mtoto wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni Nature Mwanaume anapenda na anafurahi kufanana na Mtoto wake

    NI NATURE MWANAUME ANAPENDA NA ANAFURAHI KUFANANA NA MTOTO WAKE Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Hili Wala siรด Siri ingawaje wร po wachache watapinga lakini ukweli utabaki ukweli Siku zote Wanaume hufurahi Sana na Kupenda pale ร mbapo Mtoto aliyemzaa anapofanana na kuelekeana naye Kwa kiasi...
  2. Mrejesho wa thread ya rafiki yangu alienipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake. Jana kafanya jambo ambalo mkewe hatokuja kulisahau maishani kwake

    Habari zenu wanaJF wenzangu, ONE 1: Kwanza naomba nitumie nafasi hii kumshukuru kiongozi mkuu wa mtandao wetu huu Mhe. Maxence Melo na team yake nzima ya JF kwa kuuboresha mtandao wetu, hadi kufikia level ya kimataifa. Mtandao huu umekuwa sauti kwa watu wasiokuwa na sauti, umekuwa mtetezi kwa...
  3. Rafiki yangu kanipa kesi, kisa nimemsaidia mtoto wake mwenyewe

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Jirani na hapa nnapoishi mimi kuna home boy fulani ambae tumetokea kuzoeana, kushauriana na hata sometimes kutembeleana. Tulitokea kujuana nae miezi 6 iliyopita baada ya yeye na familia yake kuhamia hapa. Kwa Tanzania ni mzaliwa wa Kinondoni, wakati mimi mzaliwa wa...
  4. Prof. Mkumbo: Kila Mtu amlinde mtoto wake, kuna watu kwa tamaa wanawateka watoto

    Prof. Mkumbo Kufuatia hali ya sintofahamu iliyoripotiwa kutokea eneo la shule ya msingi iliyopo Mburahati Kata ya Mkurumla iliyopo Wilaya ya Ubungo kwa wazazi na walezi kukusanyika kwenye eneo la shule kutokana na hofu ya madai ya watoto kutekwa, Mbunge wa Jimbo la Ubungo, Prof. Kitila Mkumbo...
  5. O

    Aliyemuua mtoto wake kwa kutofanana naye ahukumiwa kunyongwa

    https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/kitaifa/aliyemuua-mtoto-wake-kwa-kutofanana-naye-ahukumiwa-kunyongwa-4663540 Credit: Mwananchi
  6. Je, ni sahihi mzazi kumlaumu mwalimu moja kwa moja kutoka na kufeli kwa mtoto wake?

    sote tunapaswa kukubaliana kwamba ili matokeo ya wanafunzi yawe mazuri panahiitajika ushirikiano uliotukuka katika mzazi, mwalimu na mwanafunzi huku kila mmoja akitimiza wajibu wake kadiri impasavyo kufanya na ikitokea mmoja au wawili kati yao hajatimiza majukumu yake daima matokeo yataendelea...
  7. Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

    Dunia imeharibika sana. Katika hali isiyokuwa ya kawaida, mama mmoja amemteka mtoto wake wa miaka 3 na kumficha mtoto huyo kwa mama yake mzazi (bibi wa mtekwaji) ili kufanikisha mpango ovu wa kuvuna Tsh 20,000,000 kutoka kwa mume wake (baba wa mtekwaji). Kufuatia utekahi huu, mkuu wa mkoa wa...
  8. Zanzibar: Mama ajifungua na kuzika mtoto wake

    Mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mchanga Omar Said mkazi wa kijiji cha Sizini wilaya ya Micheweni visiwani Zanzibar ameripotiwa kuwa amejifungua na kukizika kichanga kikiwa hai. Akizungumza katika eneo la tukio ,mkuu wa wilaya ya Micheweni Mgeni Khatib Yahya amelaani tukio hilo na kutaka...
  9. Nilitembea Baba Mkwe, halafu mtoto wake ndio anataka kunioa nifanyaje?

    Haya mje wana Kuna dada amemwaga maji huko Alitembea na baba mkwe miaka ya nyuma kama 3. Baada ya miaka 3 akaja kupata mchumba, wakapendana sana kijana akachanganyikiwa Kijana kumpeleka nyumbani kutambulisha, be-hold baba alietembea nae ndio baba mkwe wake Sasa ananiuliza hapa afanyaje...
  10. Freeman Mbowe atua Mahakamani kunusuru nyumba ya mtoto wake

    Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amekimbilia Mahakama Kuu Divisheni ya Kazi kuinusuru nyumba iliyokamatwa kwa amri ya Mahakama ili kulipa Sh. Milioni 62.7 za mishahara ya Waandishi wa Habari 10 wanaomdai mtoto wake, Dudley Mbowe ambaye ni Mkurugenzi wa Gazeti la Tanzania Daima. Pia soma...
  11. Kama mwanaume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi na yeye kumkimbia akifukuzwa kazi bila huruma

