Ile siku Imewadia! Bado saa chache kwenda kuwajua washindi walioibuka kidedea katika Msimu wa Nne wa Stories of Change 2024
Kupitia Maandiko yao, Mwaka huu (2024) Washiriki wameonesha ujuzi, maarifa na ubunifu wa hali ya juu, wakilenga kuboresha Sekta mbalimbali Nchini kwa Miaka 5-25, kupitia...
TANZANIA TUITAKAYO
Katika ardhi ya Tanzania, kulikuwa na kikundi cha vijana wenye moyo wa kipekee na maono makubwa.
Walikusanyika pamoja kwa lengo moja: kubadilisha mazingira na kuleta maendeleo ya kudumu kwa kutumia ubunifu wao, Greenfuse Charcoal.
Baltazary, Gabriel, Veronica, Dorah, na...
Ni mwaka 2034. Tanzania imebadilika kabisa, ikiwa na miundombinu ya kisasa ya mawasiliano na uchukuzi inayotumia teknolojia za hali ya juu. Haya yote yalianza na maono thabiti na mipango kabambe iliyowekwa mwaka 2024. Katika kipindi cha miaka kumi ijayo, tunaweza kubadilisha sura ya nchi yetu...
TANZANIA TUITAKAYO KUTANGAZA UTALII KWA NJIA YA KADI.
Huu ni ubunifu wangu kwenda sekta ya utalii Tanzania kwa kutumia kadi ya mwaliko, Je kadi mwaliko ni nini? Ni kadi maalum itayotolewa au kutumwa kwa familia za watu maarufu duniani kama wanamichezo, wasanii na wana habari wa nje ya Afrika...
UTANGULIZI
Kumekuwa na changamoto nyingi zinazo wakabili vinaja wabunifu nchi nifurahi kuleta wazo hili kwa mara ya kwanza kama mtu ninayependa kushauriana nawe katika maana ya kuleta maendeleo katika kizazi kijacho, binanfisi nimejaribu kufanya majabio kazaa ambao hayakufanikiwa kwa sababu...
Huu ni mradi bunifu wa kuitangaza Tanzania kwa njia ya vitabu, kwamba vitabu vinavyohusu hadithi na matukio ya kitalii, vivutio, wanyama pekee, picha za maeneo ya kitalii vitakuwa katika simulizi nzuri na kusambazwa kwenye shule za msingi, upili na vyuo katika bara la Ulaya, Amerika na Asia.
JE...
Tanzania Tuitakayo, Tanzania Tunayostahili
Elimu
Katika kuunda Tanzania tunayoitaka, elimu inapaswa kuwa msingi wa maendeleo yetu. Serikali lazima ijikite katika kuboresha shule zilizopo na kujenga mpya, hususan vijijini ambako kuna uhaba mkubwa wa shule na vifaa vya kufundishia. Hii ni...
Utangulizi
Rushwa ni tatizo kubwa linaloathiri maendeleo ya kijamii na kiuchumi nchini Tanzania. Licha ya juhudi za serikali na taasisi mbalimbali kama TAKUKURU, wananchi wengi hawaripoti vitendo vya rushwa kwa sababu ya hofu ya usalama wao. Teknolojia inaweza kuwa suluhisho muhimu katika...
Tanzania ni nchi iliyo barikiwa sana ilikuifikia Tanzania tuitakayo ,ningependa kutoa maoni yangu katika secta ya madini Nchi yetu ina madini ya kutosha hususani madini ya chuma yanayo patikana mkoa wa njombe na makaa ya mawe yanayo patikana mkoa wa Ruvuma hivyo basi ili kuweza kuyeyusha chuma...
Katika ulimwengu unaobadilika kwa kasi, Tanzania ina nafasi ya kipekee ya kuibuka kama kiongozi wa maendeleo endelevu barani Afrika. Ili kufikia azma hii, ni muhimu kuwekeza katika ubunifu na maendeleo kwa miaka kumi na kumi na tano ijayo. Hii itahusisha kuboresha sekta mbalimbali kwa kutumia...
Tanzania inakabiliwa na fursa na changamoto nyingi katika juhudi za kujenga taifa imara na lenye maendeleo endelevu. Katika miaka kumi hadi kumi na tano ijayo, mkazo mkubwa unatakiwa kuwekwa kwenye ubunifu na maendeleo. Hii itahusisha kuimarisha sekta mbalimbali kama vile elimu, afya...
Tanzania Tuitakayo: Maono ya Kibunifu kwa Miaka 25 Ijayo
Utangulizi
Tanzania, nchi yenye utajiri wa maliasili, tamaduni mbalimbali, na watu wenye bidii, ina fursa kubwa ya kufanikisha maendeleo ya kiuchumi na kijamii. Ili kufikia Tanzania tunayoitaka, ni muhimu kuwa na maono ya kibunifu na...
MTANZANIA MWENYE TANZANIA TUITAKAYO
Je, ni nani mwenye Tanzania tuitakayo?
Ndugu msomaji, natamani tuzungumzie kwa pamoja suala la Tanzania tuitakayo. Leo hii utakubaliana na mimi kuna idadi ya watu wanao tamani sana kuishi maisha yao nje ya Taifa hili la Tanzania. Una weza ukawa ni...
Kilimo ni shughuli ya kibinadamu inayohusika na uzalishaji wa mazao yanayotokana na wanyama pia mimiea.
Kutokana na ongezeko la idadi ya watu na mahitaji ya chakula cha binadamu na wanyama pia malighafi kwa ajili ya bidhaa za viwandani mtindo mpya na wa kisasa wa kilimo na kizazi kipya cha...
Utangulizi
Katika kuiona Tanzania ya baadae yenye wananchi wenye nguvu na afya ni lazima tuweke kipaumbele cha upatikanaji wa huduma za afya kwa wananchi wote. Wazo moja la kiubunifu ambalo linaweza kuboresha kwa kiasi kikubwa huduma za afya, hasa katika maeneo yasiyo na huduma za kutosha...
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
The united republic of Tanzania is the democratic country .It gives a room for its citizens to give out their ideas on how to arrive to a better Tanzania that is ideal to everyone living in Tanzania
On realizing the accountability of the leaders to Tanzanians as a Jamii Forum expert member and...
Ili kufikia maono ya "Tanzania tunayotaka ifikapo 2040," ya kuweza kuunda vyombo vya moto nchini Tanzania serikali inaweza kuchukua hatua kadhaa za kimkakati kusaidia wabunifu wanaotengeneza helikopta kwa kutumia injini za magari na magari kwa kutumia injini za pikipiki. Hatua hizi zinapaswa...
Tanzania tuitakayo ndani ya miaka mitano-25 ijayo
MAENDELEO ya Taifa lolote lile duniani hutegemea sana mipango murua, nguvu kazi ya kutosha, uchumi usio wa mashaka na nyenzo madhubuti zinazowezesha ufanikishaji wa malengo ya kimkakati.
Tanzania ni miongoni mwa mataifa katika Bara la Afrika...
Tanzania Tuitakayo: Kuleta Mawazo Mbadala kwa Miaka 5 hadi 25 Ijayo
Tanzania, nchi iliyobarikiwa na rasilimali nyingi na utajiri wa tamaduni, inakabiliwa na changamoto na fursa nyingi katika kipindi cha miaka 5 hadi 25 ijayo. Katika maono yetu ya Tanzania Tuitakayo, ni muhimu kuibua fikra...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.