Battle Mwanza VS Kigali

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,404
5,981
Kulingana na baadhi ya Wanyaruanda kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Kigali kipo hakipo Mwanza na kipo Mwanza hakipo Kigali.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Mza wale wa Kigali wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Mwanza inachoizidi Kigali ni ukubwa wa mji,ziwa kwa maana ya usafiri wa majini ,buss terminals na sgr.

Kigali inaizidi Mwanza usafi wa mji,miundombinu ya barabara, viwanja vya michezo hapa hata DAR na NRB zikasome, kwa ujumla Kigali ipo juu ya Mwanza kwa mambo mengi.

Lakini pia Mwanza ndani ya miaka 2 au 3 itakuwa vizuri sana pale sgr ikiisha, JPM Bridge, jengo la abiria pale airport na barabara zikipanuliwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom