Ukweli Roach (born September 22, 1986) is an English actor best known for playing the role of FBI psychiatrist Dr. Robert Borden, on the American television series Blindspot.
Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea unajikuta unazidi kuharibu,kwahiyo wakati mwingine kunyamaza ni jibu zuri sana,watu wanabaki njia panda...
Unaambiwa kigezo kikuu cha kazi za serkali za mitaa ni kujitolea kama huna kazi isiombe utakuwa huna vigezo wao ndio wakiomba walikataliwa ukosa vigezo wanaanza kulia lia tu.
Chama kisichofuata hata ishu ndogo kama hizi kitaweza kweli kusimamia mambo ya maana ya siri na nyeti kitaifa na...
Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!.
Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi ndugu zangu wakagawana na Mali zangu Haina shida na ni jambo jema tu.
Shida ni mwanamke achukue Mali...
Aliyekuwa kocha wa Al Ahly ya Nchini Misri ambaye kwa sasa ni Kocha wa Esteghlal FC ya Nchini Iran Pitso Mosimane amesema kocha Nasreddine Nabi hajaambiwa ukweli kuhusu ligi ya Nchini Afrika ya Kusini
Kocha Pisto Mosemane amesema "Nabi anapaswa kuambiwa ukweli.. Ligi ya Afrika Kusini ni ngumu...
Mabibi na mabwana Habari za uzima wenu!.
Wakuu sijaenda kanisani Leo mwaka wa6 sasa bila kukanyaga kanisani. (Haiwahusu)
Nina USHAHIDI na mifano mingini sana ya wanaume waliokufa na chanzo wakiwa wake zao!
Hapa nitajikita na mifano 2 ama mitatu kama nitaweza kuandika hapahapa maana sipendi...
Najua huyu mnyarwanda Israel Mbonyi anapendwa sana na mashabiki wake na kama mnavyojua mapenzi upofu.
Ila sio mzuri kwenye kuimba live ameshindwa kabisa kuonesha uwezo kwenye show yake mlimani city.
Huwezi mfananisha wa waimba gospel kama Paul Clement .
Mbonyi ni aina ya wasanii wanaotoa...
Hii ina ukweli gani wakuu?
ZIWA VICTORIA LIMEWAHI KUKAUKA MAJI YOTE MARA TATU
Ziwa Victoria ni ziwa la pili kwa ukubwa duniani baada ya Ziwa kuu la Kaskazini nchini Marekani.
Ziwa hili ambalo lina kina cha mita 83 ni moja ya maziwa machanga katika historia ya dunia kwa maana hayana miaka...
BAADHI YA MISTARI YA BIBLIA
2 samweli 1:18
(Kama ilivyoandikwa katika kitabu Cha YASHARI), akasema , wana wa Yuda wafundishwe haya.
Yoshua 10:13
Ndipo jua likasimama, na mwezi ukatulia,
Hata hilo taifa lilipokuwa limekwisha jipatiliza juu ya adui zao.
Hayo, je! Hayakuandikwa ndani ya kitabu...
Kila siku tunazungukwa na matangazo na hadithi za kupata “hela chap chap” – mara biashara ya mtandaoni, mara crypto, mara forex, na nyingine nyingi zinazoahidi mkwanja wa haraka. Kila mtu anatamani kutoka kimaisha, na hivyo ndivyo tunavyovutwa kwenye hizi fursa. Lakini swali ni, ni kweli kuna...
Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu )
Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida )
Uhatari wa ugonjwa huu upo...
Habari za Sasa hivi wakuu?
Mimi nimiongoni mwa watu wanao penda Sana kutazama movies hasa pale ninapo kuwa nime maliza majukumu yangu.
ifikapo jioni wakati huwa naangalia picha hasa za kizungu Tena zile za kihistoria
Sasa katika tazama tazama zangu movies Kuna picha niliona inaitwa the game...
Hello Great thinker wa JF,
Hivi ni kweli kwamba Almasi haipasuki hata ikigongwa na nyundo?
Kama ni kweli, Almasi ina kitu gani special mpaka isipasuke hata ikigongwa na nyundo?
Na vipi kuna uwezekano wa kutumia Almasi kwenye screens za simu, TVs n.k kuepuka kuharibika pindi zikidondoka?
wanaotutendea mabaya, wanaotutesa,
wanaotuua,wanaotuibia, wanaotudhulumu haki zetu, wanaotufunga bila hatia…..
Upande wa pili wa shilingi watu hao hao wanawatendea mema
watu wengine, wanasaidia yatima, wanawawezesha wajane, wanajenga nyumba za ibada na kutoa sadaka zinazoendesha nyumba hizo...
Kwanini wanawake hasa walio kwenye mahusiano hawapendi kuambiwa ukweli?
Ni rahisi sana mwanamke kukuamini pindi unapomdanganya kuliko kumuambia ukweli.
Mwanamke anaweza kukuvulia nguo kirahisi ukiingia na gia ya kutaka kumuoa, ukimdanganya kumuoa analoa chapachapa mana wanawake wengi au...
Habari za muda huu,
Natumai mko poa wana jamiii Leo sijaogopa kumpoteza binti mlokole nimemchana nikawambia wewe mimi kama hutak kunipa tunda na mimi usiniombe pesa.
Akasema sawa sitakuomba dooo badae nkawambwambia sasa kana hutaki mimi nikafanye kwa nani na wewe ndio wangu akajibu ety basi...
Mi huwa nashangaa watu hasa siku hizi eti mara ooh huyu ana tatozo la afya ya akili mara ooh huyu ana ahangamoto ya afya ya akili.
Ki ukweli kabisa hakuna kitu kama.hicho. Jiulizeni kwa nini hakuna mzungu au tajiri anakuwa na tatizo la afya ya akili. Kwani waafrica tu ndo wamelaaniwa na...
INTRODUCTION
Mpo raia, ni yuleyule Mr. Liverpool A.K.A Kataa Ndoa.
Baada ya salamu twende kwenye mada;
BODY.
Ndio ni kweli ""Tupo CCM kwasababu kuna kitu tumefata""
1. Wapo ambao wamekosa ajira wakaona wakimbilie CCM
2. Wapo machawa na sababu zao wanazozijua wenyewe.
Watu wengi wapo CCM wana...
Nimeona post ya chama cha ACT WAZALENDO wakidai kuwa wameweka kwapuni wanachama milioni 10 katika majimbo 214 nchini, naona hizi data ziko kifeki feki kiasi kwa chama ambacho hakina hata miaka.
Mhashamu Stephano Musomba OSA Askofu Msaidizi wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam, amesema ya kuwa tukumbuke nafasi zetu katika jamii na sio kupenda kusifia hovyo kwani kufanya hivyo ni kuumiza wengine.
Pia soma: LIVE - Uzi Maalum wa Vibweka na Hekaheka za wanasiasa kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.