watanganyika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Subira the princess

    Ndugu zangu watanganyika usiku wa deni haukawii kukucha.

    Wasalaam. Mababu zetu zamani zile walikua na misemo ya konakona na mingine imenyooka, hatimae ule usiku wa deni umefika kesho tarehe 21/12/2024 mh mbowe atatoa msimamo wake kuhusu uenyekiti ndani ya chadema. Familia na wazee wamemnasihi asigombee, lakini machawa na wachumia tumbo wanamlazimisha...
  2. Wakusoma 12

    Miaka 63 ya uhuru Bado watanganyika tupo kwenye makucha ya watawala. Tupitie mashairi ya development kutoka kwa mshairi Kundi Faraja.

    A man of the people Enters his office to sit on the throne of Party and State, His stick of power Across the table. He looks into the files To see the demands Of the millions of people Who for years since Uhuru Have just managed to survive They ring out one message Man of the people You have...
  3. ichumu lya

    Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  4. Mandela5599

    Muungano unawanyonya Watanganyika

    Kwamba Zanzibar inawatu milioni moja na nusu, inawabunge 80 kwenye bunge la jamhuri ya muungano, wanalipwa posho na stahiki zote sawa na mbunge mwingine yoyote Mkoa wa Tanga unawatu milioni 2 na laiki mbili,kwa idadi ya watu Tanga inawazidi Zanzibar kwa zaidi ya watu milioni moja. Tanga ina...
  5. milele amina

    Tanganyika Tunapigwa na kitu kizito, tujitafakari.

    Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana kwa amani, ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia. Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na...
  6. milele amina

    Watanganyika amkeni tujitafakari haraka ! Tunapigwa na kitu kizito

    Nina huzuni na kushangazwa na hali ilivyo sasa. Wale waliouwawa, waliotekwa, na waliopotezwa ni watanganyika. Wale wanaoandamana ni watanganyika, na polisi wote ni watanganyika pia. Wale wanaoamuru polisi wa Tanganyika kuwapiga na kuuwa watanganyika ni Waziri wa Mambo ya Ndani na Rais wote...
  7. Determinantor

    TANZIA Dar: Ali Mohamed Kibao, kiongozi wa CHADEMA auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

    Anaandika Boniyai kutoka Account yake ya X ====== Ali Mohamed Kibao Ameuawa Mjumbe wa Sekretarieti ya CHADEMA Taifa na Msaidizi wa Katibu Mkuu umekutwa hospitali ya Mkoa wa Kinondoni,Mwananyamala katika chumba cha kuhifadhia maiti mwili wake ukiwa UMEHARIBIWA VIBAYA SANA. Mwili wa ALI...
  8. FRANCIS DA DON

    Kuagiza mabasi ya mwendokasi ya dizeli baada ya kukamilika kwa Bwawa la Nyerere itakuwa ni kipimo cha ujinga kwa Watanzania

    Utaahira upo wa aina nyingi, pia upo utaahira binafsi na utaahira jumuishi (Communal insanity). Sifahamu bado kama mabasi yaliyoagizwa kwa ajili ya kutumika kwenye mradi wa mabasi yaendayo haraka wa Mbagala kwamba ni ya Diesel au ya umeme (Rechargeable); ila kama kweli tutakuwa tumeagiza mabasi...
  9. Q

    Kuelekea 2025 Rais Samia: Kuna Mbwa Mpumbavu anabwekea maendeleo yetu

    Rais Samia alitoa kauli hiyo wakati alipo muomba Naibu waziri wa Sanaa na michezo maarufu kama Mwana Fa kuimba mashairi wakati akitaka kuanza kuongea na wana Zanzibar katika uzinduzi wa Suluhu Sports Club. katika sehemu aliyoimba Mwana FA ambaye ni Naibu Waziri wa Sanaa na Michezo alisema "mbwa...
  10. R

    Kwa haya yanayotendeka ya mauaji ya watanganyika kwa kuwateka, sababu ya katiba ya UFALME, aliyoiacha Nyerere, siyo baba wa Taifa na si mtakatifu

    Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita! Rais-Mfalme quotes Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
  11. Adverse Effect

