Kuna picha Rais Samia alipiga na team nate wa Chilunda
Ile picha mkono wa Rais ulikaa kwenye bega la Chilunda
Picha moja nzuri sana
Nasikia wenzake walimuonea sana wivu.
Baada ya hapo kesho yake hakuweza hata kupiga danadana mbili
Kutuliza mpira pia ilikuwa shughuli.
Sasa hata hajulikani...
Mtume Boniphace Mwamposa ametamka: “Watanzania wengi ni wavivu ” Watu wakakasirika, wengine wakabaki kimya. Lakini hii si mara ya kwanza kauli hii kusemwa na mtu maarufu kama Mtume Mwamposa.
Mwaka 2011, Rais mstaafu Benjamin Mkapa aliwahi kusema waziwazi kuwa “Watanzania tumejaa visingizio...
HOTUBA YA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANGANYIKA NA UNGUJA
MWALIMU JULIUS K. NYERERE
KWENYE MKUTANO WA VIONGOZI WA NCHI ZA AFRIKA, MJINI CAIRO
Tarehe 20 Julai, 1964
NINATAKA kuwaunga mkono katika kutoa shukurani zangu kwa Rais Nasser, serikali yake na kwa watu wa Jamhuri ya Nchi za...
Mjumbe wa halmashauri kuu ccm taifa (NEC) Ndele Mwaselela amewaambia wananchi wa mkoa wa kagera kuwa kazi nzuri za Dkt Samia Suluhu Hassan kwa miaka minne katika sekta zote zimefanya wananchi wa nchi nzima Tanzania kumpenda na kumwamini Dkt Samia Suluhu, kila mahala tunapopita wana imani kubwa...
Kurasa 365 za Mama Kitabu cha nne, leo tunazifungulia Mkoani Mbeya, ambapo Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imepeleka Shilingi Bilioni 16 katika Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Mbeya, kwa ajili ya Ujenzi wa Jengo la Huduma za Mama na Mtoto, pamoja na...
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoani Dodoma.
ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI
Maazimio ya Halmashauri Kuu
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika Jengo la Maalim Seif (Makao Makuu ya Chama).
Kikao hicho kilipokea...
Rais William Ruto ametangaza kuwa atashirikiana na Waziri Mkuu wa zamani, Raila Odinga, ili kufanikisha ajenda za maendeleo za serikali.
Akimpokea Raila Odinga katika Ikulu ya Mombasa siku ya Jumatatu, baada ya kushindwa kwenye kinyang’anyiro cha Uenyekiti wa Tume ya Umoja wa Afrika (AUC), Rais...
Sijajua kilitokea nini Hadi wahusika wakakubali kitu cha ajabu namna hii kikatokea. Hili lililotokea halikua sehemu ya uchekeshaji.... Huwezi kuomba kupiga picha na Rais WA Nchi (Mwanamke) eti ili umkomoe Ex wako. This is bulshit na Kwa kweli tuzuie huu ujinga usiendelee.
Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali, Hongera Mheshimiwa kuwa Bingwa wa vichekesho.Tuendelee kucheka kwa pamoja!
Modes naomba uzi huu...
Maaumuzi mengi tena yenye Unyeti anatoa Elon Musk huku Rais Trump akionekana Kukubaliana nayo hata kama Wachambuzi Nguli wa Siasa za Dunia wanasema ni Hatari kwa Ustawi wa Marekani. Kuna Clip naiona sasa Elon Mask yuko Ikulu na Mwanae na anafanya Vituko vya kila aina huku Mwanae nae akiifanya...
Stephen Masato Wasira, Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Bara.
"Na Tundu Lissu alikuwa akisema haijapata kutokea kuwa na Rais wa ajabu kama Magufuli kama unamuita wa ajabu. Na kama unamuita wa ajabu yeye atakuwa anaujua uajabu wake Mimi siufahamu.
"Kwahiyo matokea hayo yaliyotokea...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Tundu Lissu siku ya leo Jumatano Februari 12, 2025. anazungumza na wanahabari Makao Makuu ya chama hicho mkoani Dar es Salaam
Endelea kufuatilia uzi huu hapa Jamiiforums kupata updates kuhusu hotuba hii...
Hatimae miongoni mwa true freedom fighters ameitwa kupumzika usiku wa kuamkia tarehe 09/02/2025 akiwa na umri wa miaka 95.
Tusalimie Nyerere, Mugabe, Mandela na wengine, waambie Waongee na Kaguta Museveni aachie Vijana
Hili hapa tangazo la Tanzia
=
Tangazo la Kifo cha Rais wa Kwanza wa...
Msikilize, Prof Mkenda akilalamika mbele ya Rais kwa kunyimwa nafasi ya kuonana na Rais.
Au labda ni kuhimarisha ulinzi wa Rais?
Wanajukwaa mna maoni gani kuhusu hili.
Rais Mstaafu Jakaya Kikwete, kwa nafasi yake ya Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Ubia wa Elimu Duniani (GPE) amekutana na Rais wa Nigeria kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Taasisi hiyo na Nigeria.
Rais mstaafu Kikwete amemweleza nia ya Taasisi hiyo kutaka kuiomba Nigeria kuwa...
Rais Magufuli alikuwa ni Rais mpenda Mazingira na uhifadhi hasa. Wakati anaingia madarakani mwaka 2015 idadi ya Tembo Tz ilisadikika kuwa 43,000. Hadi anafariki mwaka 2021 inasemwa kuwa tembo walifika 60,000. Sababu alidhibiti ujangili.
Magufuli alianzisha National Parks tatu. Mwalimu Nyerere...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.