Leo tujifunze kuhusu interview au usaili
Wengi wetu tumeshawahi kudhuria interview na tunajua kabisa mziki na mtiti wa interview sio wa kitoto hasa ukiwa huna uzoefu na namna ipi ya kukabiliana na interview.
Interview inaweza kukupanikisha kiasi cha kukosa amani kabisa na kukufanya ujihisi...
Habari za siku mbili tatu wakuu na wananzengo hapa jukwaani?
Hi video ni ile ya uchaguzi Mkuu 2020 nimeitumia hapa kutaka kusema kitu kuhusu hizi chaguzi
Unajua kwa kawaida kabisa ni wazi Majeshi yetu hayatakiwi kuchagua upande, majeshi yetu hayatakiwi kuonesha hisia zao wazi kisiasa...
Nilikua kwenye nyumba ya kupanga, nzuri tu. Tatizo mwenye nyumba akapandisha bei kwa asilimia zaidi ya 25, bila taarifa mapema.
Nikaona sio shida, nikahama mkataba ulivyoisha. Sasa katika harakati za kutafuta nyumba, kuna vitu nimejifunza na vingine nimeshachelewa nimejikuta najuta tayari niko...
napenda kuwakumbusha mambo muhimu ya kuzingatia unapoomba nafasi secretariati ya ajira katika utumishi wa umma
1. hakikisha unatoa copy ya vyeti ikiwemo cha kuzaliwa, sekondari na talaluma na kuweka muhuri wa kuverify kwa wakili, mwanasheria au mahakama
2. unapoandika barua ya maombi...
VITU VYA KUZINGATIA KATIKA MAISHA
MAISHA YANA VITU 7;
1:- Furaha.
2:- Karaha.
3:- Misukosuko.
4:- Majonzi.
5:- Migogoro.
6:- Mikasa.
7:- Chuki.
Haya yote husababishwa na viumbe hai kama mimi na wewe, ili kuyashinda haya yakupasa uwe na mambo 4.
1:- Subira.
2:- Uelewa.
3:-...
ACCOUNTING CONCEPTS
Hizi ni sheria ambazo hutumika katika kutengeneza ripoti za kiuhasibu na kutunza mahesabu ya kibiashara.
Kila kitu kina imani yake, hizi concepts ni kama imani zinazoongoza taratibu za kiuhasibu.
1. GOING ON CONCEPT.
Hapa ni kuamini kuwa biashara unayoianzisha...
Niko na mwenza naishi nae, bado sijaoa ila niko nae tu kuvukisha kipindi hiki cha baridi kipite salama bila kubanwa na Ngiri. Mwenza wangu ni mjamzito, na kesho namsindkiza clinic kwenda kumfungulia kadi.
Kwa kweli sijawahi kwenda huko, watoto wangu wote ni mama zao tu ndio walikuwa wanaenda...
Na Chu Joe
Habari za muda huu Watanzania wenzangu natumaini nyote mko salama, leo napanda jukwaani nikieleza kwa uchache mambo unayotakiwa kuyafanya kijana ili uweze kutimiza ndoto zako au malengo yako iwe ni katika biashara, kazi, nasomo, nk.
1. Muombe Mungu na umshirikishe unachotaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.