Tafadhali naomba Uongozi wa TAA uzikate ziwe ndogo ili Kuupendezesha kwani kwa jinsi zilivyo sasa zinatia Aibu hasa Kimandhari.
Nikirejea tena Likizo fupi Tanzania naomba nisizikute kwani haziwaaibishi tu TAA bali hata Watanzania wote kuwa ni Wachafu na Watu tusiojali.
Asanteni wana Dar es...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao .
Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika...
Habari, wapendwa Watanzania!
Ningependa kuwajulisha jinsi utalii wa ndani ulivyo na raha na fursa nzuri kwa kila mmoja wetu. Kama mtaalamu wa utalii (Professional Tour Guide), Planner wa Likizo (Holiday Planner), na mmiliki wa Shirika la Utalii (Travel Agency), mimi ni tayari kukusaidia kupanga...
1.0
In a quest to enhance and attract new natural experiences to city centers, the design, planning, and revitalization of certain urban spaces align with strategies aimed at improving the quality of life for residents while maintaining a connection with nature rooted in the local landscape...
Wana jamvi,
Planning a successful tour requires ushirikiano na makubaliano ili kuhakikisha kila mtu anafurahia safari. You have the freedom to organize any travel adventure, select the best destination, and set a budget inayokidhi mahitaji ya kila mmoja.
It's very important to support domestic...
Afisa Mnadhimu Namba moja wa Polisi Kikosi cha Kuzuia Wizi wa Mifugo Makao Makuu, Mrakibu wa Polisi (SP) Suzan Kidiku akieleza namna ambavyo wamepata fursa ya kujifunza na kufurahia Utalii katika hifadhi za taifa ambapo ameziomba Jamii za kifugaji ambazo zinaishi karibu na hifadhi kulinda na...
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii anayeshughulikia Maliasili Kamishna wa Polisi Benedict Wakulyamba akiwa njiani kuelekea Hifadhi ya Taifa Serengeti amefanya ziara ya kushtukiza katika Lango la Nabi la Hifadhi ya Taifa Serengeti Kisha kukagua miundombinu pamoja na huduma...
Huyu jamaa ni zaidi ya Royal Tour, ziara yake ya siku chache tena bila gharama kubwa ya kuumiza Nchi, Imezaa matunda ya kutisha!
Hapa akiwa na Mbunge wa Jimbo
Hapa akiwa na Mstahiki Meya
Wizara ya Utalii na mambo ya Kale Zanzibar imewapatia mafunzo maalum watembeza watalii 150 (Beach Boys) ili kuona kazi hiyo inafanywa vizuri kwa kulinda maslahi ya Zanziabr na tamaduni zisipotee.
Yamesemwa hayo leo huko Maruhubi katika Chuo cha Hoteli na Utalii na Mkurugenzi wa Utalii Dkt...
Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia...
WIZARA YATAKIWA KUBUNI MAZAO MAPYA YA UTALII KWENYE ENEO LA AMBONI
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ardhi, Maliasili na Utalii imeitaka Wizara ya Maliasili na Utalii kubuni mazao mapya ya Utalii ili kuwavutia watalii huku ikisisitiza kwamba inatamani watalii wanaotoka Zanzibar kwenda kutalii...
Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:-
Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
Habari za jioni wana JF.
Katika kutafuta fursa za kimaisha baada ya kustaafishwa rasmi na Trump 😃😄😁😀.
Niliwasiliana na jamaa yangu mmoja ambaye naye amestaafishwa na Trump ambaye alikuwa anafanya kazi kwenye shirika moja la Kilimo huko Iringa. Jamaa alinieleza fursa za Kilimo kwenye Kulima...
Wizara ya maliasili na utalii imepongezwa kwa kutafsiri kwa vitendo maono ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kuonyesha juhudi kubwa katika kuendeleza sekta ya utalii kwa kufanya uwekezaji mkubwa kwenye Taasisi za wizara ikiwemo Mamlaka ya usimamizi wa...
1. Kama Taifa tunaelekea pazuri kwenye Utalii wa Mikutano ya Kimataifa.
2. Waziri wa Utalii na Mambo ya nje hawapaswi kulala kusaka hizi fursa za watalii wenye pesa kwa mfano hawa Energy summit waandaliwe trip ya kwenda Zanzibar, Bagamoyo, Ngorongoro.
Kwa mujibu wa taarifa ya Oakland Institute kama ilivyonukuliwa na MongaBay ni kwamba Wananchi wa eneo la hifadhi ya Ruaha walipeleka malalamiko Benki ya Dunia Kisha kufunguliwa Kwa kesi Kwa manyanyaso waliyofanyiwa na maafisa wa TANAPA ikiwemo kuporwa mifugo Yao kwenye zoezi la kutaka kupanua...
Mbona kama utalii unaendana sana na masuala ya utamaduni na sanaa kama vile nguo na vinyago vya wamasai??
Sasa vinyago vya wamasai na habari, wapi na wapi wakuu?? Au sanaa za wamakonde na michezo ya Simba na Yanga ni wapi na wapi??
Hivi hawa wanaopanga hivi vitu ndani ya Wizara huwa wanawazaga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.