Kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Mimi ni mwalimu pia afisa utumishi wa uma,ninayo habari njema kwenu, na watoto wenu, kuwa ninafundisha somo la kiingereza kwa weledi mkubwa na kwa gharama nafuu( 150000-300000) kwa mwezi. Yeyote aliye maeneo ya Dodoma anaweza kunitafuta kwa kunipigia simu...
Salamu kwanza kama ilivyo jadi yetu....
Back to the main theme.... asikwambie mtu mapenzi na mwanaume au mwanamke mtu mzima anayejitambua ni matamu sana....
1. Kwanza wamekomaa akili kwa hiyo hawana tabia za kufwatana fwatana nyuma kwa wako busy na majukumu makubwa,
2. Hawataki makuu wao...
Jinsi nilivyo, ulivyo ni matokeo ya Malezi/makuzi.
Hii ni story ya maisha yangu, nilizaliwa 1998, mjini Singida Hospitali ya Makiungu na kupewa Jina Julius na baba yangu.
Kwa mujibu wao na watu walionilea ni kwamba nilikuwa active sana na, nilipenda kujifunza, I was a prodigy. Kwa kumbukumbu...
NB: nazungumzia akili ya maisha na sio pesa, elimu ya darasani, cheo, kuoa, n.k. hivi vitu hata kijana mwenye 18 anaweza kuwa navyo lakini AKILI bado haijakamilika kupevuka.
Nimefatilia research mbali mbali nimeona wanasayansi wanao deal na mambo ya saikolojia wamekadiria kwamba wengi akili zao...
Utafiti uliofanywa na Wizara ya Afya kuhusu Afya ya Kinywa nchini umeonesha zaidi ya Watanzania Milioni 47 wameoza Meno na sababu ikitajwa kuwa ni kutosafisha mdomo inavyopaswa.
Pia, Mkurugenzi Msaidizi wa Kinga na Meno kutoka Wizara ya Afya, Dkt. Baraka Nzobo amesema uchungizi wao umebaini...
Hakuna kitu kinafikirisha sana kwa sasa kama hili la watu wazima kabisa tena wenye familia zao lakini unaambia eti kabaka mtoto mdogo.
Hivi hawa watu wanakuwa na matatizo gani hasa?. Kwanini watu wamekosa utu namna hii? Nini kinasababisha mambo kama Haya kutokea katika jamii zetu sasa hivi...
Habari za jioni
Kwenye mwendokasi dar ma cashier wajanja sana.
Nauli ya mwanafunzi ni 200
Nauli ya mtu mzima ni 650.
Hizi tiket za mwanafunzi na mtu mzima zinafanana kila kitu tofauti ni maandishi ya bei tu.
Ma cashier huwa wana tabia ya kuprint tiket nyingi wakiwa wenyewe.. kisha wateja...
Ukiusikia usemi wa watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa basi sasa ndio amini kuwa usemi huo upo na unafanya kazi.
Jumapili iliyopita nilimsindikiza mpwa wangu ( mtoto wa dada yangu yangu) kwenda kujitambulisha na kupangiwa mahari huko kijijini kwa binti (Bibi harusi mtarajiwa)
Kwa...
Naongea na wazee wenzangu Leo, let's say hakuna tatizo nyumbani mko powa.
Mama ameanza tabia za kulala na Watoto na hakuna ugomvi wowote.
Na sometimes una vidume vikubwa kuna wakati mama anaona hah Leo jumamosi kuna wedding somewhere natoka na first born wangu wa kiume baba atasubiri nyumbani...
Wakuu asalaam Aleikum, Tumsifu Yesu Kristo, Bwana Yesu Asifiwe, nawasalamu kwa jina la Jamhuri ya Muungano.
Nije kwenye mada mimi ni mwanaume ambaye kidogo nimeshavuta vuta umri kiasi (niko around 40+) nina mke na watoto watatu. Lengo la kuja hapa naomba tupeane ushauri. Binafsi nimezunguka...
Nimependa hili andiko la @aadamskitundu , tulisome wote tutajifunza kitu....
Mpaka Sasa GSM Hawajafanya Malipo Yoyote Ya Kimkataba Kwa Klabu Yoyote Ya Ligi Kuu Tanzania Bara.
Halafu Hapo Hapo Wanataka Kutumia Kigezo Cha Simba Sc Kutojihusisha na Mkataba Wao Kama Ngao Ya Kusifia Maamuzi Hayo...
Yaani kama umeshavuka miaka 25 basi kuangalia Tom & Jerry inakuwa ni vioja na kuonekana mtu wa ajabu sana,bado hujakua.Ila kama unataka kufurahi kama enzi zile basi angalia viongozi wa Tanzania wanapozungumza ,wawe wa serikali au wa vyama vya siasa,hata huko kweny vyuo au hata wale maprofesa...
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi kubwa la watoto kuumwa hasa wanapata homa kali, kifua namafua.
Kwa utafiti wangu nimeona watoto wa jirani na rafiki zangu watoto wao kama 20 hivi wakiwa wanapata shida hiyo.
Majuma mawili yaliyopita watoto wangu wote wawili (Twins) wakawa wanapata homa...
Habarini za usiku wasomaji
Mimi ni kijana mdogo tuu ambaye mara nyingi hujishughulisha na kilimo na ufugaji.
Sasa mwaka huu baada ya kuvuna alizeti na vimahindi vyangu nikaona isiwe tabu ngoja nifungue kabiashara ka kupumzikia tu kiangazi hiki.
Nikatafta fremu nikafungua biashara na hapo...
Mama huyu ametoa malalamiko yake kuwa watu wazima wanasababish foleni kuwa ndefu. Waruhusiwe tu wenye watoto na wazazi au walezi wao.
Ameendelea kusema watoto wanaposikia njaa foleni za kununua chakula ni ndefu na wengi wao ni watu wazima wasio na watoto. Kuna mtoto wa miaka mitatu alikua...
Miaka ile ilikua ni habari za mdomo tu, unafahamishwa wafanya biashara wenye huduma ya kutuma pesa. Wengi walikua Kariakoo. Walifanya huduma hii katika mikoa yenye biashara zao.
Ukifika pale unatoa maelekezo ya ndugu yako aliye Arusha, jina lake na namba yake ya simu. Wanaandika katika...
Kwa niliyo yaona mtaa niliotoka.
1. Huyu mmama wa kwanza mwanae ni mshikaji wangu nilisoma nae mafundisho, mama ni mjane, mwana alimfuma mama yake anagongwa home na kijana mdogo. Jamaa alimpiga mama yake na yule dogo.
2. Kuna mama huyu muimba kwaya kanisani huyu ndio oya oya, vijana wengi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.