Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

We muombe mungu TU mkuu!

Uzao wako usije angukia huko!!

Kwani wanaume was kweli kama sisi was kujitoa mhanga kulea familia typo wangapi kizazincha leo hiki Cha kubeti!!?

Unakuta kijana anashinda kitaa stori tangu asubuhi Hadi jioni kula nyumbani!Hana ajira Wala mishe ya maana ya kufanya japo kasoma na anachagua kazi !unafikiri ataoa binti was nani!?
Zaidi ya kuzalisha na kuacha!!?

Bora hawa wa mikoani wanaolima kuliko hai was town na hawana kazi na hawataki kujiongeza kuja mikoani kutafuta mchongo!!

Hasa hapo Dar hapo ujinga ni mwingi Sana hapo!!
 
Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
Inawezekana pia kwa wengi wao sababu zilizowafanya washindwe kutafuta mtaji bila kudanga ndiyo hizo hizo zinawafanya washindwe kufanya biashara baada ya kupata mtaji kwa kudanga.

Mara nyingi sababu ni uwezo mdogo kifikra.

Mtaji mdogo ni sababu nyingine.

Kukosa network hakuwezi kudogoshwa.

Ma mara nyingine mafanikio ninsuala la bahati. Hatuwezi kuacha kuzungumzia bahati.

Mtu aliyejipanga vizuri kila kitu anaweza kutofanikiwa kwa kukisa bahati ya kuwa at the right time, at the right place, halafu, mtu ambaye hajajipanga vyovyote akaipata bahati hiyo.
 
Motivational speakers wanasema to remain poor is a choice, na wanasema kwamba bahati ni fursa iliyokuatana na maandalizi.

Kwa uelewa wako mkuu, wako sahihi kiasi gani?
 
Hizo ni hadithi zinazowapatia ajira, kwa hivyo siwezi kutegemea waseme tofauti.

Kuna muktadha fulani mdogo wako sawa. Lakini, hayo maneno yanaweza kuwa na maana zaidi Marekani ambako watu hata masikini wana options nyingi za kutajirika. Unaweza kufanya maandalizi, fursa ziko nje nje, nyingine zinatafuta watu hazipati, unakutana nazo, unakuwa umesababisha bahati ikutembelee.

Tatizo hawa motivational speakers wanaiga sana maneno ambayo hayakukusudiwa kutolewa kwa watu wa dunia yao, yalikusudiwa kutolewa kwa dunia ya Wamarekani.

Ukizaliwa masikini Tanzania, hata hizo zinazoitwa fursa zenyewe ni mitego ya wewe kupigwa uchukuliwe hata hicho kidogo ulicho nacho, ukijiandaa ukutane na fursa sehemu ambayo fursa zina figisu kibao, kuitoa ni lazima upige ma karate kupita movies za Hong Kong za miaka ya 1970s, hapo ukikosa fursa napo utalaumiwa?
 
Hahahaah, eti ma karate kuzidi movie za Hong Kong!

Suppose mtu amejiriwa analipwa let say take home laki sita Tshs, au ana kabiashara anaingiza elfu shirini per diem, Huyo nae itabidi apige ma karatee ya Hongkong ili kufanikiwa ama...

Anaweza kufanikiwa kwa kufanya ubahiri na kusave then after a long run akapanua biashara na kuwekeza?

Huwa namsikiliza Robert Kiyosaki, ulishawahi kumsikiliza?

Hizo theory zake ni applicable Afrika au condusive kwa US tu?
 
Ma mara nyingine mafanikio ninsuala la bahati. Hatuwezi kuacha kuzungumzia bahati.

Mtu aliyejipanga vizuri kila kitu anaweza kutofanikiwa kwa kukisa bahati ya kuwa at the right time, at the right place, halafu, mtu ambaye hajajipanga vyovyote akaipata bahati hiyo.
Hauamini kuna Divine power ila unakubali bahati? Make it make sense mkubwa umeanza kuisha makali, and if you are really smart as u potray yo self utakuja kiri someday! Am sure huna u smart wa kumzidi mtu kama Andrew Tate go watch his revert story as a former atheist.

pia kisayansi bahati ni nini kwa uelewa wako coz everything has to be proven scientifically kwa mujibu wako mbona unaji contradict, unasemaga kila kitu kina explaination na visivyokua na maelezo ni binadamu tu hajajua bado! Too many loopholes, karibu upande huu kiongozi ata ku research tu nmekuambia mara kwa mara this world is a biggest puzzle never limit your self kua ume master swala flani, elimu haijawahi kutosha ata usome tangu unajitambua hadi unakufa kuna meeengi utayaacha hujajua!

No God, no spirits, no destiny ila kuna bahati 😂🤔🙌
 
Back
Top Bottom