Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini.
Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
Walimu 200,000 kugombania nafasi 14,000 ni kiashiria hii sekta haihitaji kuzalisha Walimu tena kutoka vyuoni, walioko wanatosha na kupitiliza. Hata serikali ikiwa inaajiri walimu 10,000 kila mwaka(kitu ambacho hakiwezekani) itahitaji miaka 20 kuweza kuwachukua wote katika ajira.
Tatizo la ajira serikalini limekuwa sugu sana.
Ajira ni mojawapo ya keki ya taifa inayofaa kufaidiwa na wote wanaostahili.
Sasa nashangazwa na utaratibu wa serikali wa kuwang'ang'ania watumishi wa serikali hadi watimize umri wa miaka 60 ya kuzaliwa.
Kuna baadhi ya kada kwa kuzingatia wingi wa...
Ni muda mrefu sasa tangu serikali itoe tangazo kwa watumishi wanaotaka kuhama kufata wenza wao lakini mpaka sasa kimya.
Labda kama kuna mwenye majibu kuhusiana na hili naomba atoe ufafanuzi kwani ndoa za watu zinaharibika migogoro inaongezeka kwenye familia. Sijui tatizo liko wapi mpaka sasa...
Mbowe , wewe ni mfanyabiashara mkubwa unamiliki Biashara kadhaa wewe na familia yako.
Hivyo kuendelea kushirikiana na Ccm (serikali) inakufaidisha sio tu kisiasa bali hadi kiuchumi.
Hivyo Tumeamua kukuachia Chama chako ili ufikie malengo uliyojiwekea.
Wakuu,
Inakuaje vijana mmekuwa na utovu wa nidhamu kiasi hiki mpaka mnatakiwa mpimwe afya akili kabla hamjawa watumishi wa umma huko Serikalini?
Akizungumza leo Jijini Dodoma na Naibu Waziri , Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu wakati wa akifunga kikao kazi cha siku...
Mwanzo ilikua ukimaliza mkataba wako secta binafsi unaruhusiwa kuchukua mafao yako yote. Lakini sasa upo utaratibu ambao nashindwa kujua kwa nini umeletwa. Mimi nilifanikiwa kuweka michango yangu kwa miaka kadhaa nssf wakati nafanya kazi secta binafsi. Baada ya kupata ajira ya serikali nilikua...
Ndugu wanajamvi,
Kabla ya yote ningependa kutanguliza pongezi na hongera nyingi za kuweza kufika December tukiwa na pumzi. Pasipo kupoteza muda, ningependa kwenda moja kwa moja kwenye mkasa ulionikumba weekend hii maeneo fulani hapa jijini Dar es Salaam. Kwa ufupi nilikuwa napita tu kwenye...
Kadri miaka inavyo zidi kwenda kunakuwa na ongezeko kubwa la wimbi la vijana wanao tafuta ajira.
% kubwa wengi wanapata ajira wamesha choka miaka ya 35-40.... hapo ana ambuliatu Ela ya kustaafu
Hoja ya msingi serikali ungekuja na mpango kupunguza muda wa kuajiriwa ikawa miaka 10, Kama ilivyo...
Habari JF,
Naomba kuuliz kuhusu PMP(Project Management Professional) certified imeanza kuwa ya lazima kwa baadhi ya taasisi za serikali?
Maana kuna tetesi nimesikia kwa taasisi kama TANESCO NA TCRA wanataka watu waliokuwa na PMP hasa wahandisi, mwenye ukweli kuhusu hili anijulishe.
Jamani, kuna mtu katupiga Tshs 60m mchango wa harusi. Sasa mie nashindwa kuelewa kama aliomba kibali cha serikali kama anavyosema Waziri Mkuu Majaliwa. Kama hakuomba na hairuhusiwi nijiwahi nikadai hela yangu, maana nilimpa wakati ninazo sasa nimechacha!
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili
Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu
Najiamini naweza kufanya biashara.
Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi za short term lakini vijana wanakimbilia serikalini.
👉huwa sijui ni kwanini ni uoga? wakuogopa...
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa
2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu
3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko
4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia wanawatumia hao hao Machawa wenu Kuwamalizeni kiurahisi
5. Kama unasali sana, Sali Kweli na kama...
Kama heading inavojieleza hapo juu mimi ni mtaalamu wa maabara, mwenye stashahada nilijaribu kurusha ndoana kwenye ajira za utumishi nikala ndoige ya kichwa kwa kupigwa NOT SELECTED
Sasa nimeona wanazengo wengi wakilamba asali kwenye pdf hizi za serikali hasa upande wa kada yangu ya maabara na...
Katika muktadha wa ajira serikalini, suala la kujitolea linazua changamoto nyingi, hasa linapokuja suala la kutumika kama kigezo cha ajira za kudumu.
Ingawa ni muhimu kutambua mchango wa wanajitolea, kutumika kwa kigezo hiki kunaweza kufungua milango ya upendeleo wa kifamilia au urafiki...
Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali.
"Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.