Watu wanajadili Mahojiano ya Upendo Peneza badala ya kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,645
145,386
Nenda mitandao Yote utamkuta Upendo Peneza Ndio anajadiliwa

LAKINI Leo kuna Hotuba muhimu sana ya Bajeti ya Wizara ya Habari na Tehama ila wadau hawajaichangamkia

Naomba Wakuu hapa JF tuelekeze akili zetu bungeni

Ahsanteni sana šŸ¼
 
Huko tunawaelekeza wajumbe wala vichwa pekeešŸ¤”
 
Na Upendo kapelekwa klaudis makusudi kuzubaisha akili za waTz. Ila naona wamechemka tu maana hata bila Robot Upendo au Robot Yunisi bado watu hawana muda kufatilia maigizo ya wizara yoyote. Watu wameshalimaani bunge (walijisemea wamakonde)
 
Back
Top Bottom