ubora

The Ubora Towers is a complex of two towers in the Business Bay district of Dubai, United Arab Emirates. The development consists of the Ubora Commercial Tower and the Ubora Residential Tower. Construction of the Ubora Towers was completed in 2011. It was sold by to Senyar Real Estate in Mid 2018
The Ubora Commercial Tower, also known as the Ubora Tower 1, is a 58-story building. It has a total architectural height of 263 metres (862 ft). The Ubora Residential Tower, or Ubora Tower 2, is a 20-floor structure. The commercial skyscraper was topped out in 2011. The complex was designed by the architectural firm Aedas, with lighting design by AWA Lighting Designers, and is currently managed by Jones Lang Lasalle.
There is a public transport bus stop on both sides of the road named as U bora Tower which is where people working in nearby towers use to board and get down. All the buses crossing this tower expect bus number 50 leads to the nearest Metro Station which is Business Bay Metro Station.

View More On Wikipedia.org
  1. Tajiri Mnyenyekevu

    Ligi namba sita kwa ubora?!

    Imebidi leo nifikirie kwa undani sana hizi taarifa zinazotolewa na vyombo vyetu vya habari mbali mbali hapa nchini kwa kupamba baadhi ya matangazo yakisema ligi namba 6 kwa ubora tanzania kiukweli nijambo jema kwa watanzania jambo moja muhimu ni je kitugani wanaangalia mpaka kuupa hadhi mpira...
  2. Morning Glory1

    Simba wasitafute mchawi ...mchawi wa simba namba1 ni Ahmed Ally...siku huyu jamaa atakapofukuzwa kazi simba itarudi kwenye ubora wake

    Kosa kubwa la Ahmed Ally ni ubinafsi na kulinda kibarua chake kuliko kupigania ubora wa timu...anatumia nguvu nyingi sana kushindana na kina Ally Kamwe na na akina Hashim Ibwe ili aonekane kama yeye ndo semaji namba1 wa mpira hapa nchini.Simba inahitaji wachezaii wake waambiwe ukweli kwasababu...
  3. MKATA KIU

    shule nyingi za msingi zinachaji ada milioni kazaa ila zinazidiwa ubora wa miundombinu na ufundishaji na shule za msingi za serikali kama MiKONGENI

    huu ni ukweli mchungu. tazama mwenyewe video uone ubora wa shule hii ya msingi ya serikali wanaiita kayumba english medium. inayoitwa Mikongeni primary school iliyopo gongo la mboto dar kisha linganisha na private primary school iliyo jirani na unapoishi ilivyo ama shule ya private...
  4. BigTall

    Dkt. Mollel amjibu Lema kibabe kuhusu suala la ubora wa huduma za afya nchini

    Hayo yametokea Februari 11, 2025 wakati wa ibada ya mazishi ya aliyekuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Manyara, Derick Magoma, ambapo Naibu Waziri wa Afya, Dr. Godwin Mollel alipojibu hoja za Godbles Lema wa CHADEMA kuhusu suala la afya, akigusia pia katika Magoma alipokuwa akiugua. Chanzo...
  5. Allen Kilewella

    Kuifunga Simba ndiyo kipimo cha ubora kwa timu za Tanzania

    Kwa Tanzania ili timu ijue ubora wake ni lazima icheza na Simba na kuifunga. Ndiyo maana timu nyingi zinapocheza na Simba uahidiwa mamilioni ya fedha tofauti zikicheza na timu nyingine. Timu yoyote ile ikiifunga Simba, furaha ya wachezaji wake, makocha, viongozi na mashabiki huwa kubwa sana na...
  6. Nomadix

    Ubora na utendaji wa hii upoje?

    Habari wanajukwaa Nahitaji kununua laptop kwaajili ya mambo yafuatayo Kufanya basic coding kwa kutumia HTML,PHP,Javascript,C# Kutumia application za Adobe kama Lightroom,InDesign, na Photoshop Kutumia App za Microsoft kama MS Excel,Word; na Libre Office HP Elitebook 840 G6 (Refurb) nimeona ndio...
  7. Venus Star

    Ujenzi wa Msalato international airport wazidi kunoga –PAC yaridhishwa na maendeleo, yaagiza ukamilike kwa haraka na ubora

    Mradi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato jijini Dodoma umeendelea kuonyesha maendeleo makubwa, huku kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) ikieleza kuridhishwa na hatua zilizofikiwa hadi sasa. PAC imeitaka serikali na wakandarasi kuhakikisha mradi huu unakamilika haraka lakini pia...
  8. Stephano Mgendanyi

    Miradi ya Dharura Ijengwe kwa Kasi na Ubora - Waziri Ulega

    MIRADI YA DHARURA IJENGWE KWA KASI NA UBORA - WAZIRI ULEGA. Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara nchini (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta kuhakikisha miradi ya dharura inajengwa kwa viwango, kasi na kuzingatia thamani ya fedha. Ameyasema hayo leo katika...
  9. Stephano Mgendanyi

    Waziri Ulega Atoa Maelekezo Ujenzi wa Barabara ya Mbande - Msongola (3.8 KM) Ukamilike kwa Wakati na Ubora

    WAZIRI ULEGA ATOA MAELEKEZO UJENZI WA BARABARA YA MBANDE -MSONGOLA (3.8 KM), UKAMILIKE KWA WAKATI NA UBORA. Waziri wa Ujenzi, Mheshimiwa Abdallah Ulega, leo Jumamosi tarehe 28 Desemba 2024, ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa barabara ya Mbande hadi Msongola yenye urefu wa kilometa...
  10. M

    Elia Mpanzu acha kucheza na majukwaa utapotea kama moshi hewani,,vinginevyo ubora wako nauona wa kawaida bali ulibebwa na vyombo vya habari!

