Mimi nilitaka kushangaa mtu anasimama mbele ya halaiki, tena mtoto mdogo tu anatamba eti atachacha, where do you get that arrogance? Kwamba Yanga ni kubwa kuliko authority? Unaongea as if unayemuongelea ni mtu mdogo sana halafu umetegwa omba radhi unajibu tena kwa kejeli.
Hongereni Jeshi la...
Afisa Habari wa Klabu ya Yanga, Ally Kamwe akamatwa usiku wa manane huko Tabora.
Chanzo cha Kukamatwa kwake ni kutoa Lugha chafu kwa viongozi wa Mkoa.
Ameshikiliwa kwa Mahojiano Maalum.
RPC Tabora amethibitisha
“Nathibitisha tunamshikilia Msemaji wa Yanga, Ali kamwe, tunamshutumu kwa kutoa...
Jeshi la Polisi mkoani Morogoro linawashikilia watu 19 wanaodaiwa kuwa matapeli kutoka katika makampuni yanayowarubuni vijana kwa kuwafundisha mbinu za utajiri kupitia njia za mtandaoni.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Morogoro, SACP Alex Mkama, amesema kuwa makampuni hayo yamekuwa yakiwaingiza...
Ndugu zangu Watanzania,
Tukio la Kupigwa ,kuumizwa ,kujeruhiwa na kuteswa kwa Katibu Mwenezi wa BAWACHA Taifa limewaacha watu na maswali Mengi sana vichwani Mwao. Watu wanajiuliza ikiwa Kiongozi mwenye cheo cha Mwenezi wa BAWACHA Taifa anaweza kutendewa unyama wa aina ile wa kupigwa kikatili...
Police use teargas to disperse fans who were trying to force their way into Nyayo stadium for the #MashemejiDerby between Gor Mahia and AFC Leopards.
=================
Leopards, Gor fire blanks in season's first Mashemeji Derby
AFC Leopards and Gor Mahia played out a 0-0 draw in a Kenyan...
Nimeona hii ninayoonyesha ya "CAREFULLY OVERTAKE" mara nyingi traffic polisi wanatutia hatiani kuwa tumeovertake kwenye restricted zone, je hii alama ya carefully overtake kwa Tanzania ina tofauti na mataifa mengine?
Watu 'wasiojulikana' wamefika katika Kitongoji cha Mchango wa Hela, Pwani, na kubomoa nyumba kadhaa huku wakichoma moto baadhi ya vitu, wakidai kutumwa na mmiliki wa eneo hilo.
Tukio hili limezua taharuki kubwa kwa wakazi wa eneo hilo ambao wamemlilia Rais Samia Suluhu Hassan awasaidie...
Shalom
Nafas za ajira zimetoka mfumo waliouweka ni kama pata potea namba yangu mwenyewe ya form four necta inagomewa. Hapo nimetoka kuhangaika nao sana kufungua akaunt mana password nimeiweka mm mwenyewe mchana kweupe na akili zangu zote kichwani na iligoma.
Mpaka muda huu niko kwa mganga simu...
Baada ya taarifa ya awali iliyowasilishwa na Mdau kwa kuhusu aliyedai kuwa ni Mlinzi wa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche kudaiwa kumshambulia Kada mwingine wa chama hicho, Jeshi la Polisi limetoa tamko kuwa linamsaka mtu huyo
Kusoma hoja ya awali bofya hapa ~ Ghasia Ndani ya CHADEMA...
Binafsi ni muoga sana wa masuala ya mahakama najua yanaweza kupoteza muda na fedha pia, lakini pia kupoteza dira ya maisha kwa ujumla.
Sasa basi nizingatie mambo gani ili nisije kujikuta kwenye hatia yoyote ya mahakamani au polisi.
Ahsante sana.
Chanzo:
https://x.com/Darrenvickmell/status/1904837433637695607?t=D_cvUfRD4yeI98DSPU1TtA&s=19
Huku William Ruto akiwa ameficha commission yake aliyopewa baada ya kukubali kupeleka Polisi nchini Haiti, haya ndiyo yanaendelea.
Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi Msaidizi wa Polisi (A/INSP) Genuine Kimario amepokea shukrani kutoka kwa mwananchi wa kata yake Emmanuel Bhoke Jackson baada ya kufanikisha huduma za awali katika hospitali ya Kanda Bugando iliyopo Jijini Mwanza.
kutokana na...
Jeshi la Polisi limemzuia Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) bara John Heche kuzungumza na wananchi wa jimbo la Mbarali mkoani Mbeya Jumanne tarehe 25 Machi 2025, siku ambaye alikuwa na ratiba katika jimbo hilo kuendelea na Operesheni No Reforms No Election.
Wananchi wa Kata ya Ihumwa Jijini Dodoma wameonyesha juhudi za kujitolea kujenga kituo cha polisi kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Mkoa wa Dodoma kitakacho saidia kudhibiti matukio ya uhalifu pamoja na kuchukua hatua stahiki kwa wahalifu hao.
Kauli hiyo imetolewa na wananchi hao...
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Jumanne Muliro, ameandaa hafla ya Iftar nyumbani kwake Kimara, Dar es Salaam, Machi 22, 2025, kwa lengo la kuimarisha mshikamano ndani na nje ya jeshi la polisi.
AIBU YA CCM SIMIYU LEO TAR 22.0 JESHI LA POLICE LA SHIRIKI KUSOMBA WAJUMBE WA CCM KWENDA KWENYE MKUTANO WA MAKALA BARIADI.!!!*
Na Mzee madiba
Simiyu -bariadi.
Leo tar 22.03.2025 mkoani Simiyu Kuna kitu walichokiita sherehe za miaka minne ya Samia.
Hii ni issue iliyoandaliwa na Mkuu wa mkoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.