Ni Chadema hawa hawa walimpitisha Naibu Katibu mkuu Zanzibar mh Salum Mwalimu kugombea Ubunge Jimbo la Kinondoni, Tanganyika!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
85,642
145,372
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥
 
Kumbuka vyama vyote hata vingeingia madarakani bado vingetawala kwa mjibu wa Katiba ya JMT! Sasa kama Katiba inasema kila mtanzania ana haki ya kugombea jimbo lolote Tanzania,Mkuu kosa liko wapi?
Ndio muheshimuni Rais sasa bila kujali Utanganyika au Uzanzibar wake!
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥
HIyo inaitwa ukiwa muongo uwe na kumbu kumbu!
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥

..Chadema wanataka muungano wa serikali 3 ili Raisi wa muungano, bila kujali anatokea Znz au Tgk, asiingilie mambo yasiyo ya muungano.

..Ugomvi wa Chadema na Samia ni jinsi anavyogawa bila uchungu rasilimali za Watgk, na pia kuhamisha ndugu zetu Wamaasai toka maeneo yao ya asili.
 
Ndio muheshimuni Rais sasa bila kujali Utanganyika au Uzanzibar wake!
Kwani Rais siyo Mzanzibar? Siyo kosa kumwita Rais ni Mzanzibar kwa sababu ana kitambulisho cha Mzanzibar!
Labda kisichopendeza ni kuhusisha yale anayoyafanya kama Rais na Uzanzibar wake.
Mwisho wengine hatuna vyama na tunamheshimu Rais wetu.
 
..Chadema wanataka muungano wa serikali 3 ili Raisi wa muungano, bila kujali anatokea Znz au Tgk, asiingilie mambo yasiyo ya muungano.

..Ugomvi wa Chadema na Samia ni jinsi anavyogawa bila uchungu rasilimali za Watgk, na pia kuhamisha ndugu zetu Wamaasai toka maeneo yao ya asili.
Wakati anagawa hizo rasilimali zenu Wabunge wenu wanakuwa wapi?

Wanajadili mambo ya Matiti ya vitoto 🐼
 
..unazungumzia Mama Abduli.

..yeye anajiita Mzanzibari, sio Mtanzania, lakini ameng'ang'ania Uraisi wa Tanzania.

..pia amekataza wana-Ccm ambao ni Watz wasichukue fomu ya kutaka kugombea Uraisi.
Ni lini Wanaccm walichukua fomu Katikati ya misimu miwili? 🐼
 
Kwani Rais siyo Mzanzibar? Siyo kosa kumwita Rais ni Mzanzibar kwa sababu ana kitambulisho cha Mzanzibar!
Labda kisichopendeza ni kuhusisha yale anayoyafanya kama Rais na Uzanzibar wake.
Mwisho wengine hatuna vyama na tunamheshimu Rais wetu.

..anapoteua Mzanzibari ktk nafasi ambayo hawastahili unataka watu waseme?

..kwa mfano, Mzanzibar hapaswi kuteuliwa kuwa Mkuu wa wilaya huku Tanganyika, lakini ameteua. Je, unataka Watanganyika wakae kimya?
 
Huyo Shaka na Salum Mwalimu Wana tofauti gani?
 
..unazungumzia Mama Abduli.

..yeye anajiita Mzanzibari, sio Mtanzania, lakini ameng'ang'ania Uraisi wa Tanzania.

..pia amekataza wana-Ccm ambao ni Watz wasichukue fomu ya kutaka kugombea Uraisi.
Ipo wazi hata kipofu haitaji kuelekezwa kuwa yeye ni mzanzibar raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania kwenye fomu inaeleweka utaratibu wa ccm kuwa kiongozi wao huongoza mihula miwili sasa hizi akili za mkimbizi maria sarungi kuwa kakataa mtz asichukue fomu naona udumavu wa akili wa wakosa hoja na sera!
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥
Kuna watu ni wajinga sana uwezo wa kufikiri ni mdogo sana,
 
Kiukweli akili za Chadema wanazijuaga wao wenyewe yaani ni Ndumilakuwili haswa

Wanasema Rais ni mzanzibar na kusahau wao walimkata Mtanganyika pale Kinondoni kwenye Uchaguzi mdogo na kulazimisha Naibu katibu mkuu wao Zanzibar Salum Mwalimu aje kugombea

Wakati mwingine Chadema ni wa kupuuzwa ila kuna baadhi ya maeneo wanastahili Sifa

Ahsanteni 🐼🔥
Mzee wa kuuma na kupuliza😀
 
Usisahau kuna Maeneo Ya zanzibar Yaliyopo Tanganyika..
Kama maeneo ya Tanga..Baadhi ya Maeneo ya Dar, Baadhi ya maeneo ya Pwani ..

Kwahyo huenda walimpa agombee kipande cha Teritory ya zanzibar
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom