utt amis

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mpishimzoefu

    SoC04 Mfuko wa uwekezaji wa pamoja (UTT AMIS) uunganishwe na mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ili kuwakwamua Watumishi wa Umma

    Watumishi wa Umma wamekuwa wakipitia changamoto za kifedha kwasababu ya kukosa kipato Cha ziada,Iwapo mifuko hii itaunganishwa changamoto hii inaweza kupungua. Kwanza nianze na kueleza maana ya mifuko hii 1. NSSF Ni mfuko wa hifadhi ya jamii ambao unamsaidia mfanyakazi wa Umma au Taasisi...
  2. A

    KERO Huduma kwa wateja UTT Amis ni mbovu, simu zinakatwa au hazipokelewi kabisa na kwenye mitandao ya kijamii hawajibu

    Habari ndugu wadau!? Kuna nini kinaendelea kwenye mifuko ya uwekezaji UTT Amis? Huduma zao kwenye upande wa kupokea simu imekuwa ni janga, hazipokelewi ziadi ya kukatwa. Hii inatia wasiwasi kwa watu tuliopo mbali na ofisi zao hatujui kinachoendelea kuhusu pesa zetu, lakini pia maswali mengi...
  3. Mama Mwana

    Namna ya kujiunga na UTT AMIS

    Hellow friends, naomba kuelekezwa namna ya kujiunga na hii kitu
  4. mkarimani feki

    Niwekeze kiasi gani UTT AMIS ili gawio langu kwa mwezi ifike 250k

    Wakuu nime-estimate matumizi ya familia yangu, bills na msosi kwa mwezi jumla yake ni 250k. Je mfuko gani UTT unaoweza kunipa fixed commission ya 250k kwa mwezi?
  5. WANGAMBA

    Ila UTT AMISS ni bonge la mchongo

    Ila UTT ni bonge la mchongo mwaka jana nimevunja kibubu changu cha chuma nikakuta m8 na usheee pesa nilijibanabana mwenyewe hamna kilichoongezaka, Mwaka huu 15/05/2022 nikafungua account UTT nilianza na laki 5 na baada ya hapo nikaendelea na utaratibu kama naweka kwenye kibubu nikipata 10k au...
  6. KingOligarchy

    Soko la hisa la Dar es Salaam (DSE) watangaza securities investment and trading course (SIT) kuanza mwezi ujao

    DSE watangaza certification yao itakayoanza mwezi ujao. Baada ya kuangalia content nimeona walimu watakaofundisha ni kutoka watu wenye experience kutoka vitengo vya Treasury - Bank, UTT Amis watu wa portfolio management , kuna wengine pia ni CFA Holders! Kudos DSE this is good work, Tukutane...
  7. Vladimir Lenin

    Je, ni mfuko gani wa UTT AMIS uko vizuri zaidi?

    Habari wakuu, Huwa naisikia UTT Amis kupitia mifuko yake ambayo ipo takribani sita, wekeza maisha, watoto fund, umoja fund, bond fund etc. Je, kuna mdau yoyote ambae ni member wa UTT anipe ufafanuzi zaidi? Natanguliza shukrani.
Back
Top Bottom