tuwekeze

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    Tuwekeze kwa wajasiriamali wadogo wanaojituma

    Habari wakuu, Nina wazo la 'win/win situation' inawezekana wewe ni mjasiriamali uko kwenye kundi hili:- Muuza genge Muuza mishikaki/ nyama mapande Muuza matunda Mama ntilie Mtembeza karanga, soda, biskuti n.k Chinga wa nguo Muuza nyanya, vitunguu n.k sokoni Muuza vyombo kwa kutembeza Unachoma...
  2. Logikos

    Uwekezaji TEMESA (PPPs) kama Watanzania tuwekeze hata kwa Ushauri

    Baada ya kuona tunaitwa kuwekeza kwa UBIA kwenye VIVUKO; nikaingia kwenye TOVUTI yao kuona hawa jamaa wanafanya nini katika Huduma ya VIVUKO Home | TEMESA Kwa haraka haraka naona kama kazi za hawa watu nyingi ni za administration / Usimamizi (Hivyo wanaweza wakasimamia kwa uchache au...
  3. G

    SoC04 The beginning of the end to the Tanzanian Youths. Vijana ndio Taifa la kesho tuwape nafasi na tuwekeze kwao

    Tanzania ni nchi yenye wasomi wengi sana wenye maarifa ya hali ya juu,uwezo mkubwa katika proffesional zao na vyeti ambavyo vina watambulisha kuwa wamefuzu katika fani zao walizo somea kama Ualimu , Afya na nyenginezo. Ila mbaya zaidi wasomi hao wengi wana maisha ya chini sana na wengi wao...
  4. F

    SoC04 Kwa miaka 5-15 Tanzania tuwekeze katika kubadili fikra za watu kutoka walaji(consumers)kuwa wazalishaji(producers)

    Mabadiliko Yote muhimu lazima yaanzie katika fikra na mtazamo. Watanzania wengi tumekuwa na changamoto ya kuwa na fikra na mtazamo wa utegemezi kutoka mahali fulani. Watoto wanakuzwa wakifundishwa kutegemea serikali kuwapatia kazi na maisha Bora. Viongozi wanategemea nchi kuendelea kwa misaada...
  5. File Suleiman

    SoC03 Tukope tuwekeze la hasha

    Kuna mjadala mkubwa sana hapa nchini haswa kuhusu serikali kukopa na kupokea misada kutoka nchi tofautitofauti kama Amerika, Uchina, Falme za Kiarabu na Umoja wa Nchi za Ulaya, mjadala ni mkali na kila msomi na asiesoma huchambua kwa anavyoelewa wapo wanaopinga na wapo wanaounga mkono serikali...
  6. S

    SoC03 Taifa linaangamia: Afya zetu za akili ni jukumu letu sote

    UTANGULIZI Uchungu wa kumpoteza mtu unayempenda, kazi unayoipenda au kitu unachokipenda kinaweza kuleta athari kubwa zisizoelezeka. Changamoto hazikwepeki maishani na wahenga walisema shida tumeumbiwa binadamu. Lakini ni jinsi gani tunaweza kuzikabili hizi changamoto wakati zinapotukuta? Kila...
  7. H

    TFF imetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023

    Shirikisho la mpira wa miguu hapa nchini limetoa taarifa ya mapato ya Mchezo wa watani wa Jadi Simba na Yanga ambao ulifanyika jumapili iliyopita tarehe 16/4/2023, wadau mbalimbali wametoa maoni yao kufuatia timu mwenyeji (Simba)kuambulia sh 188,987,181.10 tu katika mapato yote yaliyopatikana...
  8. BARD AI

    Ndugulile: Tuwekeze Maabara kupata Vipimo sahihi, kuepuka UTI sugu

    Ongezeko la wagonjwa wenye maambukizi ya njia ya mkojo, maarufu kwa jina la UTI na typhoid limekuwa kilio kikubwa kwa Watanzania katika sekta ya afya kutokana na kutumia fedha nyingi katika kutibu wagonjwa kutokana na usugu wa dawa. Kwa mujibu wa Wizara ya Afya, ripoti ya Benki ya Dunia ya...
  9. May Day

    Tuwekeze kwenye Teknolojia kutafuta suluhu ya Maji

    Tengeneza picha umeamka siku moja na kujikuta kati kati ya jangwa saa sita mchana jua lipo utosini, ukizunguka pande zote huoni Mmea wala Mbu zaidi ya miale (mirage) inayotokana na kuakisiwa kwa jua juu ya uso wa Dunia. Hicho ndio kifo, na iwapo ghafla mbele yako itafumuka chemu chemu ya maji...
  10. K

    Tuwakumbuke wazee wetu waliotangilia lakini tuwekeze fikra kwa hali ya sasa na ijayo

    Tanzania kumekuwa na utamaduni wa kupenda kufikiria vitu kwa kindoto zaidi kuliko hali halisi Hata kwenye groups zingine kuna wanaofikiria wakati wa Nyerere na Mwinyi maisha yalikuwa rahisi kuliko sasa kitu ambacho sio kweli. Au uchumi ulikuwa mkubwa zaidi kitu ambacho sio kweli. Hata wengine...
  11. Philombe Jr

