Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

Hahahaah, eti ma karate kuzidi movie za Hong Kong!

Suppose mtu amejiriwa analipwa let say take home laki sita Tshs, au ana kabiashara anaingiza elfu shirini per diem, Huyo nae itabidi apige ma karatee ya Hongkong ili kufanikiwa ama...

Anaweza kufanikiwa kwa kufanya ubahiri na kusave then after a long run akapanua biashara na kuwekeza?

Huwa namsikiliza Robert Kiyosaki, ulishawahi kumsikiliza?

Hizo theory zake ni applicable Afrika au condusive kwa US tu?
Kufanikiwa ni kitu relative mkuu.

Inategemea malengo.

Kuna wanafalsafa wakipata oesa nyingi wanaona hawajafanikiwa, kwa sababu hawaishi kwa usawa na wengine wengi.

Kiyosaki itabidi tumuongelee hoja kwa hoja, kuna hoja zake nyingine hata Marekani ni za kufikirika zaidi.

Kuna siku nilikuwa Grand Central New York City, kuna duka la vitabu nalipenda nilipitia, nikawakuta watu wa BBC World Service wanahoji watu maoni yao kuhusu hizi self help books, kama vitabu hivi vinasaidia au ni biashara ya geresha tu, nakitafuta sana kike kipindi lakini sijakipata.
 
Hauamini kuna Divine power ila unakubali bahati? Make it make sense mkubwa umeanza kuisha makali, and if you are really smart as u potray yo self utakuja kiri someday! Am sure huna u smart wa kumzidi mtu kama Andrew Tate go watch his revert story as a former atheist.

pia kisayansi bahati ni nini kwa uelewa wako coz everything has to be proven scientifically kwa mujibu wako mbona unaji contradict, unasemaga kila kitu kina explaination na visivyokua na maelezo ni binadamu tu hajajua bado! Too many loopholes, karibu upande huu kiongozi ata ku research tu nmekuambia mara kwa mara this world is a biggest puzzle never limit your self kua ume master swala flani, elimu haijawahi kutosha ata usome tangu unajitambua hadi unakufa kuna meeengi utayaacha hujajua!

No God, no spirits, no destiny ila kuna bahati ๐Ÿ˜‚๐Ÿค”๐Ÿ™Œ
Mbona unaandika kwa mihemuko?

Wapi nimesema mimi smart? Weka quote hapa tuichambue kwa kina.

Mimi naweza kuwa sijasema niko smart, ila wewe kwa inferiority complex yako tu ukasoma kuwa nimesema niko smart.

Divine power ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?

Bahati ni chance event, hiyo haihitaji divine power. Hata ukirusha shilingi kuna bahati iko involved kuwa itaangukia kichwa au mwenge.

Mtu anaweza kushinda maisha kwa sababu kapata bahati ya kuzaliwa nchi tajiri. Maana yake hakufanya kazi yoyote ili kuzaliwa katika nchi tajiri, kazaliwa hapo kwa a chance event, hiyo ndiyo bahati.

Hapo sihitaji dhana ya Mungu wala divine power.

Hayo ni mambo ya randomness tu ambayo hata kwenye quantum physics yapo, virtual particles zinatokea randomly na kuwa annihilated randomly. Hatuhitaji Mungu wala divine power.

Mbona unataka kulazimisha hizo habari za Mungu na divine power kishambashamba tu?

Nikisema Tanzania ina uchumi mdogo na fursa ndogo kiuchumi, na Marekani ina uchumi mkubwa na fursa kubwa kiuchumi, hivyo mtoto anayezaliwa Marekani on average ameanza maisha kwa bahati kuliko mtoto anayezaliwa Tanzania, na hii ni chance event tu, Mungu anaingiaje hapo?

Divine power inaingiaje hapo?

Huoni kwamba unaleta hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja hapo?
 
Kufanikiwa ni kitu relative mkuu.

Inategemea malengo.

Kuna wanafalsafa wakipata oesa nyingi wanaona hawajafanikiwa, kwa sababu hawaishi kwa usawa na wengine wengi.

Kiyosaki itabidi tumuongelee hoja kwa hoja, kuna hoja zake nyingine hata Marekani ni za kufikirika zaidi.

Kuna siku nilikuwa Grand Central New York City, kuna duka la vitabu nalipenda nilipitia, nikawakuta watu wa BBC World Service wanahoji watu maoni yao kuhusu hizi self help books, kama vitabu hivi vinasaidia au ni biashara ya geresha tu, nakitafuta sana kike kipindi lakini sijakipata.
Kama una muda mkuu tunaweza kuanza na hizi theory zake mbili..

