Ni kweli Robot hana Uchawa, hana Upendeleo na Hapokei Rushwa lakini anauwa Fursa za Ajira!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,645
145,387
Baada ya kumshangilia Robot aliyekuwa Zamu ya kupokea Wabunge pale Reception ya mjengoni ni vema tukamtafakari pia atakapoingia mitaani

Faida zake na hasara zake

Dr Slaa angeweza kuuliza Robot ni asset au liability?

Jumaa Mubarak 😃😃🌟
 
Umeandika kidogo mno.

Imefikia wabunge wanaisujudu sanamu? Hii nchi ina warembo wengi, kwanini wasipewe hiyo tenda hadi inafikia hali hii?

Amevaa bendera ya chama fulani je, ni makosa ya designer au was purposely ?

Je, kimekula pesa ngapi?
 
Lucas Njoo ujibu maswali ya bendera 😃
 
Mnieleweshe kazi zake pale bungeni ni nini
Ni uthibitisho wa upeo mdogo wa watumishi wa serikali na jamii kwa ujumla.
Ile yaweza kufanywa na watoto.
Labda kama robot hilo lingeingia bungeni, lipewe kiti na litoe hotuba hapo ingekuwa level ya bunge.
Hata midoli ya watoto huongea na kujibu maswali.
 
Hata sielewi kinachozungunmziwa nilikuwa offline siku mbili.. Ngoja niende YouTube Nika search robot bungeni
 
hatuwezi kuiacha teknolojia lakini,pale bunge limefanya ujinga mkubwa ile iloingizwa ni program ya sauti walishindwa vipi wakaiset ile program kwenye device yeyote ikawakaribisha na kuwakumbusha hivyo vipaumbele?

wabunge wetu wanaufinyu wa kufikiri,pale wenyewe waloiweka wanaona wamefanya la maana kumbe ni utoto.

kwasasa wanaanza kuabudu sanamu
 
Baada ya kumshangilia Robot aliyekuwa Zamu ya kupokea Wabunge pale Reception ya mjengoni ni vema tukamtafakari pia atakapoingia mitaani

Faida zake na hasara zake

Dr Slaa angeweza kuuliza Robot ni asset au liability?

Jumaa Mubarak

Kama halina upendeleo, basi tununue mengi yasimamie uchaguzi. Moja liwe mkurugenzi mkuu wa Tume ya uchaguzi. Mengine yawe traffic police, mengine yawe majaji.
 
hamna kitu..tz haijawa smart kiasi hicho kwenye technology kiasi cha kuhitaji maroboti,,,ile ilikua ni show off tu,,,na mwenyewe ameona kama kafanya bonge la surprise maskini :D:D:D:D.....
 
Baada ya kumshangilia Robot aliyekuwa Zamu ya kupokea Wabunge pale Reception ya mjengoni ni vema tukamtafakari pia atakapoingia mitaani

Faida zake na hasara zake

Dr Slaa angeweza kuuliza Robot ni asset au liability?

Jumaa Mubarak 😃😃🌟
Jana ndio nimejua tuna viongozi wana akili za kitoto na malimbukeni. Unatengeneza robot la kwenda kufanya show off kwa watu wanaopokea mishahara na sitting allowance za mchongo bila kuzalisha, unaacha kupeleka robot likalime mashambani huko! Kama sio wendawazimu ni Nini?
 
Back
Top Bottom