mtumishi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mwenye kufahamu kuhusu kubadilisha jina kwenye NIDA Kwa mtumishi wa umma

    Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu
  2. R

    Waliotengeneza invoice kubwa siyo watumishi WA umma, NI kampuni iliyopewa dhamana yakutengeneza ndege ya mzigo. Kwanini tunawaogopa kusema ukweli?

    Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai serikali. Kama pia tunakubaliana hapo maana yake aliyepandisha bei ya ndege ikawa mara mbili NI...
  3. winnerian

    Ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia?

    Kama ipo sheria inayomnyima haki mtumishi wa umma kumiliki kampuni na biashara inayofanana na ile anayoitumikia umma ifutwe mara moja. Katika ulimwengu wa sasa huwezi kumnyima binadamu kujiendeleza kiuchumi kwasababu tu ya mgongano wa kimaslahi. Sheria zinazotakiwa kuwepo ni za kulinda mgongano...
  4. Mama Edina

    Rais Samia alisema opras ni njia isiyofaa kupona performance ya mtumishi. Hiki kinachoendela ni kukusanya fedha za watumishikwa kuwapigisha photocopy

    Maafisa utumishi hii sio sahihi ...sina mshahara natafuta chakula Leo nikatoe kopi kibao.? Open performance haiwezi Kwa kumtesa mtumishi kumuongiza gharama za ajabu ajabu. Piga nakala 4 x opras 1 =700*4
  5. figganigga

    Je, ni kweli Mtumishi wa KKKT Kijitonyama kadokoa sadaka madhabahuni?

    Kuna Video nimeona sehemu, ambayo watu wanasema Mtumishi huyu wa Mungu kadokoa Sadaka Madhabahuni mwa Bwana. Mimi naiangalia mara mbilimbili siamini macho yangu. Nimeamua kupost hapa ili wataalamu wa Video wasaidie kudadavua. Je, huyu Kadokoa sadaka? Kama kadokoa sadaka, karma itamuacha...
  6. M

    Mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa?

    Habari wapendwa, Jamani kwa wale watumishi wa Serikali, hivi mtumishi akiandika barua kwenda utumishi huwa inachukua muda gani kujibiwa. Maana mimi binafsi nimeandika barua toka mwezi wa 12 mwaka huu 2023, mpaka sasa majibu sijapata na nikipiga namba za call center hazipatikani. Na mbaya zaidi...
  7. Broussard

    Inawezekana mtumishi wa Serikali kulipwa mafao Milioni 10 baada ya miaka 39 kazini?

    Habari wakuu, Naomba niende kwenye mada, kwa wenye uelewa na hili naomba kufahamu zaidi. Ni sahihi au kuna upigaji kwenye hili? Miaka 39 kazini Serikalini. Mafao hayazidi 10Million Mshahara aliostaafia Laki 6 (miaka 7) Kabla alikuwa akilipwa 250K-450K Asante
  8. Lady Whistledown

    Aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU Tanga ahukumiwa kulipa faini ya Tsh. milioni 1 kwa kupokea rushwa ya dola 2500

    Katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Tanga, Januari 16, 2023, Jamhuri imeshida kesi ya Jinai yenye namba CC 56/2021 iliyokuwa ikiendeshwa na Mwendesha Mashtaka Joseph Mulebya pamoja na Khadija Luwongo kutoka TAKUKURU. Katika kesi hii mshtakiwa alikuwa Bw. Hilton Njau aliyekuwa mtumishi wa TAKUKURU...
  9. Analogia Malenga

    Tabora: Mtumishi wa Afya akijibu mbovu kwa watu kumstukia juu ya vitu vilivyo-expire

    Huyu ni Muhudumu wa Afya Tabora na Mtaalamu wa Maabara. Washkakaji wanaonekana wanajua wanachokifanya ila mtumishi anajibu full jeuri. Mamlaka ziangalie jambo hili
  10. S

    Serikali haina uhalali wa kumfukuza Mtumishi wa Umma kwa kuwa na madeni kama yenyewe kila siku inadaiwa mpaka mali zake kukamatwa

    Kwa mujibu wa sheria/taratibu za Utumishi wa umma, mfanyakazi kuwa na madeni kupitia kiasi ni jambo linaloweza kuhatarisha ajira yako serikalini. Binafsi najiuliza, serikali ambayo yenyewe ina madeni mengi yakiwemo ya watumishi wa umma mbali na ya makampuni binafsi, inapata wapi uhalali wa...
  11. Shujaa Nduna

