Leo ikiwa ni Wiki ya Pili ya Tamko la Maaskofu kusomwa Makanisa yote ya Roman Catholic, nimevutiwa na Maneno aliyoyaongea Paroko mmoja kwenye Ibada " Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija...
Ndugu zangu ninahitaji kuunganishwa na huduma ya internet ya TTCL nyumbani kwangu.
Kwakweli ni aibu kusema nilikuwa natumia huduma ya Zantel ambayo ilikuwa nzuri na nilipopata changamoto au hitilafu walikuwa wanakuja haraka sana kunipa huduma sema gharama ilikuwa juu kwani nilikuwa nalipa...
Bila kupoteza mda waraka wa Maaskofu umemtoa Kikwete pangoni alikojificha siku nyingi.
Binafsi nimekuwa nikihoji uadilifu wa huyu mstaafu na faida yake kwa nchi pale mambo yanapokuwa yanaenda mrama amekuwa kimya sana.
Sasa tumemskia anakemea udini ambayo ni planned huko mara kwenye kanisa la...
Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware
1. Umesahau password
2. Simu yako imevunjika kioo
3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako
4. Matatizo ya network
5. Ulizi wa simu yako
6. Kuongeza storage iphone au android phone
Mechi ya jana simba walielemewa kila upande dakika zote tisini
Kipa wa simba alikuwa busy dakika zote tisini hakuna kupumzika
Kipa wa Yanga muda mwingi hakuwa na kazi a relax muda wote wa dakika 90.Sababu yanga timu ilikuwa muda wote msitari wa mbele kuhakikisha simba haipeleki mpira golini...
Hoja:
Upatikanaji Mbovu wa Taarifa na Ufanisi wa Mifumo ya Uwakilishi:Wanafunzi wanapata changamoto katika kupata taarifa muhimu vyuoni kutokana na mfumo dhaifu wa mawasiliano. Mifumo ya wanafunzi wanaowakilisha (CRs) inaweza kusaidia, lakini matokeo yake hayana uhakika kwa sababu ya muda...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Rais Samia kajificha siku nyingi sana pamoja na sakata hili la bandari. Simba day itaonekana mubashara Tanzania na dunia nzima na mamilioni ya watu watakuwa wanafutilia tukio hilo.
Kabla ya Utambulisho wa wachezaji Rais atumie siku hiyo kutuambia nini kimemsukuma...
Leo nilikuwa na kiongozi mmoja wa kitaifa wa ACT ambaye amenitonya haya kuhusu ukimya wao kuhusu issue ya makataba wa bandari na DP World.
1. Mapema June walikuwa na mikutano ya chama wakizinguka maeneo mbalimbali ya nchi.
Ni katika kipindi hicho suala la bandari lilikuwa linaanza kushika...
Wasalaam JF,
Hila sakata la Bandari limeletwa kwa kusudi la Mungu. CCM dhaifu sana awamu hii, sekretariati imejaa wasio na uwezo wa kufikiri, kutatua wala kujibu hoja kwa data na facts.
Mihadhara yao ni kama uzurulaji wa nyuki. Awamu hii tutaona CCM utopolo toka tupate uhuru.
Sekretariati...
Hivi Uongozi wangu wa Simba SC kwa huu Upuuzi na Upumbavu Watani zetu wakubwa Yanga SC wakitucheka na Kutuita Mbumbumbu FC tutakataa na Kuwanunia?
Beno Kakolanya aliipenda sana Simba SC na Kaondoka kwa Maumivu makubwa Moyoni kwani alichukiwa na Viongozi Wawili kwakuwa tu alikataa kuwapa 10% ya...
Sitaki kumchokoza mwendazake wala yoyote. Nimekuwa nikilisikiliza malumbano juu ya 'uuzwaji' au uwekezaji wa bandari ya Dar.
Je tatizo hapa ni mkataba au namna Serikali ya sasa inavyofanya mambo yake? Hivi kuna kosa kubwa kama kuvuruga uchaguzi ambapo Chama Cha Majambazi sorry mapindiuzi...
Kuna tabia ya vijana bila hata kupewa chochote huibuka na kusifia viongozi hata ambavyo hastahili. Hii imekuwa kero kwa baadhi ya viongozi ambao hawana hulka ya kutaka sifa wamekuwa wakijitenga nao.
Katika kitabu kimoja cha uongozi nilikisoma kwa uzuri sana. Kinasema kiongozi mzuri hujipambanua...
TUENDELEE KUJADILI MAPUNGUFU YA MKATABA.
Baina ya Tanzania na Dubai wa uwekezaji wa Kampuni ya DPW katika bandari zetu zote.
Tusitolewe kwenye mstari na kukubali Kujadili Udini.
Naomba nitumie muda huu kuwakumbusha Watanzania na watu wengine Duniani kuwa ni jukumu la Muislam kujenga...
MUHIMU: Hakuna kabila lisilo na Tambiko, HAKUNA !! matambiko mpaka leo hii hufanywa na kila kabila na sanasana ni zile koo za kichifu lakini bado ni tofauti kabisa na uchawi huu tunaozungumzia hapa wa kurogana, kutupiana majini, malimbwata, kuwanga usiku, n.k.
Uchawi umekuwa ukisumbua jamii...
Rais wa Kenya, William Ruto leo Jumamosi ametangaza kuwa amefanya mazungumzo Ikulu ya Nairobi na Waziri wa Mambo ya Nje wa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE), Sheikh Shakhboot bin Nahyan Al Nahyan, kujadili fursa za uwekezaji nchini humo.
Wanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.