Videos & Audio production special thread (Softwares)

Mimi binafsi sijui guitor,keyboard wala saxophone,lalini beat nagonga fresh
Unatumia program ipiii mkuu??? Na kuna swali la jamaa pale juu namna ya kutoa midi file ije kuwa mp3 au wav.
Maana kuna beats zilitengenezwa kwenye kinanda so nataka niziconvert ziwe mp3 maana now ni midi na zinapiga kwenye knanda tu.
 
Nmeipenda hii thread, na nimeshai - subscribe kabisa, wakuu mi ni beginner kwenye mambo ya audio production ndo najifunza kupitia fl studio vs 12 tatizo ninalolipata ni kua nikiwa nacheza audio nilizo zitengeneza napata sauti ina crack au inascrachi na haileti ule utamu mzuri wa sauti tatizo inaweza ikawa ni nn?
hujafanya vizur mixing ya beat lako
 
sio lazima ila itakuchukua mda mrefu kujua kutengeneza na itakubd uwe unapractise mara nyng kuliko kawaida, mim nakumbuka niliku nakesha mpka asubuh then nalala kdgo mpka mchana nalianzisha tena. ilikuwa noma sana

kabisaa na inahitaji ujitoe kweli kweli ila kama mtu yuko na passion basi ataona ni kitu cha kawaida sanaaa
 
Uzi mzuri sana ningependa kumpongeza aliyeuleta. Naomba kujua format nzuri ya kurenda kwenye Vegas 12. Ili kupunguza size za clip.
Maana kila nikirenda kupata AVI unakuta size ya video ni kubwa mno na kwa mp4 ndio usiseme.
Au kuna application maalumu ya kupunguza size lakini quality ikabaki ile ile?.
 
Back
Top Bottom