Sababu na athari za matangazo ya kubeti, kudanga na kujiunga Freemason kuongezeka

G4N

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
1,788
4,488
Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san

Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga.

Kama taifa tusipotengeneza mifumo mizuri ya watu kujipatia vipato vyao kupitia shughuli za uzalishaji mali itafika mahali tuwe na taifa la wananchi wanaotegemea kubeti, kudanga na ushirikina (uFreemason).

Suluhu ya haraka inahitajika ili kulinusuru taifa hili.
 
Back
Top Bottom