Videos & Audio production special thread (Softwares)

Nahitaji kutengeneza group ktk Studio One,ili nikitia effect,iingie kwenye track zote zilizopo kwenye hiyo Group. Msaada plz
japo sijawah kutumia,je unavofungua new project hizo track unazi add manual au zinakuwepo automatic? kama ni manual jaribu kuchek kama kuna option ya ku add group track.
 
nauza DVD za program na vst plugin za beat (fl studio) na vocal (adobe,nuendo,cubase,presonous,soundforge,audacity n.k) dvd zipo 2,zote ni tsh 25000 pia kuna sample kibao (kick,snare,hats,strings,loops,drums)
za kina dre,g unit,ymcmb,switz beats,ice cube n.k
0719698698
Unazo genuine au umedownload tu online uka burn ?
maana hapo sample kit karibia zote zinapatikana online
 
mi pia ni miongoni mwa beat makers. Sijui chochote kuhusu upigaji wa piano wala guiter ila kwa experience yangu ya usikilizaji mziki naweza nikanyoosha keys na ikatoka beat.
Tatizo moja kubwa ni kwamba hunichukua muda mwingi kuweza kukamilisha beat moja.
Kujua key ndio mwanzo muhimu, na ndio hasara mojawapo niliyoiona mimi kukataa kwenda kanisani lakini nilishakubali kuwa hivi ndivyo nilivyo.
napiga chops, natembea na keys chache hizi hizi zitanifikisha, n thanks coz huwezi nyimwa vyote, ila piano soon inanata coz i know how to pros n cons.
 
Kujua key ndio mwanzo muhimu, na ndio hasara mojawapo niliyoiona mimi kukataa kwenda kanisani lakini nilishakubali kuwa hivi ndivyo nilivyo.
napiga chops, natembea na keys chache hizi hizi zitanifikisha, n thanks coz huwezi nyimwa vyote, ila piano soon inanata coz i know how to pros n cons.

Hapo freshi. Ningekutumia mikono yangu kama sample ila humu zinazingua ku upload.
 
Gys tuform watsapp grp,, kuna mengi tunaeza saidiana tukaipush Tz yetu internationally.

Tudondoshe number za sim tue tunapeana updates.

Tafadhalin wazey.
 
Njoo tujadiri kuhusu software za
1:Videos editing
2:Audio editing
4:Script/screen play
na technology zinazo husu Multimedia production
uliza swali
NAOMBA MWENYE MIC NAYOWEZA REKODIA VIDEO ZA KUTANGAZA ANICHEKI 0674179570
 
Back
Top Bottom