Luhaga Joelson Mpina (born 5 May 1975) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Kisesa constituency since 2005. He was the Minister of Livestock and Fisheries for 3 years in the Magufuli cabinet.
LUHAGA MPINA yuko wapi? tangu amezungumza na watanzania hotuba ya masaa 7 kuhusu mambo ya Kodi na kuibua madudu kila sekta hajaonekana hadharani hadi sasa Je yuko wapi?
Na Nchi itakua na Maendeleo makubwa sana Kwa nyanja zote .
Hawa watu unapofatilia Maisha yao , Utendaji wao wa kazi Kwa nafasi zao, Maono yaliyo Ndani ya hotuba zao, Kanuni, Imani ,falsafa na Itikadi zao kulihusu Taifa hili , utagundua kua Tuna watu tunaopaswa kujivunia kua nao kama Taifa.
Ila...
Hongera Hussein Bashe kwa kuweka pamba masikioni dhidi ya kelele za Luhaga Mpina kuhusu vibali vya sukari. Isingekuwa maamuzi yale ya mwaka jana, leo bei ya sukari ingekuwa zaidi ya Tsh 10,000/= kwa kilo
Kuna mbughi inaenda kuchezwa hapo July - Oct 2025.
Nchi inaenda kusimama kushuhudia kimbembe.
Wambea wa baa ile wanasema TL anamkabidhi kijana wa Kisukuma mwenye ushawish Lake zone kupeperusha bendera yao.
Hii siasa imeka mkao wa kibabe sana ukizingatia Mpina ni Team JPM damu damu.
Bado...
===
Akiongea katika Kipindi cha DK 45 kinachorushwa "LIVE" na kituo cha runinga cha ITV Mkurugenzi Mtendaji wa Kituo cha Ubia kati ya Serikali na Sekta binafsi nchini PPPC Bw David Kafulila alikuwa na haya ya kuwaambia Watanzania,
Akifafanua kuhusu Tanzania kuendelea kukopa na kujenga...
LUHAGA MPINA, Mbunge wa Kisesa ametumia takribani masaa 7 mfululizo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 6 na nusu usiku akizungumza na watanzania juu ya matatizo mbalimbali yanayolikabili taifa letu ikiwemo maonevu wanayofanyiwa wachimbaji wadogo wa madini kufukuzwa na maeneo yao kupewa raia wa...
Adai wizi wa Rasilimali , Ufisadi na Uozo unaoendelea na matokeo ya Katiba yetu kua na matobotobo.
Machawa wa Samia watamshambulia, wanasahau kua Tume ya Jaji Warioba, ilipendekeza KATIBA MPYA.
Anakua Mwanasiasa wa kwanza kutoka CCM kuungana na mwenye Akili LISSU juu ya KATIBA MPYA.
Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema misamaha holela ya kodi katika bei za bidhaa ikiwemo biashara ya sukari imepelekea serikali kupoteza mapato na kwamba vitendo hivyo ni wizi kati ya wafanyabiashara na watumishi wa Serikali.
Mbunge huyo ameeleza kuwa inashangaza misamaha hiyo inayotolewa kwa...
Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina amesema wanaomsifia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ndio hao wanaoongoza kwa kumhujumu na kufanya uovu.
Mpina ametoa kauli hiyo wakati akiwa ziarani jimboni humo ambapo amebaini ubadhirifu wa fedha za miradi ya ujenzi wa shule...
Mi huwa naamini kwamba kila mwenye degree basi ana akili sana ya utambuzi. Hii ni kinyume na mpina. Alifikiri zile ngonjera za kutukana na kukosoa na kushangiliwa na laymen wasiojua lolote bali kufurahi mtu anapotumbuliwa ili afanane na wao.
Mama aligundua hilo akaamua kufanya divide and rule...
MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024
https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au
MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023
https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e
SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm
2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam.
3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
Nimesikiliza hoja za Mpina kuomba Mahakama iwasimamishe kazi Bashe na Mwigulu kupisha kesi zinazoendelea Mahakamani mimi nakubaliana naye kwa sehemu kubwa. Hebu Msikilize hapa Bashe baada ya kupelekwa Mahakamani na Mpina kwenye kashfa ya Sukari.
https://youtu.be/LaM87hfLZWg?si=FAd5QAqQCiid8EUv
Mawakili 100, kwa walau shilingi million kumi kwa wakili, ni takribani bilioni moja. Mpina kazitoa wapi? Nani anamfadhili? Na kwa nini anasumbua viongozi na mambo yake, mpaka anawanyima muda wa kutekeleza ilani na kuhudumia wananchi?.
Yaani Mpina anachukia watanzania wakinunua sukari kwa bei...
Mawakili wa Mbunge wa Kisesa (CCM), Luhaga Mpina wamejibu hoja za pingamizi la Serikali katika kesi ya Kikatiba aliyoifungua dhidi ya Spika wa Bunge la Tanzania na wenzake wawili, kuwa pingamizi hilo halina mashiko na wakaiomba Mahakama ilitupilie mbali.
Katika kesi hiyo ya Kikatiba, Mpina...
Friends, ladies and gentlemen..
Uelekeo wa kisiasa na mienendo ya siasa za mh.Lugaga Mpina mbunge wa jimbo la kisesa, inatiashaka na imebeba ujumbe mzito sana wa kisiasa nyuma ya pazia hasa kipindi hiki kuelekea uchaguzi mkuu 2025...
Kwanza anatumia nguvu nyingi na kubwa mno kujieleza kwa...
Na Mwandishi wetu
WAZIRI wa Kilimo Mhe. Husein Bashe (mb) atua kibabe Kisesa na kukutana na Mbunge wa jimbo hilo Luhaga Mpina ana kwa ana.
Amtaka mbunge huyo kuacha siasa katika zao la Pamba Kwani Serikali ya Rais Dk Samia Suluhu Hassan, inahitaji kuona fedha zinazotengwa zinanufaisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.