Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

List of Tanzaian Presidents and their Tribes

  1. Julius Kambarage Nyerere - Zanaki
  2. Ali Hassan Mwinyi - Zaramo
  3. Benjamin William Mkapa - Ndendeule
  4. Jakaya Mrisho Kikwete - Kwere
  5. John Pombe Joseph Magufuli - Sukuma
  6. Samia Suluhu Hassan - Shiraz
Mtuambie nyie wakenya ni nchi gani inayofuata demokrasia? 🤣 🤣 🤣
Halafu angalau ni dini tofauti yaani wakristo na waislamu. Lakini kwa hawa nyang'au itachukua miaka mingi kupata rais mwislamu😎😎
 
Wanasema hizo sehemu ni chafu. Eti Aga Khan walk na parliament area ndio safi pekee Nairobi.😂😂
Sasa wewe mzee wa ubishi na uongo, hili eneo ni safi.? According to you.? 👇
downloadfile-11.jpg
🤣🤣🤣hili eneo linakaa kigoma kabisa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom