"Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa...
Nachopendekeza katika migogoro inayo endelea Congo DR ni kuwa malalamiko yote ya makundi ya waasi yasikilizwe.
Yale malalamiko yanayoweza kutatuliwa yatatuliwe yale yenye ugumu yaingiwe makubaliano ya pande mbili kufikia upatikanaji wa amani.
Lazima malalamiko ya waasi wajulishwe Wacongo na...
Mkaguzi wa Kata ya Kasansa Wilaya ya Mlele Mkoa wa Katavi Mkaguzi Msaidizi wa Polisi A/INSP Elibariki Kateman amewataka wakulima na wafugaji wa kata hiyo kutokuwa chanzo cha migogoro ya wakulima na wafugaji katani humo.
Mkaguzi huyo ametoa kauli hiyo wakati akitoa elimu ya ushirikishwa Jamii...
Hello!
Kwakuwa wadada wengi hufanya ndoa kama fashion au kama ajira basi wako tayari kufunga ndoa na mtu yeyote ilimradi tu anapumua na anaweza kumudu bei ya sukari na ugali basi.
Turudi kwenye mada.
Kosa hilo ni kwa wachumba kutokutaja amri zao kuu (msimamo mkuu).
Mfano
*Nitakusamehe kila kosa...
Katibu wa itikadi na uenezi chama cha Mapinduzi CCM, Ndugu Paul Makonda akizunngumza na wananchi wa wilaya ya kinondoni kwenye mkutano wa hadhara wa chama hicho.
Makonda amemtaka waziri wa Ardhi kufika katika jimbo la kawe na kutatua migogoro ya ardhi iliyopo ndani ya jimbo hilo.
Wananchi wa Kijiji cha Songambele kilichopo Halmashauri ya Nsimbo Mkoani Katavi wametoa kero mbalimbali ikiwemo migogoro ya Wakulima na Wafugaji sambamba na huduma ya umeme kutokidhi viwango.
Kero hizi zimetolewa mbele ya Mkuu wa Wilaya ya Mpanda mara baada ya kufika katika kijiji hicho na...
Habari wanajamvi wenzangu. Pasipo kupoteza muda wa mtu yeyote, nipende kushiriki nanyi juu ya huu mtindo wa utapeli wa ajira/nafasi za kazi zinazotangazwa kila uchwao. Naamini kupitia uzi huu, wanajamvi wengi watapata elimu ambayo itaweza kuwasaidia kwa namna moja au nyingine.
Kumekuwa na...
Niliwahi kusema hapa kwamba Rais alipiga kura kuwaunga mkono Hamas kwa msukumo wa dini wengi mlitoka povu. Kuna video inasambaa ktk mtandao wa X inatisha sana. Moyo wangu unavuja damu mtanazania mwenzetu alitokea shambani na kibaiskeli chake maskini ya Mungu. Anakamatwa najitetea lkn haeleweki...
Nchi nyingi za Kiislamu hazina furaha na zimenaswa katika vita kwa sababu ya Uislamu. Lakini hawakubali.
1. Hakuna mgawanyiko wa dini na serikali. Dini inakuwa serikali katika nchi nyingi za Kiislamu.
2. Hakuna uhuru wa kusema, uhuru wa dini na uhuru wa vyombo vya habari katika nchi za...
Ni wakati wa kumaliza tofauti zenu baada ya kufungwa na mtani wenu kwa idadi ya mabao mengi {1-5} Maisha lazima yaendelee, haikuwepo sababu ya msingi kumtimua kocha Robertinho mzee wa Objective football, Takwimu zinaonesha amepoteza mechi moja tu tangu ajiunge nanyi kama Head coach.
-Hakuna...
Kuanzia Mkuu wa shule aliyeifungua Issa Izengo mpaka Mkuu wa shule aliyepokea kijiti chake Erasto Arende, Shule ya Sekondari Nyiendo haikuwahi kuwa kwenye vuguvugu la migogoro mpaka alipoingia mkuu wa shule aliyepo sasa!
1. Philosophy ya kwanza ya mkuu wa shule ni kutopenda kukosolewa na...
naomba kutumia mfano wa makinda ya ndege au watoto wa nguruwe!
ukipita kwenye banda ukakuta pako kimya ujue vinanyonya!
kila kimoja kinanyonyo lake mdomoni kinakamua!
Hivi ndivyo ilivyo kwenye vyeo vinavyogongana maslahi kama hivi.
TWENDE PAMOJA KWA SABABU ZIFUATAZO!
Vyeo hivi vya Mkurugenzi...
Niliwahi kukaa katika taasisi moja. Kulikuwa na mazali kila siku. Chuki kutuhumiana, kuviziana na kila namna ya fyokofyoko kati ya wahusika.
Nilipozama kutafiti nikagundua chazo ni nyumbani hawa jamaa wanapotokea. Hawana amani, familia zimejaa magomvi, kufumaniana, mivurugano na taabu za kila...
Mhasibu Mwandamizi kutoka Wizara ya Fedha, CPA Jenipha Josephat Ntangeki ametoa ushauri huo wa Wosia wakati akitoa elimu kuhusu umuhimu wa jamii kuzingaia wosia alipokuwa akishiriki Kongamano la Wanamitandao ya Kijamii na Wizara ya Fedha kwenye Ukumbi wa 88 Mkoani Morogoro, Jumanne Oktoba 24...
Moja kwa moja.
Nimeona nije na mada hii baada ya kuona huu uzi leo Siasa Michezoni (Simba vs Al Ahly): Azam TV wanapaswa kuonywa, kuadhibiwa au kufungiwa! nikakuta za comments mbalimbali.
Nije katika hoja, kwamba mnasema football haipaswi kuchanganywa na siasa na mambo mengine kinyume cha...
Kwa muongo wa pili mfululizo, idadi ya Waafrika wanaolazimika kuyahama makazi yao imeshuhudiwa kuongezeka, sasa ikiwa na jumla ya zaidi ya watu milioni 40. Ongezeko hili la hivi karibuni linajumuisha watu wengine 3.2 milioni waliolazimika kuhama kutokana na migogoro katika kipindi cha mwaka...
Kwa hii migogoro mbalimbali inayo endelea kuwepo duniani inathibitisha bila shaka kutokuwepo kwa huyo Mungu anaye amini kuwepo.
Kauli ya Karl Marx kuhusu dini mpaka sasa bado inasimama wima.
Kiranga na kundi kubwa la atheists mpaka sasa hoja zao zina simama wima kwa haya yanayo endelea duniani...
Mbunge wa Jimbo la Ndanda Wilaya ya Masasi Mkoani Mtwara, Mhe. Cecil Mwambe, amewataka wananchi wa Chikunja na Likuredi wajitokeze kwa wingi kumlaki Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan atakapokuwa anaelekea Nachingwea mkoani Lindi.
Mwambe ameyazungumza Septemba 14, 2023 wakati wa mapokezi ya Rais...
Ndio kama tulivyosema hapo awali kwamba , usimpe mtu cheo kutokana na uchawa wake , ni vema ukiangalia rekodi yake .
Aliyeshindwa Umeya unampaje Wizara ?
Hata wiki haijaisha , kishaanza kashfa na matusi !
Mkuu wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Frederick Shoo,amelitaka kanisa hilo liongozwe kwa misingi ya kanuni,sheria na taratibu ambazo wamejiwekea ili kutokuingia katika matatizo na migogoro.
Askofu Shoo ambaye pia ni Askofu wa Dayosisi ya Kaskazini ya Kanisa hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.