James Boyd Utt (March 11, 1899 – March 1, 1970) was a conservative Republican U.S. representative from Orange County, California, from 1953 until his death from a heart attack.
Kuna wale raia huniuliza ""Kwanini unaipenda Faida Fund kuliko UTT??
Na hili ndilo jibu lake.
Tazama kwenye picha kipengele cha Sale Price Per Unit Vs Repurchase Price Per Unit.
FAIDA FUND.
UTT
Anyway:-
Tuendelee kutafuta hela
#YANGA_BINGWA
#YNWA
Habari zenu wadau. Hivi ni Bank gani ina toa riba nzuri pale mtu anapoweka pesa Kwa lengo la kupata faida. Je Kuna ukweli kuwa ECO Bank Wana riba kubwa kuzidi UTT??
Naomba mawazo yenu, maana nipo kwenye process ya kuanza uwekezaji mdogo kwenye hizi Financial Entities. Nawasilisha Ahsante.
Habari wadau wa UTT,
Hivi kwa wale wenye uzoefu ukiwa umewekeza kiasi cha shilingi Milioni 2 na laki moja jikimu fund utapata kiasi cha shiling ngapi kwa kila miezi 3 yaani quoter 1, quoter 2, quoter 3 na quoter 4?
na je hicho kiwango huwa kinawekwa muda gani mfano miezi mitatu ya mwanzo bimana...
Kuna wadau waliomba kujua toafuti ya M-wekeza, ipi bora , n.k
Nitaeleza kwa ufupi kwa wale wanaohitaji kupata hivyo visenti basi wanufaike.
UMILIKI
UTT AIMS nishirika la umma
M-wekeza ni mradi wa Vodacom na Sanlam ambayo ni mashirika ya kibinafsi
FAIDA NA HASARA
Faida ya M-wekeza ni hadi 13.%...
Kati ya UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania) na CRDB Bank (kupitia hisa au mifuko ya uwekezaji), chaguo lako litategemea malengo yako ya uwekezaji, kiwango cha hatari unachoweza kuvumilia, na faida unayotegemea. Hapa kuna mlinganisho mfupi:
1. UTT AMIS (Unit Trust of Tanzania – Asset Management and...
kipi ni bora kwa uwekezaji TANZANIA kati ya kuwekeza katika biashara ya nyumba au kuwekeza katika mfuko wa hifadhi wa UTT??
Let's say una milion 30 ni bora ujengee nyumba in which utapata kodi labda ya 250k au ni bora uwekeze kwenye UTT in which ina return ya labda 1% per month ambayo ni kama...
Kwema Wakuu,
Za weekend?
Nipo nachanganua hapa. Mfano nikiwa na labda 20,000,000/- nikazitia UTT Kwa riba ya 12% naweza kupata roughly 2,400,000 faida baada ya mwaka mmoja.
Alternatively hizi 20,000,000/- kama kiwanja ninacho nikijenga hata Chumba, sebule na choo Kwa eneo nililoko sikosi hata...
Wakuu kuna mtoto wangu kaanza shule mwaka huu, chekechea ada yake ni milioni 1.5 ukijumlisha na vikorokoro vingine inaweza fika jumla milioni 1.7
Sio muumini sana wa hizi shule, ila mama yake ndio aling'ang'ania sana tumpeleke huko baada ya kuona rafiki zake nao wamepeleka watoto wao shule za...
Wakuu,
Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa nikose.
Kifupi mshahara wangu ni 1000k+ as take home. Kwanzia mwezi huu huwa nina tabia ya kusave...
Wapendwa wote habari za mwaka mpya 2025 !! Jamani kama kichwa cha habari nlivo kiweka hapo juu, naomba anaye weza kunipa ufafanuzi juu ya mifuko ya Utt na faida za uwekezaji katika sekta hiyo. Maana nimepitia nyuzi mbalimbali humu JF nikaona wengi wanazungumzia kuhusu UTT
Habari wana JF, nitangulize salamu zangu za Kheli ya mwaka mpya kwenu nyote.
Kama ilivyo ada kuanza mwaka na malengo mbalimbali ya kimaisha hasa katika eneo la uchumi, hivyo nikajipa assignment kidogo ya kupitia na kuangalia huu uwekezaji kupitia mifuko ya UTT kama ambavyo mada nyingi zimewekwa...
Wazee chukulia nina billion 5 kutoka kwenye biashara zangu mbalimbali.
Nimeona tangazo la UTT Amis kwamba wanagawa gawio zuri kwa mwaka ndio nikataka kuwauliza nyie rafiki zangu wa humu JamiiForums.
Je, hawa jamaa nikiweka pesa inakua salama? Nikiweka Bilioni 5 napata gawio Bei Gani Kila...
Baada ya kushauriwa na rafiki yangu kuhusu uwekezaji katika mifuko ya pamoja na kunielezea juu ya UTT AMIS nimevutiwa juu ya hili na kutaka kufahamu zaidi kuhusu UTT AMIS.
Katika harakati za kutafuta maarifa kuhusu UTT AMIS nikaperuzi kwa site zao niweze ona pia vigezo na masharti walivyoweka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.