Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 668
- 706
Ebu linanisha na hizi za bongolala CBD. 🤣 🤣 🤣Pavement gani uchafu mtupu 😂😂😂😂
Wewe hujiskii aibu
![G+Kariakoo+Congo+street+clean+2.jpg](/proxy.php?image=https%3A%2F%2F3.bp.blogspot.com%2F-CjACf-Ag_50%2FUz1mVvsiN2I%2FAAAAAAAAEE8%2FY2ajoGH8Zmk%2Fs1600%2FG%2BKariakoo%2BCongo%2Bstreet%2Bclean%2B2.jpg&hash=e181bc1ac4e3a147c81c8fea6b82fbf5)
Ebu linanisha na hizi za bongolala CBD. 🤣 🤣 🤣Pavement gani uchafu mtupu 😂😂😂😂
Wewe hujiskii aibu
No wonder kimbilio la wakenya now ni mafundi kutoka Tanzania hata ulie huo ndiyo ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 🤣 🤣 🤣 Ona huyu.
Tangu lini Bongolala wakatumia bushstone? Nionyeshe nyumba kama hizo bongolala.
This is the signature Kenya archicture. Vitenge architecture yenu hukaa hivi na hapa nimepost nyumba ya upper middle class. Za maskini ni vicheko. 🤣🤣🤣
![]()
Unaokota Tu picha za google hebu nikuulize hzo picha ni za mwaka gani???😂😂 Kunguni weweEbu linanisha na hizi za bongolala CBD. 🤣 🤣 🤣
![]()
![]()
Hawa mafundi mnaoongelea mbona mimi sijawai waona? 🤣 🤣No wonder kimbilio la wakenya now ni mafundi kutoka Tanzania hata ulie huo ndiyo ukweli 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tuletee picha ya hilo eneo current tuone kama kuna utofauti. 🤣🤣Unaokota Tu picha za googl hebu nikuulize hzo picha ni za mwaka gani???😂😂
List of Kenyan Presidents and their Tribes 🤣🤣🤣👇👇👇
Jomo Kenyatta (1964–78) - Kikuyu
Daniel arap Moi (1978–2002) - Kalenjin
Mwai Kibaki (2002–13) - Kikuyu
Uhuru Kenyatta (2013–22) - Kikuyu
William Ruto (2022– ) - Kalenjin
Mbwa za CCM.., lugha moja; CCM, dini moja; CCM.., chama cha mafala hehehehehe.., singular ideology., ujinga mzigoList of Tanzaian Presidents and their Tribes
Mtuambie nyie wakenya ni nchi gani inayofuata demokrasia? 🤣 🤣 🤣
- Julius Kambarage Nyerere - Zanaki
- Ali Hassan Mwinyi - Zaramo
- Benjamin William Mkapa - Ndendeule
- Jakaya Mrisho Kikwete - Kwere
- John Pombe Joseph Magufuli - Sukuma
- Samia Suluhu Hassan - Shiraz
Nionyeshe Estate moja tu hapo Dar yenye barabara nzuri kuliko Kilimani.
View: https://www.youtube.com/watch?v=pO3IIcC6xAE
I know this school, was famous for handball na drama...,Visited my former school. St Lukes Kimilili Bungoma
View attachment 3020474View attachment 3020475View attachment 3020477
Mbona umepanda hasira tena?😎😁Mbwa za CCM.., lugha moja; CCM, dini moja; CCM.., chama cha mafala hehehehehe.., singular idiology., ujinga mzigo
YAYA yenyewe hii hapa 😂😂😂Acha ubishi. Ukitaka nitakuumbua sana. Huniambii chochote kuhusu hio Nairobi na kenya yenu
Hio Kilimani, hurlingam, kileleshwa, lavington mpaka kule kwenye slum ya kawangware inayonuka horizontal landscaping na developments ni aibu tupu.
Tukianzia YaYa centre pale, sewage za pale hazijawahi kauka Barabarani ni mwaka sasa kila nikienda Nairobi sewage zimekuwa mto kabisa, Barabara nyingi za Kilimani zina open sewage gutters, uchafu haukusanywi.
Anyway subiri next month nitakuwa huko nitaleta picha
sina hasira, napenda ukweli.., mko hovyo, mbona ni wazi sana.., heheheMbona umepanda hasira tena?😎😁
Wewe ni Kikuyu au Kelenjin? 🤣 🤣 🤣 🤣
Ukweli unauma. Jaribuni kutawaliwa na kabila au dini nyingine😁sina hasira, napenda ukweli.., mko hovyo, mbona ni wazi sana.., hehehe
Kauli ya mtanzania mwenzako hii hapa..,
View attachment 3020604
Fikra zako zinakuambia nini?.., uko tu sawa, kile utaamua ndivyo., sipingi.., heheheWewe ni Kikuyu au Kelenjin? 🤣 🤣 🤣 🤣
Mnaumia ni kweli.., heheheUkweli unauma😁