Wasaalam!!!!
Nakaa na kutafakari kwa kina, kwa mnywa pombe haswa vijana na wengineo hata watu wazima, chukulia hizi pombe kali...
Hivi umeshawahi kutafakari kua wewe unaingia kwa bashasha sehem ya burudani ama wapi unaagiza kwa bashasha na umwamba mwingi pombe kali na unachaganya na soda sjui...
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi yangu, mahusiano yangu na familia yameharibika, na afya yangu imekuwa mbaya. Ninajisikia hatia sana...
"Sio kila mtu anafaa kunywa hata glasi moja ya Pombe"-Dk.Nuruel Kitomari - Bingwa wa Afya ya Akili na magonjwa ya akili kutoka Hospitali ya Taifa Muhimbili.
Chanzo: itvtz
Hakuna kitu nakichukia kama Pombe / Bia ila hakuna kitu nakipenda kama ule Ulevi mwingine Mtamu.
Ebana najivunia kutimiza mwezi wa 3 leo bila kuonja pombe mdomoni mwangu. Nimegundua kampani za washkaji zinachangia sana mtu kuendekeza ulevi.
Nilikua na kampani moja ilikua kila weekend tunaamkia pombe asee..wife akaongea wee mwishowe akaamua kujikalia kimya.
Siku nikaamua kuchukua maamuzi...
Kila nikirudi nyumbani (mkoani), nagundua dhahiri kabisa kuwa kuna ongezeko kubwa sana ya maduka madogo madogo ya pombe (grocery stores) katoka mitaa mbalimbali tofauti na hali ilivyokuwa miaka 10 au zaidi iliyopita. Hata maduka yanayouza mchele na sukari lazima kuna droo ya kuuza pombe tena...
Hey, wapendwa
4M inatosha kufungua grocery?
Kama inatosha je vitu gani muhimu?
Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi?
Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu
Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar.
Ili niweze kufahamu...
Habari wakubwa,
Nimesikiliza Tangazo la Konyagi wanasema inatakiwa ilale na isisimame je Pombe kali kama Konyagi/Kvant kwanini wengi wanapenda kuilaza sababu nikinywa ulevi ni ule ule tu mnaofahamu zaidi mtujuze
Sawa viroba vimesepa ila vimekuwa restored.
Hizi zenye percent kubwa ya alcohol zilikuwa ni luxury drinks maana kwanza zilikuwa expensive kununua.
Kwa hio kilichofanyika ni wauzaji kuwapimia kidogo kidogo wanunuzi kwa pesa kidogo kupelekea mtu kununua kidogo kidogo kuzania anakunywa ka 1000...
Habari wana JF poleni kwa majukumu ya kazi pamoja na adha ya Mvua nyingi za week hii.
Weekend hii imekua poa kidogo japo mifukoni na wallet zimeteteleka kimtindo ila bado tunakomaa na maisha yetu ya kila siku
Siko hapa kutoa ushuhuda kama kwa Mwamposa hapana bali imenitokea na ndio sababu...
Habari Jamiichek
Kwa muda sasa katika Jamii yetu ya Kiswahili kumekuwa na hii nadharia kwamba mwanaume akitumia pombe Kali Aina ya konyagi au k vant halafu akaenda kufanya mapenzi, hutumia muda mrefu Sana kufika mshindo kitu ambacho inasemekana kinaridhisha wanawake kiurahisi.
Huku mitaani...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Morogoro limewakamata Watu wanne ambao ni Ramadhani Mdoe (30) Mkazi wa Msamvu akiwa na wenzake watatu wakiwa wanatengeneza na kusambaza pombe kali feki katika kiwanda kisichosajiliwa (kiwanda bubu) kilichopo Mtaa wa Tushikamane Kata ya Lukobe Manispaa ya Morogoro...
Wanajamvi habari za muda huu, poleni na majukumu ya kutafuta ridhiki. Niende kwenye mada moja kwa moja.
Nimepangisha fremu kwenye NYUMBA moja mjini kwa lengo la kufungua biashara ya pombe Kali yaani liquor store.
Nikaingia mkataba na mwenye nyumba wa miezi kumi wakati huo yeye hajui nataka...
Profesa Janabi kwenye uzinduzi wa Professor Jay Foundation ametaja dalili za mtu ambaye tayari anaugonjwa wa figo.
"Ukiwa na hizi dalili sio za mwanzo tena, tayari wewe umeingia kwenye ugonjwa wa Figo
Katika kutaja dalili hizo, salamu hizo amelekeza kwa wale Wazee wa bapa, k-vant...
Wakuu Hili Jambo limenikera Sana
Iko HV ,Mimi nilikuwa mtumiaji wa pombe yaani kwa kifupi nilikuwa nabungia Kweli kweli pombe na pombe zangu ilikuwa ni kama ifuatavyo
Napenda kutumia
Kilimanjaro lager au
Safari lager au
Konyagi au
K vant au
Grants ,
Maserengeti lite na matakataka mengine ya...
Naona mnakomaa kulewa Pombe kali huku mkishinda mnacheza kamari.
Hii ni dalili kuwa Watanzania mmekata tamaa na mmeacha wanaoiba mali zenu wawaibie wanavyotaka
Hivi mnadhani hii ndio suluhu. Mbona Ndugai aliwapa angalizo kuwa nchi itapigwa mnada mkapuuza au sio nyie?
Napenda sana kunywa pombe kali na huwa nachanganya na red wine 🍷 kuongezea ladha na stimu. It is something very unique and tasty.
Mimi sio sister doo kwamba nafeki na imported drinks, my favourite is Konyagi 500 mls na Imagi ndogo mbili, naridhika kabisaaaa.
Ila problem ninayookabiliana nayo...
Kama ni mnywaji wa hard liquor inabidi uwe makini sana.
Mimi nilishanunua jagger shopperz, nafika home nafungua tu, ikatoka kaharufu fulani not amazing.
Second chupa haina filter, nikarudi shoppers nikawaambia, huu mzigo feki, wahindi wakagoma goma. Nikawaambia filter ni lazima iwepo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.