    SoC02 Tuwekeze zaidi kwa watoto na vijana kwa maendeleo ya Tanzania ya baadaye

    TUWEKEZE ZAIDI KWA WATOTO NA VIJANA KWA MAENDELEO YA TANZANIA YA BAADAE Nianze na methali maarufu ya samaki mkunje angali mbichi,hivyo ndivyo tunavyotakiwa tufanye nchini kwa kutumia rasilimali watu tukiegemea zaidi kwa watoto na vijana kwa ajili ya Tanzania ya baadae. Kwanini watoto na vijana...
  12. C

    SoC02 Mjadala wa wachezaji 12 wa kigeni kwenye ligi kuu Tanzania bara; bado hatui tulipojikwaa?

    Kama kuna biashara inayolipa sasa hivi ni biashara ya mpira wa miguu na vyote vinavyohusiana navyo,hapa nazungumzia biashara kama kuuza na kununua wachezaji,kuuza jezi na vifaa vya klabu,kuonyesha mpira,vituo vya runinga vinalipa fedha ili kupata haki za kurusha matangazo,udhamini mbalimbali...
  13. DR HAYA LAND

    Bajeti ya mwaka huu tuwekeze kwenye kilimo

    Ndugu habari zenu Mabibi na Mabwana Kwa kudra za Allah naamini hata walio wagonjwa watapata nafuu na kupona na walio Magerezani watapata kutoka:-🙏🙏🙏 On my point Kiufupi hali ya Maisha Ni ngumu sana Kuna high cost of living mainly kwenye bidhaa muhimu Kama Foodstuffs Wazo langu Ni kwamba...
  14. Extrovert

    Tuwekeze kwa wanawake wanaotupenda zaidi

    Uzuri mwanamke akiwa uninterested from the very start anakuwa na vikwazo tu ama mizingulizi! Sema wanaume wapumbavu wanaona ndio fursa ya kutumia hela sasa kuwashawishi na kweli hapo mwanamke unaweza ku twist akili yake sababu nae anahisi atanufaika na hela zako. Ni kweli utamlainisha kwa noti...
  15. Kamanda Asiyechoka

    CHADEMA tuwekeze kupata wanachama na viongozi wasomi. Hii itabadili mustakabali wetu na kuwa na watu makini

    Tumejaza kwenye chama wafuasi na wanachama wahuni wahuni ambao wanamatusi na hawana uwezo wa kujenga hoja. Tuwekeze kama ilivyokuwa Nccr mageuzi. Tuwe na wasomi na watu wenye vision kubwa. Maana wasomi ni watu wenye busara. Sio kama hawa wahuni na wapayukaji.
  16. Kamanda Asiyechoka

    Wapinzani tuwekeze kanda ya ziwa kwa ajili ya uchaguzi mkuu 2025. Kura nyingi zipo Tabora na kanda ya ziwa wala sio Zanzibar yenye watu Mil 1.5

    Mwaka 2025 tukitaka kunyoosha wanaCcm ni kuwekeza mikakati ya nguvu kanda ya ziwa,Tabora Mza, Shinyanga na Kagera. Huku ndio pa kupigia bao. Huko Zanzibar na Pwani hamna kitu maana populationi ni kidogo. Tunakwenda kunyoosha hii Ccm
  17. Chorter

    Jifunze kuhusu kilimo cha tangawizi Rungwe

    Habari wana jf, napenda kuwajuza kuhusu kilimo kilicho chukua chat sana na kukua kwa kasi kwa miaka ya karibuni kwa maeneo ya rungwe MBEYA. Kilimo cha tangawizi kimesaidia sana kuboresha maisha ya watu wengi wa Rika tofauti uku kwetu rungwe, lengo la uzi huu ni kwamba saizi ni msimu was kuanza...
  18. A

    Njoo tuwekeze kwenye biashara ya mkaa kijana mwenzenu sina mtaji

    Habari za kazi wakubwa Biashara ya mkaa Ni biashara ambayo inawez kukutoa kutoka sehemu moja kwenda nyingine ,hivo kwa fursa hyo napenda yeyote ambaye atakuwa vizuri tuwekeze pamoja katika mchanganuo huu lakin kwa upande wangu nitawekeza nguvu zaidi (yaani Sina mtaji). Update: Biashara yetu...
  19. Meneja Wa Makampuni

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya

    Ili uchumi wetu upande tuwekeze kwenye bidhaa mpya. Gross Domestic Product (GDP) yetu per capital ni ndogo mnoo na hii ni kwasababu hatuzalishi bidhaa mpya bado tupo na bidhaa za zamani zilezile. Hebu Tujiongeze tuanze kuzalisha bidhaa mpya ambazo zinahitajika na mataifa mbalimbali. Tuzalishe...
Back
Top Bottom