Kuna hii hali mtu unapaanda gari mwendo kasi una haraka zako unakuta gari ya express unaamini itakusaidia kuwahi unapoenda basi abiria wanasogea kwa dereva kuomba msaada vituo vyo ambavyo havipo kwenye utaratibu wa express.
Tanzania bado sana aiseee
Hivi pale Dubai upande metro uende kwa dereva...
Juzi kati mh mkuu wa mkoa wa Dar aliruhusu matumizi ya njia za mwendo kasi kwa zile barabara ambazo bado hazijaanza tumiwa na mabasi hayo.Ila cha kushangaza maeneo ya stesheni kumekuwa na sintofahamu kwa magari kukamatwa yanapopita njia hizo ambazo bado hazijaanza tumika. Naomba wahusika...
Hivi waha jamaa Muda wote huwa Wana haraka, na je Muda wote huwa wanawahi Jambo Muhimu.
Swali, Je hizi mbio zao wangekua wako serious na maendeleo tungepiga Hatua kubwa sana, Magari ya Serikali yanaongoza kwa kuvunja sheria za Barabarani.
Unakuta Msafara uko Kasi sana Akifika Ofisini achukua...
Nimefurahi kwamba Mwendokasi kutoka Kariakoo hadi Mbagala mambo safi na pia njia ya Posta hadi Tegeta inajengwa. Hata hivyo, nachojiuliza kuhusu ile njia ya Bunju hadi Bagamoyo, watawezaje kuifanya kwa sababu njia ni nyembamba sana.
Itakuwa poa sana kama ikifika Bagamoyo!
Ndugu wanajamvi naona kilio kwa wakulima wa nyanya na nyanya chungu, very soon naanza kutoa mzigo wa pilipili shambani maeneo ya kilosa, vipi kwa upande wa pilipili sokoni imesimamaje.
Wadau mwenye taarifa anijuze
Ongezeko la uvamizi wa magari binafsi kwenye barabara za Mwendo Kasi (BRT): Je, Mamlaka zinabariki matumizi haya?
Katika miaka ya hivi karibuni, mfumo wa Mabasi ya Mwendo Kasi (BRT) umekuwa suluhisho la kipekee la kupunguza msongamano wa magari mijini na kuboresha huduma za usafiri kwa wakazi...
Habari za Asubuhi mlio hai na kupata uzima wenye Nuru na baraka kutoka kwa Mungu Mwenye mamlaka ya dunia hii.
Leo Asubuhi Wakati naelekea kwenye mazoezi ya kuweka mwili fiti kidogo nilibahatika kupitia kwenye Barabara kubwa yenye mengi magari hapa mkoani kwangu,kubwa zaidi lilonifanya nifike...
Tulishuhudia phase 1 vituo vya mwendokasi vikiwa vimejengwa karibu karibu sana kiasi cha kushangaza. Mfano
I. Kituo cha Posta ya zamani na cha jiji
2. Kituo cha DIT na KISUTU
3. Kituo cha MSIMBAZI A na MSIMBAZI B.
4. FIRE na JANGWANI (ambacho hakitumiki). Hivi ni vile ambavyo nimekumbuka haraka...
Kuna kilio cha wananchi kila kona kuhusu mabasi ya mwendokasi. Mabasi haya yanajaza pasipo mfano. Mabasi hayatoshi. Mabasi mengi yameharibika na yako yadi na hakuna matengenezo. Watu wanachelewa kufika kazini.
Kutokana na tatizo hili wananchi wameombaa kuwa daladala isaidie mabasi ya...
Waafrika tuendelee kushabikia hawa watu maana hatuna jinsi, wako mbali sana, sisi huku hata umeme wenyewe sio wa uhakika, kutwa migao tu.
The drone, which resembled a rocket, flew 10 miles (16 km) at Mach 0.9 — over 680 miles per hour — using 80% of the engine's available thrust. This image is...
Nimeonaaaa hiiiii itv
Mbunge wa ilala amesema pamoja na piklpik kuvunja sheria kwa kuingia barabara ya Mwendokasi.
Badoo madereva hawa hawana nidhamu barabarani
Amesemaaa kuna wakati unaonaa gari inavyokimbizwa unawazaa ndani kabeba watu ama mbuzi.
Hakuishia hapoo akaombaa wafundishwe...
Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
Siwafichi wakuu, mimi ninapofaniliwa kupata seat kwenye mwendokasi halafu mwendokasi zikiwa ni za shida huwaga najiona kama nimeshawini kwenye maisha.
Najiona kama mimi nna gari langu kwahiyo hawa waliosimama huwaga nawaona kama maskini hivi, muda mwingine nawaonea huruma kabisa huku nimefungua...
Kwa jiji letu Dar es salaam inaonekana kawaida daladala au mwendokasi kujaza watu kupita kiasi kwa sababu ya haraka au usafiri kubwa mgumu tunaweza kuweka juhudi kupambana na magonjwa ya kuambukizwa kwa njia ya hewa kwa gharama kubwa lakini tahadhari zinapuuzwa kila siku unapata taarifa kifua...
Wadau,
Tuko kituo cha Msimbazi kwa watu wanakwenda Mbezi. Tumekaa kama masaa 2 hakuna basi linasimama hapa na kunawatu kama 300.
Sijui kwanini serikali instead watu wake hivi? Wanafurahia nini?
Tuliaminishwa kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza safari zake tangu 2021 na leo hii ni mwaka 2023 miaka miwili tayari imepita.
Kila siku kuna msemo "Mama anupiga mwingi". Kulikoni?.
Wadau,
Leo nimepata kadhia ya hali juu nikiwa Nyerere rd kwa kuwa foleni haitembei kabisa. Hii inasababishwa na kuwa ujenzi unaoendelea wa njia na mwendokasi sambamba na ujenzi wa SGR inawafanya watumiaji wa barabara kukosa njia mbadala.
Ni heri wangesuburi kukamilika kwa madaraja ya juu ya...
Baada ya kufuatilia kwa karibu ajali zinazotokea mara kwa mara hasa zinazohusisha magari makubwa nimegundua kuwa, zaidi ya nusu zimesababishwa na overtaking (kupita gari la mbele bila kuchukua tahadhari. Mara nyingi mwendokasi umeweza kusababisha ajali pale dereva anapoacha kufuata taratibu na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.