1)Dont work for money.
2)Dont save money.
 
pia kisayansi bahati ni nini kwa uelewa wako coz everything has to be proven scientifically kwa mujibu wako mbona unaji contradict, unasemaga kila kitu kina explaination na visivyokua na maelezo ni binadamu tu hajajua bado! Too many loopholes, karibu upande huu kiongozi ata ku research tu nmekuambia mara kwa mara this world is a biggest puzzle never limit your self kua ume master swala flani, elimu haijawahi kutosha ata usome tangu unajitambua hadi unakufa kuna meeengi utayaacha hujajua!
Luck = Opportunity + Preparedness.
 
Kwanza hizo, kwa mujibubwa faksafa zake, zilitakiwa kuandikwa hivi.

1) Don't work for money. Work even more for money.
2) Don't save money. Save even more money.

The whole "don't work for monwy, let money worknfor you" philosophy may easily involve even more work in research in order to know where to invest, even with professiinal help, you are supposed to know how to stategize with your financial advisor, and not ket the advisor take full autonomy and possibly steal from you.

If you say "don't save money, invest" for example, you may very easily advising people who do not have bread to "eat cake".

How could you advise people who do not have money to save to not save money?
 
Hauamini kuna Divine power ila unakubali bahati? Make it make sense mkubwa umeanza kuisha makali, and if you are really smart as u potray yo self utakuja kiri someday! Am sure huna u smart wa kumzidi mtu kama Andrew Tate go watch his revert story as a former atheist.

pia kisayansi bahati ni nini kwa uelewa wako coz everything has to be proven scientifically kwa mujibu wako mbona unaji contradict, unasemaga kila kitu kina explaination na visivyokua na maelezo ni binadamu tu hajajua bado! Too many loopholes, karibu upande huu kiongozi ata ku research tu nmekuambia mara kwa mara this world is a biggest puzzle never limit your self kua ume master swala flani, elimu haijawahi kutosha ata usome tangu unajitambua hadi unakufa kuna meeengi utayaacha hujajua!

No God, no spirits, no destiny ila kuna bahati
Oya kabla hujabishana na huyu mwamba lazima uwe umekula vitabu haswaa...
 
Inawezekana pia kwa wengi wao sababu zilizowafanya washindwe kutafuta mtaji bila kudanga ndiyo hizo hizo zinawafanya washindwe kufanya biashara baada ya kupata mtaji kwa kudanga.

Mara nyingi sababu ni uwezo mdogo kifikra.

Mtaji mdogo ni sababu nyingine.

Kukosa network hakuwezi kudogoshwa.

Ma mara nyingine mafanikio ninsuala la bahati. Hatuwezi kuacha kuzungumzia bahati.

Mtu aliyejipanga vizuri kila kitu anaweza kutofanikiwa kwa kukisa bahati ya kuwa at the right time, at the right place, halafu, mtu ambaye hajajipanga vyovyote akaipata bahati hiyo.
We muombe mungu TU mkuu!

Uzao wako usije angukia huko
!!
 
Mbona unaandika kwa mihemuko?

Wapi nimesema mimi smart? Weka quote hapa tuichambue kwa kina.

Mimi naweza kuwa sijasema niko smart, ila wewe kwa inferiority complex yako tu ukasoma kuwa nimesema niko smart.

Divine power ni nini? Unaweza kuthibitisha ipo?

Bahati ni chance event, hiyo haihitaji divine power. Hata ukirusha shilingi kuna bahati iko involved kuwa itaangukia kichwa au mwenge.

Mtu anaweza kushinda maisha kwa sababu kapata bahati ya kuzaliwa nchi tajiri. Maana yake hakufanya kazi yoyote ili kuzaliwa katika nchi tajiri, kazaliwa hapo kwa a chance event, hiyo ndiyo bahati.

Hapo sihitaji dhana ya Mungu wala divine power.

Hayo ni mambo ya randomness tu ambayo hata kwenye quantum physics yapo, virtual particles zinatokea randomly na kuwa annihilated randomly. Hatuhitaji Mungu wala divine power.

Mbona unataka kulazimisha hizo habari za Mungu na divine power kishambashamba tu?

Nikisema Tanzania ina uchumi mdogo na fursa ndogo kiuchumi, na Marekani ina uchumi mkubwa na fursa kubwa kiuchumi, hivyo mtoto anayezaliwa Marekani on average ameanza maisha kwa bahati kuliko mtoto anayezaliwa Tanzania, na hii ni chance event tu, Mungu anaingiaje hapo?

Divine power inaingiaje hapo?

