Battle: Mwanza VS Dodoma

Bemendazole

JF-Expert Member
Nov 14, 2020
2,404
5,981
Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Dodoma is now a fast growing city sio kama Mwanza japo kwa sasa bado Mwanza ni mji mkubwa kuliko Dodoma. Kitendo cha serikali kurudisha shughuli zake Dodoma hii inaenda sambamba na ujenzi wa ofisi zake zote kama mawizara, ikulu na taasisi mbalimbali. Kitu ambacho lazma kiendane pia na miundombinu kama ya usafiri, maji n.k.
Sasa utaona kwa sasa Dodoma ndio inazidi kuamka kwa spidi, ukilinganisha na Mwanza iliyopitia jua na mvua kufika hapo ilipo.
 
Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Mods unganisha huu Uzi ,Kuna Uzi mwingine humu wa Dodoma vs Mwanza Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?
 
Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
 
Mwanza sio level ya miji yenye population under 1 milion ...Kwa hapa tanzania anayeizidi mwanza ni dar pekee
 
Kulingana na baadhi ya Watanzania kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Mwanza kipo hakipo Dodoma na kipo Mza hakipo Dom.

Ninaomba tuangalie katika positive way. Tuki post kitu kutoka Dom wale wa Mza wanaleta post ya kujibu. Na kama hakipo kwao wanasema hakipo na wao vilevile. Kama kipo kwenye plan wanaweza kuleta au sisi tunaweza kuleta kwaajili ya kujibu.

1. Master Plan of the city
2. Current View of the city
3. Ongoing Projects
4. Future Projects proposed
5. Culture and Life style
6. Food availability
7. Entertainment and Funny Places
8. Places to visit
9. Transport system (Private and Public)
10. Markets and Shopping malls
11. Hotels
12. Education centers
13. Health centers
14. Telecommunication and Data centers
15. Information Technologies and Innovation
Screenshot_20240214-202059_1707931385830.jpg
 
View: https://www.instagram.com/reel/C6g3v9DNOac/?igsh=MW1kajczdTFua2FkYg==
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom