mtoto wake

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Poker

    Irene Uwoya afanya sherehe ya milioni 100 ya kipaimara cha mwanaye

    Staa mwenye cash bila dili za matangazo jana alimfanyia mtoto wake wa pekee sherehe ya kipaimara iliyomgharimu zaidi ya million 100! Kwa kweli ilikuwa ni sherehe ya kifalme.
  2. JanguKamaJangu

    Shinyanga: Mbaroni kwa tuhuma kumnajisi mtoto wake wa kambo

    Mkazi wa Ndala Manispaa ya Shinyanga (26) (jina limehifadhiwa), anashikiliwa naJeshi la Polisi Mkoani Shinyanga kwa tuhuma za kumnajisi mtoto wake wa kambo mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 11. Kamanda wa Jeshi la Polisi wa Shinyanga, George Kyando akitoa taarifa kwa vyombo vya habari...
  3. kikoozi

    Msaada: Nataka kuuza nyumba maana baba yangu mzazi anadai mimi sio mtoto wake

    Habarini ndugu zangu, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 41 baba yangu baada ya kuuza nyumba yake na kugoma kunipatia na mimi japo pesa kidogo nikaanze maisha na ikanipelekea mimi kwenda polisi na mpaka mahakani na mahakama ikaamua kuwa mimi sina ninacho dai kwenye iyo nyumba ya baba...
  4. John Haramba

    Polisi wamsaka Baba kwa tuhuma za mauaji ya mwanae

    Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linamtafuta mzazi anayefahamika kwa jina la Daniel Muga, Mnyaturu ambaye ni fundi ujenzi, mkazi wa Bombambili Ukonga Wilaya ya Ilala kwa tuhuma za kumuua mtoto wake wa miaka mitatu kwa kumpiga na kitu kizito kichwani. Kamanda wa Polisi Kanda Maalum...
  5. John Haramba

    Monalisa apata presha mtoto wake aliye Ukraine kimasomo, vita ya Urusi yamvuruga mama mtu

    Muigizaji mkongwe wa Bongo Muvi, Monalisa ameelezea jinsi ambavyo mgogoro wa Urusi na Ukraine unavyompa hofu kwa kuwa mwanaye yupo nchini Ukraine. Rais wa Urusi, Vladimir Putin alitangaza kuanza oparesheni ya kijeshi katika baadhi ya maeneo ya Ukraine baada ya mvutano wa muda mrefu baina ya...
  6. Dr Msweden

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Natarajia kuoa hivi karibuni na mke mtarajiwa ana mtoto wa miaka 5. Huyu mtoto namhudumia kwa kila kitu na namuonesha upendo wote kama baba yake mzazi. Kuna shida imejitokeza baada ya kumpeleka mtoto aanze shule (nursery school ). Katika kujiandikisha nikampa jina langu la ukoo (Eg. Ngwengwe)...
  7. mama D

    Restuta Bura aingia mpambano mkali kugombea mali za baba mtoto wake huku mume wake wa ndoa akiwa kimya

    Huyu mwanamama RestutaBura ni mpambanaji kwelikweli, pamoja na mambo mengine yanayomkuta bado anasimama kama mmoja wa wanawake hodari na watafutaji kila wapoona fursa. Rest anafanya biashara ya bar, vipodozi na urembo Rest amekua akifanya biashara kwenye moja ya eneo linalomilikiwa na baba...
  8. Nyendo

    Mbaroni kwa kumsababishia kifo mtoto wake

    Polisi mkoa Njombe wanamshikilia Israel Msigwa Almaarufu kama "Mtoa Roho"(39)makazi wa Makambako kwa kumsababishia kifo mtoto Haskad Msigwa (7) kwa kumuadhidu kwa nyaya za umeme na fimbo kwa sababu amekojoa kitandani. RPC wa Njombe Hamis Issah amesema "Huyu amemuadhibu mtoto wake kwa kumuadhibu...
  9. Frumence M Kyauke

    Zuchu: Diamond Platnumz alinipata nikiwa masikini na kunitunza kama mtoto wake

    Msanii Zuchu ni miongoni mwa wasanii ambao wamesajili katika lebo ya WCB inayomilikiwa na staa wa bongo Diamond Platnumz. Baada ya kujiunga na lebo hiyo Zuchu ameonekana akiinuka kutoka kiwango kimoja hadi kingine kutokana na biii yake. Ni msanii ambaye ana uhusiano mwema na wa karibu na...
  10. M

    Amempa mwanae ubini wangu

    Ni Ex girl friend wangu baada ya kutemana mwaka Kama na nusu hivi akapata ujauzito alfu msela kasepa akabaki kwenye mazingira Tata Sana. Nikajitolea tu kumsaidia ili asidhalilike Ila baada ya kujifungua kampa mwanae jina la baba yangu hii imekaaje.
Back
Top Bottom