Huoni kwamba unaleta hoja ya nguvu badala ya nguvu ya hoja hapo?
Tofautisha probability na luck, unarusha coin hyo ni randomness maswala ya kuzaliwa marekani haina tija kwani kwa maelezo yako nilivoku quote ni kwamba unahitaji bahati maishani as in luck..so unaweza zaliwa marekani still u need luck hata we umekiri! kuhusu kua smart sio mpaka useme "am smart" ukiwa na udokozi tukaku observe tutakuita mwizi hata kama hujasema "am a thief".. kwa mujibu wako you need luck kutoboa na sio chance of event twist your words ila narudia kukwambia wewe kiumbe dhalili uko apo coz higher power imeruhusu uepo! Kwanzia kuzaliwa kwako ili combine both random chance na luck vile vile tunajua habari ya shahawa kutengeneza mbegu ni zali kiasi gani mtu kuumbwa. Unauliza nithibitishe divine power? We waweza thibitisha mtu katika life cycle yake ata encouter luck mara ngap? Kwanza ushasema ata kweny quantum physics mambo ya random yapo yes huwez jua luck ya mtu hadi pale anapofunga kurasa akifa na utam observe kwa tale unayoyajua tu!
 
Kumuomba Mungu nako ni ushahidi kwamba Mungu hayupo.

Angekuwepo, asingehitaji kuombwa, angetoa tu hicho anachoombwa kabla hata hajaombwa, kwa neema zake kuu.
Aaaah sawa sawa... ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Mi nachokubali upo active sana.
Kiufupi ujawahi kupoa mkuu.

Wee comment ukiona neno Mungu yaani hulazi ni chap kwa haraka..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Tofautisha probability na luck, unarusha coin hyo ni randomness maswala ya kuzaliwa marekani haina tija kwani kwa maelezo yako nilivoku quote ni kwamba unahitaji bahati maishani as in luck..so unaweza zaliwa marekani still u need luck hata we umekiri! kuhusu kua smart sio mpaka useme "am smart" ukiwa na udokozi tukaku observe tutakuita mwizi hata kama hujasema "am a thief".. kwa mujibu wako you need luck kutoboa na sio chance of event twist your words ila narudia kukwambia wewe kiumbe dhalili uko apo coz higher power imeruhusu uepo! Kwanzia kuzaliwa kwako ili combine both random chance na luck vile vile tunajua habari ya shahawa kutengeneza mbegu ni zali kiasi gani mtu kuumbwa. Unauliza nithibitishe divine power? We waweza thibitisha mtu katika life cycle yake ata encouter luck mara ngap? Kwanza ushasema ata kweny quantum physics mambo ya random yapo yes huwez jua luck ya mtu hadi pale anapofunga kurasa akifa na utam observe kwa tale unayoyajua tu!
Kwanza kabisa, andika kwa mpango, kwa sentensi, kwa aya.

Vinginevyo naweza kuona una matatizo ya akili na hatuwezi kuelewana kwa vyovyote.

Randomness ndiyo luck hiyo.

Wewe ukizaliwa Tanzania hiyo ni random event iliyoanzia kwenye so many random events zilizosababisha wazazi wako kukutana na hatimaye sperm fulani kuzishinda nyingine na kuungana kwenye mwili wa mama yako mpaka wewe ukazaliwa.

Wewe unachokiita randomness ndiyo mimi nakiita luck.

Sasa unaikataa randomness?

Unasema duniani hakuna randomness?
 
Aaaah sawa sawa... ๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™๐Ÿ™
Mi nachokubali upo active sana.
Kiufupi ujawahi kupoa mkuu.

Wee comment ukiona neno Mungu yaani hulazi ni chap kwa haraka..
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Lazima niwe chap chap kujibia hoja za Mungu.

Kwa sababu mwenyewe hayupo kujijibia.

Anasingiziwa mengi sana sitaki kuchelewa kumjibia Waswahili hawachelewi kumzushia uongo mwingi sana ambao hata hajaufanya.

Kwa sababu hayupo.

Ili kufanya lolote anatakiwa kuwepo kwanza.
 
Mkuu bora uamini alafu usimkute...
Ooooh ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Luck = Opportunity + Preparedness.
not true hata mzee kiranga apo juu kasema u just need luck ata kama kuna opportunity and u have prepared. Ongea na nafsi yako jiulize hamna situation umetoboa kizali tu labda kukoswa ajali, kuokota hela njiani, au enzi shule umezingua labda mtoro af kesho yake kwenye majina haumo.. anything un expected but beneficial for u that is luck uwe umeji prepare or not
 
Mkuu,

Kuna sehemu opportunity ni negative, yani wewe unaongeza preparation halafu opportunity yako ni kukamatwa na polisi wakutoe upepo ukaanze upya.

Hapo unapata negative luck ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Bila kuwepo na opportunity na bila ya wewe kuwa prepared for that opportunity, there will be "No Luck".
Watu wengi hawapo prepared for opportunities ambayo at least once in a lifetime zinawajia au wamezitafita wakazipata.
Husema "Sina bahati" wakati actually they were not prepared for such an opportunity.
Wengine wapo prepared for a different opportunity au not prepared at all if not enough.
Basically, those are the main ingredients of luck.
Even the hadza hunters and gatherers can stay hungry for a day just because they weren't prepared for the heavy downpour with thunderstorms.
It's not necessarily based on modern westernized society where success is measured by having a lot of dough.
 
Back
Top Bottom