Sifa kubwa ya waislamu ni kusoma, mtume ametuasa kuitafuta elimu popote ilipo ndiyomaana watoto wa kiislamu anaanza kusoma madrasa mahali ambapo anapata madini yakutosha.
Leo tupitie na kutafakari nukuu hii mujarabu toka kitabu cha Mkweli Mwaminifu
"Anamwijia mmoja wenu shetani katika sala...
NUKUU KUTOKA KWA WATU WENYE HEKIMA
1. “Gereza kuu ambalo watu wanaishi ndani yake ni hofu ya kile ambacho wengine wanafikiria.”
— David Icke
2. “Jihadharini na wale wanaoomba msamaha haraka sana; mara nyingi wanafanya hivyo ili kumaliza mazungumzo, si kwa sababu wanamaanisha kuwa wamekosea.”...
Hii ni Nukuu kutoka kwa aliyewahi kuwa Waziri Zambia. Bw. Kapwepwe. Ingawa yeye Kitenge kwa kuwa ni bwege hajaweka kama nukuu. Yaani kajifanya kama ndo yeye kaandika. Sisi wajuvi tunaelewa. Ilisemwa na nani.
Kitendo cha waandishi wengi kushangilia nukuu ya Nyerere aliyoitoa Lisu kimeniacha mdomo wazi na kujiridhisha kuwa hawa waandishi siyo wafuatiliaji wa mambo. Walikuwa hawaijui nukuu hiyo? Kwanini walikuwa hawaijui, wakati iko kila mahali ktk machapisho, video na magazeti mbalimbali??
Hii...
Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika
Karibuni tupeane
Raila Odinga:
"Young people now begin the day checking the phone battery and data bundles. Something to wear, something to eat and a place to sleep come much later. Battery, bundles and the phone are the new basic needs"...
Kwa mujibu wa historia ya Tanzania itakumbukwa miaka 1961 mpaka 1989 idadi ya wanawake wasomi haikuwa kubwa kama miaka 2020's, lakini pia idadi ya wanawake waliokuwa kwenye ajira ama biashara ilikua ni chache ikilinganishwa na leo hii
Mwanamke alitambulika kama mama nyumbani Kitendo cha...
Utangulizi kama alivyoweka kwenye ukurasa wake wa Facebook
"Unaweza kupigwa kwa niaba lakini huwezi kupiga kwa niaba. Huwezi kuua kwa niaba lakini unaweza kuuawa kwa niaba." Askofu Bagonza
“Kama tunatoa ripoti na kuna ubadhirifu na hatua hazichukuliwi, huo kwangu ni udhaifu wa Bunge. Bunge linatakiwa lisimamie na kuhakikisha kwamba pale penye matatizo, linahakikisha kuwa hatua zinachukuliwa. Sasa, sisi kazi yetu ni kutoa ripoti tu,” Professor Assad aliyekuwa kuwa CAG
Wakati...
Mkurugenzi wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Bw. Mobhare Matinyi, leo Juni 4, 2024 amezungumza na waandishi wa habari katika ukumbi wa idara hiyo uliyopo jengo la TTCL, jijini Dar es salaam, akitoa ufafanuzi kuhusu mkopo wa Dola bilioni 2.5 kutoka Korea.
PIA SOMA
- VoA...
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni.
Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of transparency, lack freedom of speech nk ni katika failures kubwa sana chini ya uongozi wake.
Kuna...
Maadhimisho ya Miaka 60 ya Muungano
Hotuba ya Rais Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa Taifa kuhusu Miaka 60 ya Muungano. 25 Aprili, 2024. Dar es Salaam.
Mitandao ya kijamii imejaa nukuu za Wataalamu na watu maarufu mbalimbali kutoka katika nyanja mbalimbali.
Watu wanaweza kupotosha taarifa kwa kutengeneza nukuu zisizo za kweli au kuzibadilisha nukuu za watu fulani ili zifanane na mtazamo wao au kusudi lao.
Wapotoshaji huzitengeneza na kudai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.