Habari IPO namna hii,
Mimi ni mwenyekiti wa kikundi Fulani na watu huwa wanatuma pesa zao kwenye akaunt yangu kwa ajili ya kuwalipia M-Koba..
Laini nnayoitumia nliisajili kwa kitambulisho cha nida cha mke,. Nikaona isiwe kesi ,mke afute usajili ili nisajili kwa kitambulisho changu..na wakati...
Ni kama vile huwa wanaambiana au wanapeana semina.
Hii imenitokea mara nyingi mpaka nilipo anza kuchukua tahadhari. Hii inawahusu zaidi wanao toa kuanzia laki 2, 3 na kuendelea lakini pia hata wanao toa chini ya hapo inawahusu pia. Ni hivi ukienda kutoa hela kuanzia lets say laki 2 au 3...
Baadhi ya maduka yameanza kukataa huduma ya malipo kwa njia ya simu ‘Lipa na Mpesa’ wakikwepa ada ya juu ya kuwezesha ununuzi.
Matangazo yamebandikwa madukani yakizuia Wateja kulipia huduma kwa njia ya simu yakitaja sababu ni ongezeko la gharama ya muamala kati ya simu na benki.
Wateja sasa...
Kuna tatizo la Mpesa kutokufanyan kazi. Sijui watu wa mtandao huu wanatusaidiaje wateja wao.
Transactions zote zimegoma kabisa.
Vodacom Tanzania msaada wenu Tafadhali
Safaricom inafanya mashirikiano na kampuni ya Apple kuiunganisha M-Pesa na PayPal ili kuongeza wigo wa shughuli za M-Pesa kimataifa.
Ruto asema wana nia ya kuzitumia fursa zilizoletwa na kampuni za Microsoft, Intel, IDM, Oracle na Google vizuri ili kuboresha uwezo wao katika mambo mbalimbali...
Katika ubunifu ambao umefanikiwa sana Afrika ni mobile money hasa ikizaliwa kutoka Safaricom Mpesa. Ubunifu huu tofauti na ubunifu uliozoeleka kuanzia ulaya ukaletwa Afrika, huu ulitengenezwa mahususi kwa mazingira ya kiafrika na ndio maana mbile money imefanikiwa sana afrika.
Vodafone kuona...
Habari wapendwa, Poleni na majukumu
Kuna mwenzangu alifanya maombi ya uwakala wa M-pesa, na hatua zote alishazifanya ikawa katika harakati za kupatiwa till number yule alokuwa anahusika kuunganisha swala Hilo akafariki(wakala mkuu wa eneo Hilo) na meneger hapatikani Kwa simu. je kunaweza kuwa...
Hivi hizi mobile money platforms ni benki? Zinafanya shughuli zote za kibenki. Zinakopesha, zinatunza pesa na kuwezesha uhamishaji wa pesa. Je, na zenyewe ni benki?
Ikitokea zimeanguka itakuwaje pesa za waliotunza? Mikopo wanayotoa ina bima?
Wakuu kwema?
Line yangu ya Vodacom inasoma mtandao vizuri lakini haifai kupiga namba yoyote, iwe ya kawaida au Mpesa au kununua vifurushi
Nilipoenda kwenye Vodashop nikidhani kuwa nilifungiwa sababu sikuhakiki namba vizuri
Lakini Vodashop walipoicheki wakasema niliihakiki vizuri na imetokea...
Rejea kichwa Cha habari hapo juu.
Msaada wa jinsi ya kulipia (payment methods) ambayo nitamtumia Mpesa au mobile money YouTube ili nipromote contents zangu Kwa eneo ninalolilenga.
In the last financial year ending March 2022, Kenyans transacted close to Ksh30 TRILLION. ($250 billion) on Mpesa.
That's more than the GDPs of all EAC countries combined.
That's impressive, but scary.
I don't think they will rest until the last paper note is taken out of circulation.
Unapofanya uamuzi wa kuanza biashara yeyote unahitaji kujitengenezea kipato kizuri.
kwa kuzingatia ubora na utofauti wa bidhaa unazoziuza. Unaweza ukapata wateja wengi na biashara yako ikakuwa kwa haraka.
Kwa sasa tumekuwa na biashara nyingi sana. Wengi wetu tukisahau kuwa kuna biashara...
Karibuni niwe wakala wenu,
Nimefanikiwa kuhamisha pesa kutoka Sudani kuja Tanzania kwa njia ya mpesa.
Sasa nitaweza kuhamisha pesa kutoka mahali popote Africa kwa haraka.
Ahsanteni
Naombeni msaada au mwongozo tafadhali ,
mwaka 2019 nilimwajir rafk yang wa kijjn kwenye mpesa yangu hapo kijjn kwet nikaondok kwenda nje ya nchi ila cha ajabu mwaka huu mwez wa 4 wamefanya tukio kijjn kupelekea kutaftw na polis akaondok na kila kitu changu cha mpesa na lain bdo inatumik...
Kama unamiliki kampuni Iliyosajiliwa na una website yeyote ya mauzo mtandaoni. Unaweza ukaendelea kusoma.
Kwa wale wenye website tunajua kuwa, tatizo kubwa lililopo kwa sasa ni mfumo wa malipo.
Mifumo ya malipo iliyopo haimruhusu mtanzania kuweza kutumia tovuti yako. Na kufanya manunuzi ya kitu...
Jamani nimenuniwa leo.
Mchepuko wangu ni wakala wa Tigo pesa, Mpesa na Airtel Money.
Sasa Mchepuko mpya ukataka nifanye muamala. Bila hiyana nikauambia ule wakala nisaidie kutuma elfu 20 kwenye hii namba. Akatuma, sasa baada ya kutuma akaniuliza huyu nani mbona mwanamke?
Nikatoa maelezo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.