Hello!
Leo ndio ile siku ya kujua wasanii waliofanya vizuri katika tasnia ya muziki Tanzania kwa mwaka 2024.
Tuzo hizi zimeandaliwa na wanachama wa jf ku represent jukwaa letu hili la jamii.
Washindi wa vipengele mbalimbali wamepatikana kutokana na utafiti na ukusanyaji wa maoni mbalimbali...
Naombeni mnitajie app ha kudownload music naona Vidmate inanizingua Kila nikidownload nyimbo inaishia nusu naona kama app hii imeshakua mizinguo inakera
Habari wakuu, natafuta chuo au sehem ambayo wanafundisha muziki. Nina mtoto wangu wa kiume anapenda drums sana. Kwa hapa dar es salaam ni sehem gani naweza pata?
Karibu kwenye kipengele hiki kizito cha upi wimbo ulio bora na umefanya vizuri kwa wasanii wetu wa kurap Tanzania. Piga kura ili tumpate mshindi. Tuzo za Tanzania huwa zinalalamikkiwa kwa kukosa uwazi, sasa hizi atakeyekuwa na kura nyingi ndie ataibuka mshindi.
Malengo siku moja, sisi wanachama...
Hello the Bosses and Roses.
Katika kuelekea kuufunga mwaka wetu huu wa 2024, embu twende pamoja katika kuwapa tuzo wasanii wetu wa Muziki kwa kuwa wanafanya kazi kubwa kuhakikisha jamii yote inaburudika, inaelimika na pia inafuraha kutokana na talanta za sauti zao walizopewa na Mungu.
JF Music...
Hii ni habari njema kwa Music Industry yetu kwani baada ya mwaka jana (21 October 2023) tuzo hizi kufanyika BK Arena huko Kigali, Rwanda, sasa ni zamu yetu.
Tuzo za Muziki zinazoandaliwa na Trace Group, zitafanyika Zanzibar Februari 24-26 Zanzibar, Tanzania kwenye hoteli ya The Mora.
"Sasa ni...
kichwa cha habari kinajielezea labda kwa faida ya ambao hawajaelewa ni hivi..
Nawezaje ku access miziki ya simu yangu hata kama nikiwa mbali na simu yangu..?
Yaani hata kama simu ipo mbali nawezaje kupata playlist ya miziki yangu kupitia kifaa chengine...????
Kamati ya Tuzo za Muziki Tanzania (TMA) kwa kushirikiana na Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA), wametangaza kuwa sherehe ya utoaji wa tuzo hizo itafanyika rasmi tarehe 19 Oktoba 2024, kuanzia saa nane mchana. Tuzo hizo zitatolewa katika Ukumbi wa The Super Dome, Masaki, Dar es Salaam.
Vipengele...
Karibuni kwenye pub yangu iiyopo kinyerezi mahakamani (mnadani).
Miongoni mwa huduma zetu ni hizi
1) Free WiFi
2) Vinywaji vya kila aina
3) Music
4) Shisha nk
Pia tuna karioke kila siku ya jumapili.
Karibui sana
Kwa maulizo 0746501050
Mwaka huu umeweka alama nyingine muhimu kwa muziki wa Afrika baada ya Tyla kushinda tuzo ya "Best Afrobeats" kupitia wimbo wake maarufu "Water." Tyla, wa Afrika Kusini ameshinda tuzo hiyo katika kipengele cha Best Afrobeats katika tuzo za MTV Video Music Awards (VMAs) za mwaka 2024 na kuwabwaga...
Nikipewa nafasi nitaje wanamuziki wangu bora kwenye muziki wa Country basi sitoweza kumuacha John Denver na nyimbo zake bora za “Take Me Home, Country Roads,” pamoja na “Thank God I’m a Country Boy”. Carrie Underwood, Keith Urban mpiga gitaa bora sana, Brad Paisley, Chris LeDoux, Webb Pierce...
Hivi ndo vipengele vya Tanzania music awards 2024 (TMZ)
1, wimbo bora wa taarab wa mwaka . Malkia Leyla Rashid(watu na viatu), Mwasiti Mbwana(sina wema), Salha (dsm sweetheart), Mwinyimkuu(bila yeye sijiwezi), Amina kidevu(hatuachani)
2,Best male artist of the year. Marioo (shisha), Diamond...
QUALITY MUSIC CLASS, tunakuletea darasa la kujifunza vyombo vya muziki; Piano,guiters,na Drums tunapatikana mbagala, kwa wale ambao wapo mbali na Dar es salaam tunafundisha kwanjia ya whatsapp na masomo tutakutumia kwanjia hiyo unaweza wasiliana nasi kupitia namba hii 0687 458 202
Nimekuwa nikijifunza kutengeneza Music ArtWork Cover kwa miezi miwili sasa kwa kutumia android apps. Cha ajabu ninapo-upload on YouTube, zinakuwa na quality duni sana ingawaje wakati nasave project huwa nachagua High Quality, 30fps.
Tatizo linaweza kuwa wapi? Au ni kwa sababu natumia simu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.