Joseph Kasheku Musukuma (born February 12, 1974) is a Tanzanian politician and a member of the Chama Cha Mapinduzi political party. He was elected MP representing Geita in 2015.
Mjukuu wa baba wa taifa la Zanzibar Fatma Karume amehoji Kwanini Spika Dr Tulia hakumchukulia hatua mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma aliyewadhalilisha Watoto wa kike na wanawake kwa ujumla
Karume amelalamika Ukurasani X
Mbunge wa Jimbo la Geita Vijijini, Joseph Musukuma ameishauri serikali ianze kufunga mifumo ya gesi katika Gari zote za mawaziri ili kuokoa gharama kutokana na gari hizo kutumia mafuta ambayo gharama yake ni kubwa ukilinganisha na gesi.
Musukuma amesema hayo leo Aprili 25, 2025 Bungeni jijini...
Mbunge wa Geita Msukuma ameishauri serikali Kufunga mitungi ya gesi kwenye magari yote ya mawaziri ili kubana matumzi.
Ameyasema hayo leo hii 25/04 Bungeni wakati akichangia Bajeti ya wizara ya nishati.
Kwa sasa magari ya mawaziri, gari moja yaani V8 ikitoka Dar kwenda Dom inatumia laki 5...
DODOMA: Mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Musukuma amesema Setikali inatakiwa kufanyia kazi malalamiko ya Watumishi kuhusu suala la Kikokotoo cha 33% vinginevyo wataanza kuiba kwasababu wanajua wakistaafu hawatalipwa mafao yao yote.
Amesema "Kuna vitu vinazungumzwa tunaona kama haviwaumizi...
Mbunge wa Geita, Musukuma amesema alikuwa bingwa wa kutorosha dhahabu mpakani akibeba mpaka kilo 50 mwilini.
Musukuma amesema mwaka 1996 alikuwa na umbo dogo kimwili hivyo kuonekana kama mtoto, askari wakishusha watu kwenye basi ili wasachiwe, walikuwa hawasachi watoto hivyo alikuwa hakaguliwi...
Asalaam Aleykum wana JF wenzangu.
Rejeeni mada tajwa hapo juu.
Mimi nikiwa kijana Mzalendo wa Kitanzania, huwa ninakerwa sana na baadhi ya wabunge akiwemo Joseph Kasheku aka Musukuma hasa kwa tabia zao za kuwaona wale wenye maoni ya tofauti na serikali (au maoni yao wenyewe) kama ni wajinga...
Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority.
Ni vyema pia ukapigania bunge lijadili kwa uwazi kila kipengele cha mkataba huo pasina na shinikizo la uchama...
Mbunge Musukuma ameshangazwa kuendelea kukutana mitaani na watu walioneza propaganda kuhusu miaka 100 kwenye mkataba wa Bandari kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DP World. Musukuma amedai vyombo vya ulinzi na usalama wamekuwa wapole na haiwezekani kwenda kwa namna hiyo bila hatua...
Kutokana na kile kinachoendelea kwenye mitandao ya Kijamii kuhusu bandari ya Tanzania imeuzwa, Mbunge wa Geita vijijini Joseph Musukuma leo amezungumza na wanahabari akiwa Jijini Dodoma
SAKATA la kuuza Bandari kwa Mwarabu limezidi kuwagawa watanzania hapo Mbunge Joseph Msukuma amewashambulia watanzania wanaopiga kuuzwa kwa bandari kwa mwarabu.
==============
Mimi ni mmmoja wa Wabunge niliyeenda Dubai, kuona uwekezaji uliopo Dubai. Wala sijifichi. Nilienda kwenye ziara ya...
Mbunge Geita, Joseph Musukuma amelilalamikia Jeshi Usu kupiga watu na kufanya ubakaji. Musukuma amesema kuna makosa yamefanyika katika kulitengeneza Jeshi Usu.
Musukuma pia ameongelea Maliasili kukamata ng'ombe za wafugaji akidai anashangazwa baada ya minada kufanyika wahusika nao wanaanza...
Hivi huyu jamaa ana atumia nini kufikiri, hajui hizo sheria zilifungwa na bunge hilo hilo.
Hajui watu walichoka na muziki mikubwa na kuwa kero kwa watu.
Leo bunge lisitishe shugli zake ili waruhusu mikilele yao ,yaani watumie pesa za serikali kuruhusu Kelele mitaani.
USSR
=================...
Mimi natumia K vant na Konyagi Nina uzoefu- DKT. Musukuma ajilipua akichangia hoja Bungeni baada ya kuona pombe.
Wabunge waangua kicheko aka waambia wasicheke hata humo Bungeni ni wengi wanatumia.
Amesema sio Dhambi pia kafanya utafiti kua maprofesa na madaktari wengi ni watumiaji baada ya...
Mbunge wa Jimbo la Geita Joseph Kasheku Musukuma amehoji Bungeni faida ya kuweka hereni kwenye ng’ombe na amemtaka Waziri wa Mifugo na Uvuvi kujinasua kwenye mtego huo.
Musukuma amesema hayo wakati akichangia Makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Mifugo na Uvuvi iliyoomba kiasi cha...
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika pambano kati ya bondia Mtanzania Hassan Mwakinyo dhidi ya bondia Kuvesa kutoka Nchini Congo ambapo katika pambano la utangulizi Waziri wa Nishati January Makamba atazichapa dhidi ya Mbunge Joseph Musukuma.
Akizungumza kuhusu...
Hello Wadau..
Mbunge wa Geita Dkt. Musukuma amesema Hajalipa dola 2500 kununua PhD Bali amelipa ada tuu ya dola 200.
Musukuma amesema yeye ni Mchumi wa heshima na mwenye maarifa na alipenda heshima ya udaktari wa falsafa baada ya waliompa kufanya utafiti wa uwezo wake.
Dkt. Musukuma amesema...
Kwa mateso wanayoyapata wananchi wa kanda ya ziwa baada ya kifo cha mpendwa wao, ni wazi wananchi wa Geita hawamuelewi Joseph Musukuma anakotaka kuwapeleka.
Hadi sasa wananchi wa Geita vijijini wanatembea kms 120 kutoka katoro kwenda makao makuu ya wilaya ambapo ni Nzera alikohamishia Ofisi...
Inasikitisha sana tunapoona viongozi waandamizi wa nchi hasa wabunge wakikubali kununua cheap doctorates kutoka vyuo vya kitapeli (rogue colleges). Hiyo inakupa picha kwamba hawa viongozi wetu hawajui hata kuangalia authenticity wakati kila kitu kipo online. Kwanza hiki sio chuo maana hakina...
Spika wa bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Dr. Tulia leo wakati akiendesha kikao cha bunge ametoa ufafanuzi kuwa watu wengi wanaoitwa madaktari wanamfuata na kulalamika kwamba, ikiwa Musukuma ni daktari wa falsafa (Kisomo) basi wenyewe waachwe kuitwa madaktari.
Spika Tulia akalitolea...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.