kudanga

Kudanga (Russian: Куданга) is a rural locality (a village) in Permasskoye Rural Settlement, Nikolsky District, Vologda Oblast, Russia. The population was 25 as of 2002.

View More On Wikipedia.org
  1. G

    Sababu na athari za matangazo ya kubeti, kudanga na kujiunga Freemason kuongezeka

    Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga. Kama...
  2. Mjanja M1

    Ukweli Mchungu kuhusu Kudanga

    Mabinti wengi wanadanga ili kupata mitaji ya biashara lakini mwisho wa siku wakipata mitaji wanashindwa kuendesha biashara na wanajikuta wakifirisika na kurudia tena kudanga/Kuuza Mbususu.
  3. Billionaire wa Betting

    Amzika mwanawe akiwa hai apate ‘kudanga’

    JESHI la Polisi mkoani Geita linamshikilia Oliver Meshack (19), mkazi wa kitongoji cha Mapinduzi, kata ya Buselesele wilayani Chato kwa tuhuma za kumzika mwanawe akiwa hai, ili apate nafasi ya kuhangaika na wanaume kwa masuala ya ngono (kudanga). Kamanda wa Polisi mkoani hapa, Safia Jongo...
  4. NetMaster

    Tukiwatoa wasanii 10 wenye mafanikio kimziki, waliobaki wengi huishi kwa misaada ya familia, kupewa ofa, mashuga mami, kudanga na kupiga dili nyeusi

    Na huo ndio ukweli, tukiwatoa wasanii wale 10 wenye mafanikio ni wachache sana waliobaki kama kina shilole mwenye shishi food na young dee mwenye kibaa chake wanaweza kujitegemea kiuchumi. Wasanii wengi huishi kwa misaada ya familia, ofa, kulelewa na mashuga mami, kudanga mapedeshee na mishe...
  5. GENTAMYCINE

    Ni kwanini Mke / Mchumba wa Mtu akijua unajua Siri zake za Mpango wa Kando atahangaika mpaka ufanye nae Mapenzi?

    GENTAMYCINE nimeshakugumia (kutana nawe kwa bahati mbaya) zaidi ya mara Saba (7) katika Loji na Gesti mbalimbali ukitoka Kubanduliwa na Wanaume tofauti tofauti na nikakuhakikishia kuwa usiwe na wasiwasi nitakutunzia Siri zako hizo lakini bado huamini na unahangaika kwa kila namna Kunitega ili...
  6. K

    Kipi kimesababisha kazi ya kudanga kuonekana rahisi kuifanya

    Utakuta mtu yuko chuo mwaka wa kwanza tayari keshaanza kupiga mzigo udangani Mwingine yuko 39yrs kaachwa na mmewe kwa sababu ya uzee ndani ya siku 2 tayari keshajiingiza kwenye udangaji Mwingine sasa kakosa hela ya kununulia mafuta ya kukuza nywele tayari keshaingia mzigoni udangani Kipi...
  7. N

    Msaada unahitajika nimechoka kudanga

    Wakubwa zangu shikamooni wenzangu habari zenu wote poleni na majukumu. Wapendwa naombeni msaada wenu tafadhali Mimi ni mama wa mtoto mmoja ninalea mwenyewe kutokana na ugumu wa maisha katika pilika pilika za kulea nimejikuta napita mambo mengi mno ndugu zangu yani imefikia kipindi nimedanga...
  8. K

    Baada ya kuoa Wanawake waliokuwa wananikataa wote wananitaka

    Habari wakuu, Katika maisha sisi tunaotongoza hukubaliwa au kukataliwa hii haina ubishi, sasa nimeoa kwa ndoa ya kanisani kabisa lakini ajabu ni kwamba wale waliokuwa matawi na hawanitaki sasa wananitaka Wakuu hivi hili suala kiutalamu nalihandle vipi au ndio niwamalize maana nikifikiria penzi...
  9. Ncha Kali

    Neno 'kudanga' linatumika kuhalalisha ukahaba, ni kujiuza tu tusichekelee huku jamii ikiharibikiwa

    Ndugu zangu! Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu. Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi. Lakini...
  10. Kukudume2013

    Kuolewa ni kuolewa tu kuliko kudanga

    Kwa sasa wimbi la wasichana wasioolewa ni wengi sana wengine ni bikira, wengine ni wajane, wengine ni mashankupe wengine ni vigagosi wengine ni mama huruma.nk Suluhisho la haya yote ni kukubali uke wenza, yaani ukubali kuolewa mke wa pili au watatu au wanne na hapa ni wewe mwenyewe kuwa tayari...
  11. Granted Faith

    Wasichana na Kizazi hiki wamekuwa hatari sana

    Wasichana wa siku hizi hawana future yeyote kwenye Maisha zaidi ya Kuwaza good life kupitia kudanga Dahhh inasikitisha Ongezeko la wasichana kudanga limeshamiri kwa kasi sana Wameona kudanga ndio deal [emoji53] Wasichana wa kuanzia Age ya 18-28 iseeee wamechachuka kwenye kudanga yaani ni balaaa...
Back
Top Bottom