Habarini,
Katika harakati za kutafuta mkate wa kila siku, unaweza jikuta unafanya kazi ofisi moja na mdada mrembo, she is young, hana mtoto, hajaolewa, unafanya nae kazi ofisi moja, unarusha ndoano, mbaya zaidi kimoyomoyo unamchukulia serious, kipindi chote ulichokaa nae hapo ofisini, kwa tabia...
Watu wanatushauri kabla hatujaamua kuoa mke basi tumchunguze. Mtu utamchunguza vipi ikiwa hukai naye yupo kwao na wewe uko busy na kazi. Yaani unampimaje mtu huruma yake na uvumilivu wake ikiwa hamkai pamoja ili kwenye changamoto za maisha ujue reactions zake.
Mimi binafsi naona madhaifu ya...
Wakuu poleni na mishe za hapa na pale. Sio mwandishi mzuri sana. Nimeona leo nishee nanyi kisa cha kumalizia chumba kimoja kwenye mjengo wangu mpya kumkimbia huyu singo mama.
Mwaka jana mwezi wa sita nilikutana na huyu bidada mrembo wa kuvutia kwa nje mahala ambapo nilikua nikienda mara kwa...
Nikimwita gheto anakuja, akiniomba msaada nampa. Nampenda sana huwa nikimwuliza anasema "nakupenda lakini shida ni yule mtu nilienae".
Nifanyeje ili nmpate wakuu?
Habari wakuu!
Mdada amesoma (clinical medicine/clinical officer)anatafuta kazi hospitali au pharmacy na yupo Dar.
Kwa yeyote anayeweza kutoa msaada mawasiliano hayo hapo 0654983243.Asante sana.
UPDATE: Ameshapatikana mdada mbarikiwe.
Anahitajika mdada wa kazi
Kazi ni Dar. Nyumba ya watu 2.
Anapewa kipaumbele anayetokea mazingira magumu au ambaye anaishi kwa manyanyaso kwa bosi wake wa sasa. Kwenye hii familia ataishi vizuri kwa uhuru na ushirikiano bila manyanyaso huku akisaidizana...
Habarini wna JF ni matumaini yangu nyote ni wazima wa afya tele, ningependa ku share hii experience wakati nikiendelea kuishi kwa hofu sana baada ya kukutana na mdada ambae ni muathirika baada ya kumpima.
Story iko hivi nilikutana na mdada sehemu akiwa na rafiki yangu pamoja pia na dem wa...
Kama kichwa kinavyosema nahitaji mdada anaejua kazi za saloon (ya kike)
Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti
Make Up kwa wateja
Kubana styles tofauti
Na Nyingine nyingi ambazo atakua ana uelewa nazo.
Saloon ni MPYA imekamilika inahutaji tu mtu wa kazi.
OFISI/SALOON ipo MBEZI...
Ukinitapeli mara ya kwanza aibu iwe kwako unaenifanyia hayo mabaya, lakini ukinipiga mara ya pili kwa style ile ile nikiwa na utimamu wa kujua kinachoweza kutokea basi aibu iwe kwangu, Niliapa sitoweza kuangukia kwenye mtego wa jaribio la kwanza kwa mara ya pili.
Niliweka binti wa kazi...
Nina mpenzi wangu kutoka kaskazini (mchaga) ambaye kwa sasa tumetimiza mwaka 1 katika mahusiano huyu dada ni mpambanaji haswaaa nimemkuta na biashara yake hivyo anajimudu
SIFA ZA HUYU DADA
1. Si mtu wa vizinga nazani kwa sababu ana biashara yake kuna muda akija nitembelea gheto nikimaliza...
Jamani naombeni ushauli, mimi ni mdada nataka kunenepa😒Nina kilo 52 sasahv nataka kuongezeka mwili lakini yani kula kwangu kunasuasua ani, nikila kidogo tu nakua nshashiba ani.
Nawaza kutumia protein powder ila sina uhakika nayo sana kama inafanya kazi.Naombeni ushauli kwa alie na experience
Amekwama - anataka msaada wa pesa aka maokoto
Amepotea - anataka mtu wa kumwelekeza sehem anayoenda
Malizia....
Bandugu tusalimie sio hadi mkwame ndo mnarudi kutusalimia - tutawapotezea!
Salaam Wakuu,
Katika pitapita zangu za hapa na palehuko mjini instagram nimekutana na mdada mmoja ambaye ameni inspire sana kutokana na kitu alichoamua kufanya kwa jamii ya watanzania. Jina lake halisi sijalifahamu bado ika la instagram ni Mentor_Cherry.
Sasa kwa harakaharaka nimegundua kuwa...
Habari zenu ndugu na jamaa katika jukwaa hili
Mdada wa kazi anahitajika Bububu, Zanzibar.
Majukumu yake: Kupika tu
Vigezo:
1. Awe anafaham lugha ya kiingereza. Anaowapikia wanatumia lugha ya kiingereza kama njia pekee ya mawasiliano.
2. Awe mkristu
3. Awe msafi
4. Ajue kupika vyakula mbali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.