi ya 2015?

    Nauliza tu kwa sababu dalili za figisu zimeanza mapema kabisa Kwenye Uchaguzi wa Ndani wa Chadema 2025 hatupendi tusikie visingizio vya CCM kuhonga Wagombea wa Chadema kana Kwamba Wapinzani ni Chadema peke yao Mlale Unono 😀😀
Back
Top Bottom