saudi arabia

  1. Ritz

    Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani haki za binadamu za Israel

    Wanaukumbi. Mkutano Mkuu wa Nchi za Kiarabu kuijenga upya Gaza. Mfalme wa Saudi Arabia amezitaka Misri, Jordan na Qatar kuunganisha nguvu katika kulaani ukiukaji wa haki za binadamu wa Israel huko Gaza na kuishinikiza Israel kuruhusu misaada ya kibinadamu kufika katika eneo hilo...
  2. Mathanzua

    United States and Russia MEET in Saudi Arabia; First Meeting in Years

    United States and Russia MEET in Saudi Arabia; First Meeting in Years Hal Turner World Russian Federation Foreign Minister Sergei Lavrov and United States Secretary of State Marco Rubio are holding a meeting today in Saudi Arabia. It is the first meeting between the two nations in years...
  3. U

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026

    Nyota wa Tanzania Clara Luvanga anayecheza Saudi Arabia amejiunga na kambi ya timu ya Taifa ya Wanawake “Twiga Stars” inayojiandaa na mchezo wa kufuzu WAFCON 2026 dhidi ya Equtorial Guinea utakaochezwa Februari 20, 2025 uwanja wa Azam Complex, Chamazi. @twigastarstz
  4. Ritz

    Marekani na Urusi watakutana Saudi Arabia. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao

    Wanakaumbi. 🇺🇲🇷🇺 Marekani na Urusi zitaanza mazungumzo nchini Saudi Arabia ili kumaliza vita nchini Ukraine. Ukraine na Ulaya hazijaalikwa na hazitaulizwa maoni yao kwa sababu hakuna kinachowategemea. Wamefanya kazi yao kama "wajinga wa maana", na sasa wanaweza tu kutazama na kukaa kimya...
  5. sinza pazuri

    Video ya Balozi wa Saudi Arabia akitolea maelezo kuhusu mkataba wa bandari ya Bagamoyo

    Maelezo ya Balozi wa Saudi Arabia katika Televisheni ya Taifa ya Saudia ni haya; "Utiaji saini wa Mkataba wa Nia ya kufanya utafiti wa fursa za uwekezaji na ushirikiano wa kujenga na kuendeleza Bandari mpya ya Bagamoyo nchini Tanzania.. ====== Kwa mujibu wa shirika la habari la Saudi Arabia...
  6. B

    Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania

    13 February 2025 Unguja Zanzibar, Tanzania Wawekezaji 30 kutoka Saudi Arabia wafanya ziara maalum nchini Tanzania - SADC https://m.youtube.com/watch?v=M0oksDu6e44 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi mheshimiwa Dk Hussein Ali Mwinyi...
  7. ChoiceVariable

    Tetesi: Saudi Arabia yapewa haki ya umiliki na uendeshaji wa bandari ya Bagamoyo kama sehemu ya mradi wa East Gate

    Eneo la uwekezaji la Bagamoyo iliwepo Bandari limepata mwekezaji Mpya ambae ataliendeleza, kampuni ya SADC kutoka Saudi Arabia baada ya China na Oman Kushindwa Kuendeleza. Pia soma Serikali yafufua mchakato ujenzi Bandari ya Bagamoyo Swali ni Je mfupa ulimshinda fisi, saizi utatekelezeka...
  8. R

    Mfalme wa Jordan kaenda white house kamuunga mkono Trump kuwahamisha wapalestina, Misri na nchi nyingine kukutana Saudi Arabia kusuka mpango kazi

    Mfalme Abdullah wa Jordan na Mwanawe Wamtembelea Trump Ikulu Mfalme Abdullah wa Jordan na mwanawe wametembelea Ikulu ya White House kwa mazungumzo na Rais wa Marekani, Donald Trump. Mkutano huo uliangazia juhudi zinazoendelea za kubadilisha mwelekeo wa Mashariki ya Kati, hasa kuhusu uhamishaji...
  9. I

    Pigo kubwa kwa Brics: Saudi Arabia yaistukia Brics, yapanga kuwekeza dola bilioni 600 ndani ya miaka minne nchini Marekani.

    Saudi Arabia ilialikwa kujiunga na BRICS mnamo 2023 lakini Ufalme bado haujatoa uamuzi wa kukubali mwaliko huo. Imezuia uamuzi wa kujiunga na muungano huo kwa kuwa unafanya mikataba ya kibiashara na Marekani. Ufalme wa Saudi Arabia unasita kujiunga na BRICS kwani unahitaji uungwaji mkono wa...
  10. Ritz

    Afisa wa Saudia amtolea uvivu Trump. Asema kama anataka amani basi awapeleke wananchi wa Israel Alaska au Greenland

    Wanaukumbi. Saudi official Al-Saadoun says if Trump wants to be a 'hero of peace', he must move his Israeli loved ones to Alaska and then to Greenland after annexing it. ===================== Afisa wa Saudi Al-Saadoun anasema ikiwa Trump anataka kuwa 'shujaa wa amani', ni lazima awahamishe...
  11. Teko Modise

