Battle: Lilongwe VS Mbeya

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,404
5,981
Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Acha dharau, Lilongwe ni jiji kuu la nchi.

Kwa hapa Tz ni Dar tu, majiji mengine yote hayawezi kufikia hata Bujumbura ya Burundi
 
Kulingana na baadhi ya Wamalawi kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Lilongwe kipo hakipo Mbeya na kipo Mbeya hakipo Lilongwe.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mby wale wa Lilongwe wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Lilongwe wanakufa na njaa, tusiwashindanishe na Mbeya wenye shibe
 
Mgeanza na mamanzi kulinganisha ingependeza zaidi msisahau picha binafsi hvyo vijiji sivijui
 
Kwa kuwa upo ndani ya mipaka yetu unamsikiliza Bujibuji ipo siku utaishindanisha Njombe vs Bulawayo...kwenda Lilongwe kutokea Mpaka wa Songwe ni Tsh 40,000 tu
Lakini mkuu mngemsaidia mleta mada ili apate taarifa anazozitafuta. Naamini wewe ni mzoefu wa kanda hizo.
 
Lakini mkuu mngemsaidia mleta mada ili apate taarifa anazozitafuta. Naamini wewe ni mzoefu wa kanda hizo.
Mkuu Lilongwe umejengwa kwa Area kuanzia 1 mpaka 40 huko sehemu za Squater nje ya Lilongwe na maeneo yao ya makazi ni eneo kubwa la nyumba mtu anapewa kulinganisha na Mbeya yetu ni utani huo ipo miji imejengeka ila haina jina kwetu kwa sababu hatuna taarifa..
 
Ndo mumwambie ili apate maarifa.
 
Sijafika Lilongwe ila mbeya bado sana aisee japo napenda ila bado sana.

Nilikuwa juzi huko kwenzi wa 10 hapo kumebadilika kidogo tofauti na mara ya mwisho kuwa mbeya 2011.

Mbeya inapaswa kwanza kujenga barabara nyingine kutoka Nanenae hadi mbalizi ukiachana na hii iliyopo Sasa

Halafu chengine nyumba za mbeya zipigwe plasta kwanza kuondoa Ile Aibu ya Tope limetapakaa mji mzima.

Umipita mitaa ya isanga, ilemi, na kule Samora Machel nyumba hazi plasta basi tope linaonekana

Barabara za mbeya VUMBI si mchezo hasa za mitaani.

Viwanja tu vya kula bata ni vya kuhesabu yaani pale MBEYA PAZURI na NaSoma Open ukitoa hotel za mwanjelwa. Kwengine kote ziiiiiii!!!

mbeya napakubali ila Sasa nimeishi hapo 2005-2008 ila bado sana panahitaji kuchangamka.

Mara kumi useme Moro Town
 
Mim ushauri wangu, tungekuja na vitu kama population, mapato yake na uwekezaji mkubwa uliowekezwa huko.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom