Deejay nasmile
JF-Expert Member
- Nov 8, 2011
- 5,773
- 5,322
Nmeipenda hii thread, na nimeshai - subscribe kabisa, wakuu mi ni beginner kwenye mambo ya audio production ndo najifunza kupitia fl studio vs 12 tatizo ninalolipata ni kua nikiwa nacheza audio nilizo zitengeneza napata sauti ina crack au inascrachi na haileti ule utamu mzuri wa sauti tatizo inaweza ikawa ni nn?
Nenda pale pameandikwa option then audio option tafuta neno buffer length.alafu adjust Fulani makati utakapoona sound inasikika bila mikwaruzo