Majuzi nimekaa kwenye bwalo la halmashauri ya Mbeya vijijini nikishuhudia machozi ya vijana wasomi wa kitanzania wakimwaga machozi baada ya kuonekana hawajapita kwenye interview ya inayosimamiwa na watu wasiojua thamani na gharama za mtu kukaa miaka mitatu akipambania shahada ya ualimu kwa jasho...
Ndugu ..
Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo,
Kuna fani hazipo kwenye job careers ya TRA. Mustakabali wake ni upi zimekaaje na kwanini hazipo ,je fani zinazotolewa na vyuo vya Tanzania hazijulikani zote. Je, mamlaka mnatusaidiaje wasomi ili fani zetu zote ziwepo kwenye career ya TRA ili...
Hello!
Sipo hapa kuwabenza ama kuwananga hapana ninachohitaji kujua/kufahamu ni kuhusu elimu zenu hizo mmezipambania kwa udi na uvumba na kwa gharama huku mkijinyima sana.Kwa kifupi hongereni sana na wapongeza kwa msoto huo.
Mara kadhaa tumewasikia wabunge kama msukuma na kishimba wakikosoa...
Daaah, ila maisha yanaenda Kasi sana.
Alipokuwa msichana mrembo pale ITV na Redio One alijulikana kama Beatrice Chalamila Binti kutokea Mkoani Iringa.
Baada ya kupagawa na usakataji kabumbu pamoja na uhandsome wa mkaka aliyejulikana kama Boniface MKWASA, mchezaji wa timu ya Young Africans...
Msomi huyu wa mzumbe kasoma pale na kupata elimu yake mzumbe alicho jifunza ni hiki ambacho ana kifanya leo kwenye macho ya watu Mwijaku siku akiambiliwa alambe mwiko sifikiri kama atajiuliza sana
Watoto wake uko shule wanaishije ana tengeneza mazingira ya familia yake kutukanwa kila siku na...
Habari Wakuu!
Ukifuatilia kwa umakini uchaguzi huu. Utagundua Wasomi wengi na watu wanaopenda elimu wengi wao wanamuunga Mkono Tundu Antipas Lisu kuwa Mwenyekiti.
Hii ni tofauti na upande wa pili ambao wengi wao hata Elimu yao ni yamashaka, Elimu ya kuungaunga, huku wengine wakiwa wamekimbia...
Wasomi ni watu Wenye maswali mengi sana ktk Biashara,pia Wasomi uendesha mambo kwa maelezo mengi,ila sisi ambao sio Wasomi si Tunafanya tu bila kua na maswali mengi matokeo tutakunana nayo uko mbele ya safari .
Kuna shida Tena sio kidogo wasomi wameenda wapi miaka 20 taasisi inaburuzwa na mtu aliyefeli shule na kufukuzaa wasomi kwenye chama.?
Mtu Kama Dr Slaa na Zitto wanaondoka kihuni na wasomi kibao wanakimbia hiki chama
Ana Nini Cha ziada huyu zero brain ambaye Hana hata shahada ??
Nina mashaka...
Kwako Mwalimu kashasha.
Binafsi nimefika chuo lakini sijawahi kuhudhuria hizi graduation toka msingi mpaka namaliza masomo yangu ya chuo.
Kuna maanishwa kipi hasa au ndiyo modernization?
Habarini ndugu zangu,
Naomba nisiwachoshe, bali niingie moja kwa moja kwenye swala la msingi. Kuna mtaa hapa Iringa mjini unaitwa Mashine Tatu, ambao ni mtaa wa pili kwa idadi kubwa ya wafanyabiashara wadogo na wakubwa. Mtaa namba moja kwa shughuli nyingi ni Miyomboni.
Ndugu zangu, mtaa huu...
Tangua ujio wa Chadema zaidi ya miaka thelathini iliyopita, ni haswa chini ya uongoze wa Mzee Mbowe kumekuepo na snitofahamu kati ya viongozi wanohoji na ambao ni wasomi dhidi ya viongozi ambao hawako kwenye hilo kundi.
Tumeshuhudia wasomi nguli wakiondoka chadema kwa sababu za ajabu kabisa...
Msomi mmoja amewahi kusema Lugha ya kiswahili inamisamiati michache hivyo inakuwa ngumu kutafsiri vitabu vya Lugha zingine.
Huu Nauita ni upumbafu kwa sababu lugha inakua na kubadilika kila wakati. Mabadiliko haya yanaweza kutokana na mambo mbalimbali kama vile maendeleo ya teknolojia...
Naomba nianze kwa kutoa credit kwa member wa humu jamii forum aliyeandika hiyo title. Kwa kweli imenigusa sana mpaka nikashawishika kuitengenezea mada tofauti.
Ebu jiulize ni wangapi wameweza kuexcell na kufanikiwa kimaisha na kimaendeleo kwa haraka zaidi ya wanasiasa na Machawa kwa miaka 5...
Kuna baadhi ya dada zetu wamesoma na wanaelimu nzuri tu. Lakini wasomi wakike jamani wanaringa sana na kujiona wao ndiyo kila kitu na dharau za kutosha.
Wengi wao wanaona wao ndiyo bora mbele ya mwanaume lakini hata huko maofisini wapejipa majina yao wakijiita mafemenisti mh jamani ni balaa...
Kenya already in it - they doing it BIG, Rwanda Next one in line..
Uganda might as well be on the move - Sisi tukajiandikishe daftari la kupiga kura na mambo yetu ya serikali za mitaa kwanza..
Part of Africa is Doing iT 🙃
Kwa tafiti ndogo niliyofanya nimeona ndoa nyingi za wasomi watupu hazifanyi vizuri. Zimejaa dharau na viburi na mwisho huwa ni separation.
Kama umesoma sana kama ni mwanaume tafuta msichana ambaye ana elimu ya kawaida mtaishi vizuri. Hata msichana tafuta mwanauame mwenye elimu ya kati mtafanya...
Elimu ni Ufunguo wa Maisha.
Mtu Mwenye Elimu anatakiwa amuelimishe asiyekuwa na Elimu.
Ni Ujinga na Ubwege wa kiwango cha PhD pale Msomi anapoamua kuikataa Elimu aliyo nayo na kuamuwa kuwa Chawa, Msomi huyo huwa mjinga zaidi kuliko alivyokuwaga kabla ya kuwa na Elimu.
KWA NINI WATANZANIA WENGI NI MASKINI?
Sijawahi kumwona Mtanzania kwa wakati wowote ule ameondokana na umaskini, umaskini ambao sasa ni mkubwa mno na unakaribia kutudidimiza.
Binafsi nauchukulia umaskini kama kukosekana kwa mahitaji ya lazima ya kila siku kwa mwanadamu: malazi mazuri, chakula...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.