    Tabia hii mbaya huyu mtumishi awajibishwe haraka

    Habari. Bila kupoteza muda ndg wanajamvi kwa masikitiko makubwa naandika kwanini serikali inalea baadhi ya watumishi wa afya wa kiume waliyopo kwenye kitengo cha upimaji wajawazito. Kule wilayani Ludewa mkoa wa Njombe kuna kijana namfahamu kwa jina moja Imma au jina la utani Mapulupulu...
  12. sifi leo

    Laana inavyomtesa mteule na rafiki wa Rais. Asante mama kwa simulizi, hii ewe mtumishi jifunze jambo

    Nikiwa nimeshika zangu Mswaki, huku huku Mama mzaa Chema akiwa amejiinamia anakosha vyombo, mara gafla chema, Akaanza stori zake na mama yake! Chema ;Ma hivi wajua yule mkurugenzi hajawai tuandikia hata barua za kututambua sisi kama watoa huduma wake kwenye wilaya yake?'' Ma:'' mmmh mpaka leo...
  13. 4

    Nabii Mkuu, Geor Davie wa Arusha tafadhali Sana mtumishi

    Wanajf , kila siku namtanguliza Mungu , na nikawaida kuwaombea KWA kile kidogo Mungu amenipa, Naomba mwenye no ya mtumishi tajwa hapo juu ani inbox tafadhali kazi yangu itakua wasiliana naye pale atanipa kibali , Natanguliza shukrani wakuu
  14. Shujaa Nduna

    Yani mtumishi wa Serikali hakai ofisini anaenda kuuza sura

    Muda wa kazi mtu anaenda kwa mademu na gari ya serikali anapaki anapiga stori kwenye ofc ya dem.Huyu bro anahujumu serikali wakemewe watu wa kariba yake.Picha sibora sana ila ujumbe huo.
  15. NetMaster

    Mtumishi Serikalini kushiriki mashindano ya ku-rap ni sawa?

    Nina rafiki ambae ni mtumishi wa umma katika shirika mojawapo kubwa tu, hivi sasa kuna mashindano ya freestyle ya kurap yanaendelea na yeye ni mshiriki. Kuhusu kipaji anacho cha kuchana mistari na anavutia hadhara pale anaposhika kipaza akianza kurap , ubaya ni kwamba kwenye hizi freestyle...
  16. C

    Dhana ya kuoa mtumishi mwenzake ili wasaidiane kimaendeleo imemponza

    Hamna aliojua mwanzoni kwamba it will end into tears, ila nyie mabinti wa Machame Mungu anaona. "Kwa sababu wote tulikuwa wa tumishi tulikubaliana mshahara wake ufanya maendeleo ya familia na wa kwangu utusaidia kwa substance ya kila siku, vikoba na mikopo tuliokopa yote kununulia plot ya...
  17. Mpinzire

    Sabaya bado ana ndoto za kuwa mtumishi wa Umma! Msimcheke, anasimamia anacho kiamini

    Majuzi niliona taarifa kuwa wenzake Sabaya waachiwa huru baada kukiri makosa na kuelewana na DPP kulipa Tsh 1,050,000/= na hivo kutolewa hatiani! Usishangae! Sio kama Sabaya hapendi kuwa huru, Sio kama Sabaya anashindwa kulipa kiasi hicho cha fedha! Ila nafasi yake katika utumishi wa Umma ndiyo...
  18. S

    Waziri wa Utumishi, sheria ya kutaka kila Mtumishi abaki na walau moja ya tatu ya mshara wake, haizingatii tofauti kubwa mishahara baina ya watumishi

    Hili jambo nimeliongea mara kadhaa huko nyuma na leo napenda kuliriudia kwani ni kikwazo kwa watu katika kujitafutia maendeledo yao na pia katika kutatua changamato zao za kifedha. Kwa wasiolewa, sheria hii inalenga kuhakiksha mtumishi habaki na take home ndogo isiyokidhi mahitaji yake na ya...
  19. E

    SoC02 Katibu wa Mbunge ni mtumishi hewa

    Maisha yanabadilika jamii inaelimika na kupata maarifa mapya mbivu na mbichi sasa bila kikwazo tunajua kuzitofautisha, Ofisi ya Mbunge kila jimbo huwa ina mtu ambaye anafanya shughuli kwa niaba ya mbunge akiitwa Katibu wa Mbunge, Bahati mbaya upatikanaje wake haupo wazi zaidi hutegemea na namna...
Back
Top Bottom