Kuanzia Congo , Tanzania, Kenya , South Africa, Namibia , Zambia , Botswana, Zimbabwe na nchi nyingine nyingi za Africa makampuni kutoka ulaya na Marekani wanachota rasilimali za afrika ikiwa ni dhahabu , almas, trophies, shaba , coltan , mbao n.k
Wakati huo huo Afrika imetengwa kama Moja...
AHADI za fedha kutoka mataifa tajiri kwenda mataifa masikini kwa ajili ya kuhimili na kukabiliana na athari za mabadiliko ya tabianchi ni tamu, lakini kiuhalisia ni mtego wa madeni.
Uchambuzi wa kina unabainisha kuwa fedha hizo zinaelekezwa kusikostahili, ambapo nyingi huenda kuchangia...
Rais wetu namfananisha na Marie Antoinette Mke wa King Lousi wa Ufaransa kabla ya Mapinduzi.
Rais anasisitiza sana tulipe Tozo na kodi ili nchi ijiendeshe yenyewe bila mikopo. Wakati huo huo yeye akiwa ndio mtumaiji mbaya wa hizo pesa na akiwa na matumizi ya anasa, akiwa anatumia Ikulu mbili za...
Wakuu Salaam,
Nitakuwa nilkileta hapa mfululizo wa mambo muhimu ambayo wenzetu katika nchi zilizopiga hatua huko Ulaya ya Magharibi tunaweza kupata la kujifunza. Kwa leo nitajikita kwenye angle ya usafirishaji.
Bila kupoteza muda na kukuchosha mpenzi msomaji naanza kuyataja mambo hayo kama...
Jana nilikuwa nafikiria kuhusu demokrasia kama mfumo kuundia serikali nimekuja kujua hauna tija sababu zangu ni hizi
1.mwenye hela na umaarufu anaweza kuwa kiongozi
Hapa ni kwamba mfumo wa democracy ulivyokaa ni kwamba anaeshinda kwa kura nyingi ndio anae kuwa kiongozi hata kama...
Mbunge Sebastian Kapufi: Tanzania 🇹🇿 kwa ujumla wake tuna Wakia Milioni 45 ya akiba ya dhahabu lakini leo tunasomeka ni kati ya nchi Masikini Duniani
"Hotuba ya Waziri Mkuu Imezungumzia Maji, Misitu, Madini, Kilimo. Kuna Nchi Haina Msitu ni Jangwa. Kwa Nchi Yetu ya Tanzania 🇹🇿 Kila Kitu Kipo...
Taarifa hiyo imetolewa na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Afya Duniani, Tedros Adhanom Ghebreyesus ambaye ameeleza kuwa 30% ya Watoto hao wanapoteza maisha kwa kukosa Matibabu.
Amesema 25% tu ya Watoto wenye Saratani katika Nchi zenye Kipato cha Chini wanapata Huduma Sahihi za Kiafya kulingana na...
Wapokeaji watakuwa nchi maskini kama vile Djibouti, Somalia, na Sudan, Ankara inasema
Marais wa Urusi na Türkiye walikubaliana katika simu ya hivi majuzi kuhusu kutuma nafaka kwa mataifa maskini zaidi duniani bila malipo, kiongozi wa Uturuki, Recep Tayyip Erdogan, amefichua. Alisema hayo...
Rais Putin ameahidi kumimina nafaka kwenda nchi masikini. Ameahidi kusupply tani milioni 30 mpaka mwisho wa December. Na pia Urusi ipo tayari kuongeza kiwango hicho na kufikia tani milioni 50.
Sambamba na hilo Putin amesema atamimina mbolea ya kumwaga ya bureee kwenda nchi masikini. Kamuamuru...
Salaam Wakuu,
Waliposema Nchi ataiongoza Samia Suluhu niliogopa sana kwani niliona Wanamuangushia jumba Bovu. Pia nikasema hawa mafisadi atawamudu kweli?
Sasa ananiumbua.. Kweli Samia ni mwanamke Shupavu.
Sababu Maguli alikuwa one man army kama arnold schwarzenegger. Hakimu yeye, Polisi...
Maajabu, Tanzania ni moja kati ya nchi masikini zaidi Duniani, inaishi kwa handouts, raisi wake anafunga safari kusafiri Mabara kutafuta mkopo wa dola milioni 100 USD, hapo hapo inafanya kila inalowezekana kuokoa Dunia isiangamie na climate change, hii ni nchi ambayo mchango wake kwenye CO2...
Agenda ya US$100B kwa nchi masikini baada ya Rais Samia kurejea nchini tutarajie chochote kutoka COP26?
"Hakuna kama Samia "
Rais wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ni miongoni mwawajumbe 197 wa baraza la 26 la Uhifadhi wa Mazingira duniani yaani COP26 lililoketi kwa kipindi cha Siku 12...
Benki ya Dunia (WB) imesema inasaidia nchi zinazoendelea katika zoezi zima la kupata na kutoa chanjo ya COVID19
Pia itasaidia kuimarisha mifumo ya utoaji chanjo na kuhakikisha utoaji chanjo kwa watu walioko katika hatari zaidi ya kupata maambukizi
Wamesisitiza kuwa hakuna atakayebaki salama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.