Unguja (also referred to as "Zanzibar Island" or simply "Zanzibar", in Ancient Greek: Μενουθιάς, romanized: Menuthias - as mentioned in The Periplus of the Erythraean Sea) is the largest and most populated island of the Zanzibar archipelago, in Tanzania.
Heshima yenu wakuu.
After a long while of unsuccessfully seeking for a job in Dar, nataka nijivike mabomu na niende Zanzibar kutafuta kazi/kibarua.
Kwa anaefahamu, kuna fursa za manual labour maeneo gani ndani ya Zanzibar?
Stay blessed.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara Wilaya ya Kusini Unguja tarehe 29 Agosti, 2023 visiwani Zanzibar.
https://www.youtube.com/live/LlyEZLuVGeU?si=3tvUhyO8r-RMSUIO
Rais Samia amezindua madarasa Mapya 6 Buyuni Shule ya Msingi pamoja na kuzindua holi la...
Zan fast ferries wanatarajia kutambulisha boti mpya Zanzibar 3 ambayo inatarajia kufanya safari zake baina ya Dar-Znz-Pemba. Hili litakuwa jambo jema kwa wakazi wa Pemba kwani kilio chao cha muda mrefu kitakuwa kimefutwa. Pemba kwa sasa wanategemea meli ya Azam Sealink 1 & 2, ikraam sealine na...
Mkuu wa Wilaya ya Mjini Unguja, Zanzibar, Rashid Simai Msaraka amefanya ziara ya kushtukiza katika Shule ya Sekondari ya Forodhani kwa lengo la kufanya msako wa Wanafunzi wanaotumia shisha zinazotumia umeme pamoja na simu.
DC huyo amefika Shuleni na kuamuru Wanafunzi wote washushwe parade na...
Kumekucha, Chadema wamegusa pabaya.
========
Katibu wa CHADEMA Kanda ya Unguja Ali Ebrahim, akizungumzia Sakata la Ukodishwaji wa Bandari za Tanzania amezungumzia umuhimu wa kutokuwahukumu Wazanzibari kwa kuzingatia vitendo vya watu wachache na si haki kusema "Wazanzibari wameuza bandari"...
Dar-Unguja ni takriban kilometer 85. Tuna madaraja muhimu sana ya kuunganisha mkoa kwa mkoa au wilaya kwa wilaya yenye urefu wa mita 20 au 50 tu na tumeshindwa kuyajenga leo hii tunafikiria kujenga daraja la km 85?!
Kwanini tusipanue bandari zetu na kuimarisha usafiri wa majini kwa kuweka boat...
Mbunge wa Viti Maalum Vijana Kusini Unguja Latifa Juwakali alishiriki halfla ya Uzinduzi wa ugawaji wa sare za Skuli kwa watoto wenye mahitaji Maalum katika Skuli ya Uzini, Wilaya ya Kati, Kusini Unguja tarehe 06 Machi, 2023.
Katika hafla hiyo ambayo mgeni rasmi alikuwa ni Khamis Hamza Chilo...
MBUNGE WA CHWAKA AZUNGUMZIA MIUNDOMBINU YA ELIMU - WILAYA YA KATI, MKOA KUSINI UNGUJA
Mbunge wa Jimbo la Chwaka Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja Mhe. Haji Mlenge katika kuonyesha utekelezaji wa Ilani ya CCM 2020-2025 kupitia miundombinu ya Elimu katika jimbo la Chwaka ameonyesha miundombinu...
Nimekuwa na kawaida ya kusafiri kwenda Zanzibar mara kwa mara, kuna hili jambo limekuw alikinikera naona leo nilitolee povu, ni kuhusu baadhi ya viti vinavyotumiwa na abiria kusubiri muda wa kuanza safari. Hali ni mbaya, viti kadhaa vimeharibika na mamlaka zipo kimya tu, sometimes pia maeneo...
Hili likifanyika itakuwa rahisi kuanzisha serikali moja tu na kuweka umoja wa kitaifa.
Wananchi wanataka uchumi mzuri na sio kuwa na serikali nyingi. Pia itasaidia kuondoa ubaguzi wa kidini uliopo Zanzibar.
Wakati Watanzania na wadau wa masuala ya afya na lishe wakisubiri ripoti ya Utafi ti wa Afya ya Uzazi na Mtoto (THDS) na Utafi ti wa Kitaifa wa Lishe (TNNS) zote za mwaka 2022, yapo mambo makubwa matatu yanayoikabili sekta ya lishe ikiwemo uzito uliokithiri, viribatumbo au vitambi na udumavu...
Vijana I4 kati yao 6 wakitokea Dar es Salaam wanaodaiwa kujihusisha na uhalifu kwa kutumia silaha za jadi maarufu kwa jina la Panya Road wamefikishwa Mahakamani wakituhumiwa kupora na kujeruhi watu kadhaa Mkoa wa Mjini Magharibi, Unguja.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mjini Magharibu, ACP Richard...
Mradi wa ujenzi wa barabara za juu (Flyover) katika mkoa wa mjini magharibi kisiwani unguja, unatarajiwa kuanza hivi karibuni baada ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kupitia katibu mkuu wa wizara ya ujenzi mawasiliano na uchukuzi wa Zanzibar Bi.Khadija Khamis Rajab kusaini mkataba na...
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Stergomena Lawrence Tax (Mb) amewatembelea na kuongea nao Wananchi wa maeneo ya Visiwa vya Unguja kuhusu namna watakavyoshirikiana katika kutatua migogoro ya ardhi baina yao na vikosi vya Jeshi.
Akiwa kisiwani humo, Stergomena alipata fursa ya...
Bila jazba Wala povu, nauliza?
Nimeona Matangazo wenzetu Kenya wanasema wameuona Mwezi na Leo ni Idd ElFitri!
Huku kwetu tunaambiwa mwezi haujaandama?
Hii huwa inatokeaje, kijigrafia mbona tupo Ukanda mmoja, hili linawezekanaje?
Na wala si mara ya kwanza utata huu kuwepo?
Tatizo ni Nini!
Ni...
Iko hivi, umbali mfupi kati ya Tanganyika na Unguja ni karibia Kilomita 40 ambazo ni sawa na kutoka pale Makutano ya Mataa ya Magomeni Hospitali mpaka Kibaha kwa Mathias.
Uchimbaji na Ukwanguaji wa kisasa wa miamba chini ya bahari kwa kutumia TUNNEL BORING MACHINE inayoweza kukwangua karibia...
Habari ndio kama mnavyoisikia ndugu zangu, mzee wa vijisenti ambaye inasemekana ana akili nyingi kuliko wagombea wengine wote waliokwishachukua fomu, leo tarehe 12/01/2022 amejitosa kwenye kinyang'anyiro hicho.
WASIFU
KUZALIWA
- Mbobezi wa Sheria Barani Afrika na "Alumni" wa Chuo kikuu bora...
Baada ya kufurumushwa wafanyi biashara ndogondogo a.k.a wachuuzi/machinga na kuwekwa uzio wa mabati, wananchi wengi walitazama eneo hili kama sehemu sahihi ya kuwa na jengo la mfano litakalokuwa na huduma za kila aina kama zilivyo Mall nyingine huko duniani.
Nilinasa picha hizi kwa mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.