Videos & Audio production special thread (Softwares)

ivi mkuu ili kutengeneza beats lazima ujue kupiga chombo chochote ?
Unaweza kutengeneza beat bila kujua kupiga chombo chochote, ila angalau uwe unaujua Muziki kwa maana ya Codes, Keys, Harmony, Flat codes ama keys n.k, angalau utakua beat maker (Sio producer) mzuri!
 
Unaweza kutengeneza beat bila kujua kupiga chombo chochote, ila angalau uwe unaujua Muziki kwa maana ya Codes, Keys, Harmony, Flat codes ama keys n.k, angalau utakua beat maker (Sio producer) mzuri!
daah hizo ulotaja sijui hata kimoja !! Inabidi nijifunze aisee niwe napiga izi vitu maana inaonekana raha sana kucheza cheza na midundo!
 
Kuna uwezekano wa kutoa beats( i mean drums or any other instruments) kwenye music? Kama kuna application ya kufanya hivyo plZ nijuze
 
Hebu nielekezeni jinsi ya ku-record audio juu ya empty beat kwa fl 12 wakuu.
 
natumia window phone naomba kujua app za kukata video, ku edit audio na kuweka maandishi yakita picha yan ku type.
 
Wakuu Me nataka kuunganisha calls na kibwagizo kama vile anavyofanya Bwakila nitumie program au application gani.?
 
Back
Top Bottom