    Kama mwanume anaweza kumkataa mtoto wake bila huruma Basi ni sahihi pia mwanamke kumkimbia mwanaume akifukuzwa kazi Au akikosa kipato tena bila huruma.
  12. Amchinja Mke wake mwenye ujauzito na kumpika mtoto wake

    Jeshi la Polisi mkoani Tabora linamshikilia Hamis Kulwa (35), mkazi wa Kata ya Uyogo wilayani Urambo kwa tuhuma za kumchinja mke wake mjamzito, kumpasua tumbo kisha kutoa watoto pacha. Akizungumza Kamanda wa Polisi mkoani humo, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Richard Abwao amesema tukio hilo...
  13. Bodaboda amuua mtoto wake kwa kumkata shingo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema linamshikilia mtu mmoja aitwaye Amedius Mfoi (25) dereva bodaboda mkazi wa Muriet Jijini Arusha kwa tuhuma za mauaji ya mtoto wake aitwaye Amani Amedius Mfoi (03) Mkazi wa Morombo jijini Arusha. Akitoa taarifa hiyo Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha...
  14. Arusha: Baba anayetuhumiwa kumuua mwanaye wa miaka 3 atiwa mbaroni na Polisi

    Mwenyekiti wa mtaa anasema alipotoka kwenye mkutano wa Makonda ndio amezipata hizo habari. Jamaa alikuwa dereva wa bodaboda ambaye pikipiki yake iliibiwa baada ya hapo akawa kama chizi. Kata ya Mulyeti Arusha,mtaa wa Field Force. Mtoto mvulana wa miaka mitatu, Amani Amideus. --- Jeshi la...
  15. Rapa Naziz afiwa na mtoto wake wakiwa Hotelini Dar es Salaam

    Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msanii huyo kutoka Kenya imeeleza kuwa Jazeel alifariki kutokana na ajali aliyopata akiwa katika moja ya Hoteli waliyofikia jijini Dar es Salaam. Hata hivyo taarifa ya Naziz haijaweka wazi zaidi kuhusu tukio la ajali na tayari Marehemu amezikwa jijini...
  16. Je, inawezekana mzazi akawasaliana na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili kusaidia ombi la uhamisho

    Habarini za asubuhi wapendwa Naomba kuuliza kwa mwenye uelewa na haya mambo anijuze, hivi inawezekana mzazi kusaidia kuongea na afisa wa utumishi kazini kwa mtoto wake ili mtoto apate uhamisho baada ya mtoto kupitia changamoto kubwa kazini kuhusu mwanamke aliyezaa na ye yani ndugu wa mke wakawa...
  17. Simiyu: Afisa Ustawi, Mwalimu wakwamisha tena kesi ya Askari kudaiwa kumpiga hadi kumjeruhi mtoto wake

    Kesi ya Jinai Namba 59, 2023 inayomkabili Askari wa Kituo cha Polisi Bariadi Mkoani Simiyu H.4178 Abati Benedictor anayedaiwa kumpiga hadi kumsababishia majeraha mtoto wake (07), jana imeshindwa kuendelea kusikilizwa katika Mahakama ya Wilaya ya Bariadi baada ya Mashahidi upande wa Mashtaka...
  18. Leo katika historia: Mzee Tibakweitira akiwa Headmaster wa Same Sekondari alimwadhibu mtoto wa Nyerere na kupandishwa cheo

    ๐‹๐ž๐จ ๐ค๐š๐ญ๐ข๐ค๐š ๐ก๐ข๐ฌ๐ญ๐จ๐ซ๐ข๐š. ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š๐ค๐ฐ๐ž๐ข๐ญ๐ข๐ซ๐š ๐š๐ค๐ข๐ฐ๐š ๐ก๐ž๐š๐๐ฆ๐š๐ฌ๐ญ๐ž๐ซ S๐š๐ฆ๐ž Sec ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ฐ๐š ๐‘๐š๐ข๐ฌ ๐๐ฒ๐ž๐ซ๐ž๐ซ๐ž ๐š๐ฅ๐ข๐ค๐จ๐ฌ๐š ๐ง๐š ๐ค๐ฎ๐ซ๐ฎ๐๐ข๐ฌ๐ก๐ฐ๐š nyumbani ๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐ž ๐ฆ๐ณ๐š๐ณ๐ข ๐ฐ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐ƒ๐‚. M๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐ƒ๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž. ๐Œ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐š๐ค๐š๐ฆ๐ฅ๐ž๐ญ๐š ๐‘๐‚, ๐Œ๐ณ๐ž๐ž ๐“๐ข๐›๐š ๐š๐ค๐š๐ฌ๐ž๐ฆ๐š ๐ฐ๐ž๐ฐ๐ž ๐‘๐‚ ๐ฌ๐ข๐จ ๐›๐š๐›๐š ๐ฐ๐š ๐ฆ๐ญ๐จ๐ญ๐จ ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ. B๐š๐›๐š ๐ฒ๐š๐ค๐ž ๐ง๐š๐ฆ๐Ÿ๐š๐ก๐š๐ฆ๐ฎ ๐ฌ๐š๐ง๐š...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