    Uyu mpanzu namuona ni mchezaji machachari na sio Bora,,namuona anapenda kucheza Mpira wa sifa badala ya team work! Anajaribu kuutafuta ufalme wake kwa nguvu matokeo yake anaharibu,,Kila Mpira anaougusa ata kama ayuko kwenye nafasi nzuri ya kufunga yeye anataka kupiga golini ili aendelee kuimbwa...
  11. Mr Why

    IPP Media tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu

    IPP Media mnaomiliki ITV, EATV, CAPITAL TV na Radio One tupeni Camera mnazotumia kushoot vipindi zimepitwa na wakati, nunueni Camera za 4K -6K, ubora wa vipindi vyenu unatia aibu Mmechelewa kwenda na wakati, mbona hamtaki kubadilika? Kama ni fedha za kununua Camera hazipo hata kukopa Bank...
  12. Stephano Mgendanyi

    DC Lindi Amulika Miradi ya Elimu, Asisitiza Muda, Ubora na Thamani ya Fedha

    DC LINDI AMULIKA MIRADI YA ELIMU, ASISITIZA MUDA, UBORA NA THAMANI YA FEDHA Mkuu wa wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva amesisitiza Miradi ya elimu kukamilika kwa wakati, Ubora na thamani ya fedha ambapo ameyasema hayo akikagua miradi ya Elimu Sekondari katika Manispaa ya Lindi akianza na Miradi...
  13. J

    Je, ni kipimo gani cha ubora katika ndoa

    Habari zenu wanajamii forums? Mimi nataka kujuwa kitu kimoja kutoka kwenu nduguzanguni. Kuna msemo ambao wazungu wanapenda kusema pale wasipo kuwa hawana uhakika na kitu. Mara nyingi husema "time will tell " wakiwa na maana mda utasema. Sasa swali langu ni hivi je katika suala la ndoa mda...
  14. Kinau Michael

    Je, ni kweli jezi ya timu fulani ikivaliwa sana ni kipimo cha ubora?

    Siku hizi mtaani tunashuhudia watu wakivaa jezi za timu mbalimbali wanazozipenda na wengine huvaa zile zinazowavutia hata kama hawaipendi au kuifahamu klbau yenyewe. Sina hakika kama wengi wanaifahamu klabu ya Palmeiras ya kule Brazili kwa akina Neymar Jr na Ronaldinho Gaucho, lakini Jezi yake...
  15. M

    Anaejua ubora na udhaifu wa TV za Hisense anijuze

    Wanajamvi salaams Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza naomba kujua ubora na udhaifu wa TV za Hisense ninawaza nikanunue. Nawakaribisha pia kwa ushauri wa TV bora Natanguliza shukrani
  16. Miss Natafuta

    Vyakula vya kuboresha sehemu za Siri za mwanamke na kuongeza ubora WA tendo la ndoa

    Nasikia hakuna kitu kizuri kama sex .japo. Me mgeni kwenye mambo haya mjini hapa.japo kwa wenyeji jijini Maneno hayo wameyazoea hapa jijini. Kuna umri ukifika inatakiwa uangalie unakulaje.mwanamke unaweza ukajikuta unatembea na jangwa la Kalahari huko chini .na hii nchi ngamia hakuna bamia...
  17. sergio 5

    Bacca hajawahi kuwa na ubora anaoimbwa nao ni average and midocore deffender

    Habari za mda huu Toka naanza kusikia siza zake na fist match namuona NIKAGUNDUA watanzania Huwa tunasifia mtu Kwa kufuata mkumbo bila kuangalia kiufundi Beki wa yanga BACCA Kila match anayocheza hufanya makosa mengi mno ambayo kama wapinzani wangalikuwa wote wanakuwa makatiki asingekuwa ata...
  18. mike2k

    Huduma za Starlink Tanzania: Uchambuzi wa Bei, Kasi, Ubora, na Uenezaji

    Huduma za Starlink, zinazotolewa na kampuni ya SpaceX, zimekuwa zikivutia nchi mbalimbali duniani kutokana na uwezo wake wa kutoa intaneti ya kasi kupitia satelaiti, hata katika maeneo ya mbali yasiyofikiwa na miundombinu ya kawaida ya intaneti. Tanzania, ikitarajiwa kuanza kutumia huduma hizi...
Back
Top Bottom