    Straika mpya wa Al Nassr, Jhon Duran atasafiri Kilomita 500 kila siku kwenda na kurudi mazoezini, kisa sheria hizi za Saudi Arabia kumbana

    Straika mpya wa Al Nassr, Mkolombia, Jhon Duran atalazimika kusafiri Kilomita 500 kila siku kwaajili ya kwenda na kurudi katika mazoezi yaa klabu yake hiyo mpya. Duran aliyesajiliwa kutokea Aston Villa, ataishi Bahrain na mpenzi wake kutokana na sheria za Saudi Arabia kukataza kuishi kinyumba...
  12. Down To Earth

    Kwanini Christiano Ronaldo hashtakiwi kwa Sheria za kiislamu huko Saudi Arabia?

    Saudi Arabia ni nchi ambayo inaongozwa kwa sheria ya dini ya Kiislamu yaani Sharia. Tena ukiwa Saudi Arabia ni kosa kubwa kuishi na mwanamke ambaye haujamuoa. Lakini Cristiano Ronaldo anaishi na Georgina ambaye hajamuoa na hakamatwi wala kushitakiwa. Contradiction...
  13. I

    Marekani yaelekea kuachana na mafuta ghafi ya Saudi Arabia kuanzia mwaka huu wa 2025

    Mwaka jana, Riyadh ilifunga ofisi yake ya mafuta New York - ishara ya kuelekea kutoweka kwa mafuta ghafi ya Saudi huko nchini Marekani. Shukrani kwa mapinduzi ya shale na kuongezeka kwa tasnia ya mafuta ya Canada, uagizaji wa mafuta ghafi kutoka Marekani ulishuka hadi chini kabisa katika karibu...
  14. U

    Joseph Aoun Mkuu wa Majeshi achaguliwa kuwa Rais Lebanon. Marekani, Saudi Arabia na Israel zaahidi kumpa ushirikiano

    Wadau hamjamboni nyote? Habari njema sana Joseph ndiye Rais mpya Lebanon akichaguliwa kwa kura 99 kati ya 129 Amehudhuria mafunzo maalumu ya kijeshi ya kupambana na ugaidi nchini Marekani mwaka 2008 Mgombea anayeungwa mkono na magaidi ya Hezbollah amejitoa kwenye uchaguzi baada ya kuona...
  15. B

    Waziri Dkt. Nchemba ateta na Saudi Fund Saudi Arabia

    DKT. NCHEMBA ATETA NA SAUDI FUND SAUDI ARABIA 20 Dec, 2024 Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba Madelu (Mb), akiagana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Maendeleo wa Saudi Arabia (Saudi Fund for Development-SFD), Bw. Sultan Al-Marshad, baada ya kufanya mazungumzo kuhusu...
  16. Eli Cohen

    Kumbe Talib Al-Abdulmohsen alikuwa ni mhalifu anaetakiwa Saudi Arabia, ila Ujerumani ilimng'ang'ania kumpa hifadhi. Sasa leo amewafanyia kufuru

    Wakati ambao Poland (wanaopinga kupokea uhamiaji holela) wana enjoy kwa amani maandalizi ya Christmas... Wao Ujerumani wanalipia kwa damu kutokana na huruma na msaada wao wenyewe. Huyu jamaa ni mmoja ya Waarabu wengi waishio Ulaya kwa amani na utulivu. Vitu ambavyo hawakuvipata walipokuwa...
  17. Waufukweni

    Saudi Arabia yatangazwa kuwa mwenyeji wa Kombe la Dunia 2034

    Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limethibitisha rasmi kuwa Kombe la Dunia la 2034 litaandaliwa na Saudi Arabia. Uamuzi huu ulitangazwa katika mkutano wa mtandaoni uliofanyika Zurich, Uswisi, chini ya Rais wa FIFA, Gianni Infantino. Saudi Arabia ilikuwa mgombea pekee aliyewasilisha nia yake kwa...
  18. Yoda

    Kwanini Saudi Arabia wameanzisha miradi ya umeme wa Jua?

    Hili Taifa lina mafuta na gesi ya kutosha ila sasa wameingia na kwenye miradi ya umeme wa jua! Umeme wanaozalisha kupitia jua ni sawa na umeme wote tunaozalisha hapa kwetu kupitia maji!
  19. Bams

    Saudi Arabia Yawataja Wapiganaji wa Hezbollah na Hamas, na Viongozi Wao Kuwa Ni Magaidi

    Iran na makundi yake iliyoyapandikiza ndani ya nchi za kiarabu, serikali za nchi za kiarabu, inayatambua kuwa ni makundi ya kigaidi yaliyopandikizwa nchini mwao ili kuzidhoofisha serikali za nchi hizo kwa maslahi ya Iran. Baadhi ya watu, huku kwetu hawalijui hilo. Wao wanaamini kuwa nchi hizo...
Back
Top Bottom