MOI kuanza kutoa huduma za upasuaji Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa kutumia Roboti

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,650
145,400
Ni mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia

Waziri wa afya Ummy amesema Hospital ya Mifupa MOI itaanza Kutoa Huduma za upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa kutumia Robot yaani Artificial intelligence

Pia Wizara imetenga tsh 3.5 billion kuchunguza Upungufu wa Nguvu za Kiume kwa Wababa na Vijana na athari za Unywaji wa Energy Drinks

Source: EATV
 
Dah energy drinks inahitaj bajet ya kufanyia uchunguzi kwakuw hawajui content ya Energy na kujua impact ndan ya mwili wa binadamu

Tume.imeeundiwa Tume
 
Ni mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia

Waziri wa afya Ummy amesema Hospital ya Mifupa MOI itaanza Kutoa Huduma za upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa kutumia Robot yaani Artificial intelligence

Pia Wizara imetenga tsh 3.5 billion kuchunguza Upungufu wa Nguvu za Kiume kwa Wababa na Vijana na athari za Unywaji wa Energy Drinks

Source: Eatv
Hakuna iko kitu, mimi niko hapa MOI 24/7 sina hata heading ya hiyo propaganda.
 
Hivi tbs wana kazi gani? Wamezipitishaje hizi Energy drink ilihali kila siku zinapigiwa yowe na wataalam?
Ni kwanini wasizichunguze kwa bajeti yao uko uko tbs.
Huu ni ufujaji wa Kodi ya Watanzania.
 
Wawezesh
Ni mafanikio makubwa ya Serikali ya awamu ya 6 inayoongozwa na Rais Samia

Waziri wa afya Ummy amesema Hospital ya Mifupa MOI itaanza Kutoa Huduma za upasuaji wa Ubongo na Mishipa ya fahamu kwa kutumia Robot yaani Artificial intelligence

Pia Wizara imetenga tsh 3.5 billion kuchunguza Upungufu wa Nguvu za Kiume kwa Wababa na Vijana na athari za Unywaji wa Energy Drinks

Source: EATV
Wawewezesheni wanaume kiuchumi muone km watakosa hizo nguvu za kiume
 
Hii Nchi ya hovyo sana.mlikuwa hamjaanza tu huo upasuaji wakati majirani zetu wot wameanza miaka 10 iliyopita.
 
Back
Top Bottom