Videos & Audio production special thread (Softwares)

Za mida waungwana, naombeni msaada wa program ya kutenganisha instrument na sauti katika muziki( kupata ala)
 
Uzi mzuri sana ningependa kumpongeza aliyeuleta. Naomba kujua format nzuri ya kurenda kwenye Vegas 12. Ili kupunguza size za clip.
Maana kila nikirenda kupata AVI unakuta size ya video ni kubwa mno na kwa mp4 ndio usiseme.
Au kuna application maalumu ya kupunguza size lakini quality ikabaki ile ile?.
Tafuta software inaitwa "handbrake"
 
Endelezeni uzi basi wadau.

Ikiwezekana mtupie japo na beats ambazo mmesha-compose tayari tubadilishane feelings walau.

Ila msiniambie nianze mimi tu, hahaa.
 
jaman nauliza ni program ya kuingiza audio kwnye beat iliyonzuri na nyepesi kwa mim beginner, nimeanza kupga beat daily tangu mwaka juzi, lakn ninauwoga wa kuzitumia hzo cubase,
 
Hivi ukiacha monitor speakers zinazotumika studio ku-balance music ni speaker gani nzuri mtu anaweza kutumia na zikatoa matokeo mazuri japo kwa kuanzia tu kwa home for practice. Ila isiwe subwoofer plz.
 
Back
Top Bottom