    Watanganyika tuamke usingizini, nchi imepigwa mnada tayari

    Moja kwa moja kwenye mada. Tukiendelea kukaa kimya na kufumba macho pamoja na kuziba masikio tunajidanganya. Sakata la Loliondo miaka ya 90 utawala wa Rais Ally Hassa Mwinyi uliwafurusha wamasai na kuwaweka waarabu, tukasema hayatuhusu. Ingawa wapo waliopaza sauti hadi kupoteza maisha. Heshima...
  12. Mi mi

    TATIZO WATANGANYIKA

    Tatizo watanganyika wameisha jimilikisha jina na nchi ya Tanzania na wameuvaa Utanzania haswa kuliko Wazanzibar. Wanadhani Wazanzibar ni Watanzania na wanajali hata kuhusu huo Utanzania na mambo yake. Nyie watu hamfahamu namna lilivyo kubwa hili suala la Tanganyika na Zanzibar mnapo sikia...
  13. Nyendo

    Kuelekea 2025 CHADEMA: Tutafungua kesi dhidi ya Sisty Nyahoza na Awadh Haji juu ya kukamatwa na kupigwa kwa viongozi na wanachama wa CHADEMA

    Baada ya Viongozi na wanachama wa CHADEMA kukamatwa na Jeshi la Polisi Agosti 11, 2024 walipokuwa wakielekea Jijini Mbeya kwenye kongamano la Vijana Duniani na kisha kuanza kuachiwa kuanzia 12 Agosti 2024 kwa kile polisi walichodai kuwa walitaka kuharibu amani ya nchi...
  14. and 300

    Namna ya Kula pesa za Watanzania bila kutumia nguvu kubwa

    1. Anzisha Chama cha siasa, piga domo upate angalau Diwani, mbunge ruzuku kama zote. 2. Anzisha huduma za maombezi na kupata utajiri, utakusanya pesa za wavivu mpaka ukimbie, 3. Betting/Bahati Nasibu ya kujishindia Mamilioni kwa kucheza kwa Tsh 500 Tu. 4. Andaa matangazo ya ajira mishahara...
  15. Ngongo

    Ushabiki wa Simba na Yanga umewapumbaza Watanganyika

    Heshima sana wanajamvi, Katika miaka ya karibuni (labda 2020 - 2024) umekuwepo ushabiki mkubwa wa mpira baina ya club mbili kubwa Simba na Dar Young Africa. Ushabiki wa mpira, ngoma, kwaya, sarakasi, sana saana nyinginezo si jambo baya hasa katika kuburudisha na kuboresha afya ya akili...
  16. Kamanda Asiyechoka

    Je Mwabukusi atawasaidia Watanganyika dhidi ya ukatili na uovu wa jeshi la polisi iwapo atashinda urais wa Tls?

    Tangu tuwe chini ya mkoloni jeshi la polisi linalalamikiwa kila siku. Utesaji na mauaji ya watuhumiwa. Kila siku ni kilio kwa wananchi. Moja ya dhima ya kuanzishea Tls mwaka ni 1954 ni kutoa msaada kwa jamii inayoonewa na kunyimwa haki . Sasa mbona utesaji wa polisi na hata mauaji...
  17. Mkwawe

    Rais Samia najua hautupendi watanganyika ila angalau tufanyie hili

    Una miaka 60+ kwa sasa una nguvu kiasi na una uwezo wa kufanya mambo kadhaa ila baada ya miaka 17 hautakuwa Samia huyu wa Sasa. Pengine Kuna mambo unayafanya kwa ajili ya kizazi chako ila niamini mimi Mkwawe pindi utakapopoteza madaraka, ushawishi na nguvu hakuna chawa yeyote atayekupambania...
  18. J

    Kwanini wanasiasa wa Zanzibar hawanunuliwi, badala yake tunanunuliwa Watanganyika tu?

    Utaratibu wa kununua wanasiasa Mama Abduli ameukuta. Lakini ifike mahali Watanganyika tujifunze toka kwa Wazanzibari. Wenzetu hawana hiyo michezo michafu ya kudhalilishana kama huku Tanganyika. Kulikoni Watanganyika?
Back
Top Bottom